mikatabafeki
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 12,771
- 4,656
​nimetune radio ya wafu ni kweli amezungumza vitu vya msingi ila tatizo tu sio wa kumuamini mana ni MNAFIKI
Asilete utombo, mana kigeugeu huyo.
Anasema anampango wa kuwaunganisha wabunge vijana ili waweze kupanga mkakati wa kuongeza ajira kwa vijana wa Tanzania. Anataka kupeleka hoja binafsi bungeni kuhusu ajira kwa vijana. Nafikiri amefikia huko kutokana na kile kilichomtokea jimboni kwake.
Zitto inabidi tuwe naye makini sana, kweli kigeu geu. Kwenye redi umekosea au ni makusudi?
Mkakati wa kuongeza ajira kwa vijana sio wa kisiasa kwa kuwaalika wabunge vijana. Utekelezaji wake ni either waibane serikali ibadili sera za kiuchumi ili kutoa nafasi zaidi kwa vijana kujiajiri au yeye na wabunge wenzie vijana wafungue biashara ndogo na kubwa zitakazotoa ajira kwa vijana kupitia kwenye mtaji wa posho walizojiongezea. Kikubwa aelewe kuwa ajira hazipatikani majukwaani, zinapatikana either ofisini au shambani.Anasema anampango wa kuwaunganisha wabunge vijana ili waweze kupanga mkakati wa kuongeza ajira kwa vijana wa Tanzania. Anataka kupeleka hoja binafsi bungeni kuhusu ajira kwa vijana. Nafikiri amefikia huko kutokana na kile kilichomtokea jimboni kwake.
Anasema yy mwenyewe anapata shida juu ya national ID,Coz nchi imekosa misimamamo juu ya mambo mbalimbali tofauti na zamani[zitto mwenyewe mmm,75% ndumilakuwili,haaminiki hata chembe ya roho wacha chembe ya moyo]