Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,421
Umenifurahisha sana kwani umewaza nje ya boxCCM ni watu wa ajabu sana, wana wenyeviti wa mitaa/vijiji, madiwani, wabunge wengi zaidi kuliko chama kingine chochote kile, lakini kwa kuwa hawajui ni kwa nini wako madarakani, wanaona hawawezi kuongoza nchi mpaka walioko kwenye vyama vingine nao wajiunge na chama chao!!
Hivi CCM wanataka wapewe nini ama wawe na nani ili waweze kuongoza nchi kwa ufanisi!? Siku nchi ikiongozwa na Rais toka chama kingine si CCM watawehuka!?
Zitto ni mwanafalsafa asiyeweza kuficha imani na hisia..
hawezi kwenda kwa jiwe maana mdomo unaweza ukashonwa kwa vile visent atakavyohongwa !
CCM ni watu wa ajabu sana, wana wenyeviti wa mitaa/vijiji, madiwani, wabunge wengi zaidi kuliko chama kingine chochote kile, lakini kwa kuwa hawajui ni kwa nini wako madarakani, wanaona hawawezi kuongoza nchi mpaka walioko kwenye vyama vingine nao wajiunge na chama chao!!
Hivi CCM wanataka wapewe nini ama wawe na nani ili waweze kuongoza nchi kwa ufanisi!? Siku nchi ikiongozwa na Rais toka chama kingine si CCM watawehuka!?
Wana itikadi Ya ubeberu mamboleo! Na ushetani!CCM ina itikadi ya kijamaa! Toka lini?
Na kweli chama kinachopitisha misuada ya wastaafu bila kusoma chama kinachodhurumu wazee waliojichokea ccm oyeeeeBashiru Ally aache kukidhalilisha Chama Kikongwe Duniani
Msitu wa Amazon hauwezi kupungiwa na kitu Kwa kukosekana Mti mmoja
Bashiru asituletee damu za Kikongo kwenye chama chetu Pendwa
Dah ila upo radhi kuburuzwa na Mrundi ?Bashiru Ally aache kukidhalilisha Chama Kikongwe Duniani
Msitu wa Amazon hauwezi kupungiwa na kitu Kwa kukosekana Mti mmoja
Bashiru asituletee damu za Kikongo kwenye chama chetu Pendwa
Aisee hii u turn yako bado naitafakari ,Jiwe kakugusa wapi ?Eti CCM Chama dume wakati kinaogopa Vyama Vingine ukweli ni kwamba CCM ni Chama Shoga.kama wao ni wanaume waruhusu Mikutano halafu waone CHADEMA itakavyowanyoosha watu wana hamu kubwa nchi nzima,Buyungu tu Uharo ulikuwa unagonga chupi
Walati yule dogo wala hajulikani kitaifa lakini wananchi walijaa mikutano ya CHADEMA ilikua AIBU kuu kwa Chama Shoga.
Nilikuwepo na Polisi
No One is Safe.Aisee hii u turn yako bado naitafakari ,Jiwe kakugusa wapi ?