Zitto jibu hili tafadhali

Zitto jibu hili tafadhali

lengo ni kujaribu kumchafua tu maana hamna uwezo wa kumchafua Mzalendo zitto badala ya kupiga kelele Dj mbowe na Padre Slaa waweke mali zao hadharani mnapiga kelele kwa mtu ambae wala hawahusu...Mtu mshamchomoa kwenye chama chenu cha kikanda sasa chokochoko za nini.Mume umemuacha mwenyewe kaenda kuoa mke mwingine wewe chokochoko hazihishi.....mjinga mmoja wewe

#Zitto

Unaharibu sifa ya Wazaramo wenzio kwa kuwa na akili iliyojaa maneno machafu. Hivi ukiandika bila kutoa maneno machafu hujengi hoja? bahati mbaya kwako mimi si mwanachama wa Chadema na usifikiri kila aliye kinyume na Zitto ni Chadema. Mimi nina mtizamo chanya wa mabadiliko katika nchi yetu. badilika ndugu matusi hayakufikishi popte...na usisahau kuosha kinywa chako kwa Detol maana kitakuwa na harufu ya kinyesi kwa maneno hayo...looooo!!!
 
Wakati wapinzani wanavutana, basi watawala wanachekelea tu. Hii nchi maCCM watatawala milele mi nakwambia kwa akili zetu hizi ndogo za kutengeneza propaganda kama hizi zisizokuwa na maana badala ya kutengeneza strategies za kuingoa CCM madarakani.
 
Back
Top Bottom