Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,138
Kama wewe kweli una nia ya kutusaidia kama watanzania wenzako,anza na hili Bunge lijalo. Bunge likianza tu,omba Mwongozo wa Spika na uwataje Waficha Mabilioni Uswisi na kwingineko ulikodai kwenye hoja yako.Usiisubiri Serikali iwataje. Yaweza isifanye hivyo kamwe.
Ukiwataja,hoja yako itapata nguvu mpya na itajadilika angalau kama Richmond. Kama huna majina,omba Mwongozo wa Spika na ufute hoja yako. Kwakuwa haitakuwa na nguvu na maana tena bila majina ya waficha mabilioni. Sisi watanzania tumewachoka viongozi waficha-siri kwa kila kitu.Wale wa 'nitaje-nisitaje' hawana nafasi tena.
Kawataje,mjadili na tuwaone na tuwasikie misimamo yenu.
cc Zitto