msumeno
JF-Expert Member
- Aug 3, 2009
- 2,826
- 1,738
upo post bila ushahid tunauita umbea na chuki binafs na zitto.
Hakuna ugonjwa mbaya duniani kama husda,, hasidi ni mtu hatari sana
upo post bila ushahid tunauita umbea na chuki binafs na zitto.
Kwani Zitto c mshamfukuza mnamfatafata wa nn? Mbona yy yuko kimya na mambo yake... Mnamtafuta nn? Anawaumaa, au?
Zito amepiga hela sana mifuko ya jamii.hilo halina ubishi kaka zito na hatuhitaji kulibishia kwani waliokupa wanathibitisha hilooo.Hakuna ugonjwa mbaya duniani kama husda,, hasidi ni mtu hatari sana
We ndondocha umesoma mali alizonazo zito alikiri kuwa na nyumba mbili kigoma.acha kujitoa ufahamuHivi BAVICHA bila kutoa povu siku kwenu haiwezi pita?Siasa za leo ni kushindana kwa hoja, wala siyo uandishi wa Riwaya usio na ushahidi kama unavyo jaribu kuhadaa Watanzania.Zitto hana nyumba hata moja Kasulu, sijui majumba hayo mawili ya kifahari umeoteshwa na Chagadema?
Hii habari inasambaa katika mitandao ya kijamii ni bora ukaitolea ufafanuzi naiweka kama nilivyoipokea.
Kamati Ya Zitto Kabwe ilikuwa si halali Maana kwa mfumo huu nayeye yumo kwenye mgao.
Katika magaazeti ya leo nilipitia kichwa cha Habari cha Gazeti la Mwananchi. Kilichosema Zitto anika mali zake! Sasa naomba Tuwe makini sana na wanasiasa kama hawa Ambao wamejivika majoho ya uzalendo kwenye macho ya watu lakini Si wazarendo ni wapenda sifa mabepari na niwatu wakujipendekeza! pendekeza.
Zitto amekua Mbunge wa kigoma Kasikazini kwa muda wa miaka Tisa 9 Zitto alitakiwa kumiliki mali zisizodi Milioni 886) lakini Zitto anamiliki mali ninazozikadiria Bilion 1.8 tena hizi nizile zinazo onekana kwenye macho ya watu!
anamiliki Gholofa Pale dodoma mjini, anamiliki gari la kifahari aina ya Hummery) ambayo ni moja ya magari ghari Duniani Tanzania ni watu wachache wanao miliki magari ya aina hiyo ambao hawafiki hata Kumi. anamiliki Nyumba mbili za kifahari Dar es salama) Moja ipo masaki ambayo anaishi yeye
Mwenyewe akiwa Dar kwa ajiri ya starehe.
Anamiliki Nyumba mbili tena Za kifahari. pale kasulu kigoma
Achilia mbali umiliki wa nyumba Na mali hizo zote nilizokadiria kufukia bilion 1.8
anamiliki mgodi wa madini Diarasii kongo) huyu huyu zitto anaejiita mzalendo kunakipindi aligoma kuchukua posho bungeni kunakipindi alisema! Wabunge wasitembelee magari yakifahari huyu huyu zitto kunakipindi alisema suti ni ishara ya ubepari kwahiyo kana kwamba anaye vaa suti ni bepari lakini leo ndo mavazi yake!
Huyu huyu Zitto anajiita mzalendo na anayesema Act) ni chama cha upinzania katangaza kugombea majimbo waliyoyashika upinzani) Yaani majimbo ya chadema ati atagombea kawe, kwa halima mdee, Ubungo kwa John Mnyika, Singida kwa Tundu lisu, mbeya mjini. kwa sugu, na iringa kwa peter Msigwa,
Tangu nianze kufwatilia siasa Za Kimataifa Tangu nianze kufwatilia wanasiasa, Nakiri kwa mara yakwanza nakutana na mwanasiasa Ndani ya Tanzania ambaye ameishiwa sera ( Policy Forum) ajenda na miundo mbinu ambayo ndio silaha ya kuitwa mwanasiasa. Amekosa ajenda kaona ajenda nikugombania majimbo na chadema namshauri aende jimbo la Tundu mwana wa lisu)
Zitto naomba nimuulize swali la karibu tu! hivi zitto wewe ni mzalendo? zitto nikwanini? Umekua ukiongea vitu bila kujifikilia ulipotoka na upolipo sasa? Zitto nikwanini? umekua na wasiwasi sana juu ya hatma ya Kurudi bungeni?
Watanzania kuna haja kubwa yakuangalia watu wakuwapa dhamana yakusimamia Rasimali zetu! Haiwezekani mtu awe mbunge wa miaka 9 amiliki mali zote hizo halafu anajiita mzalendo anajivika joho la uzalendo kwa makusudi kabisa
Siasa ya Tz nzuri jamani,ndo maana maprofesa wanakimbilia kuwa wanasiasa!
Yatakushinda, wacha umbea wewe vinginevyo mwaga ushahidi hapa! Angalia Sana sheria ya makosa ya mitandao isije kukubana kwa umbea umbea!
Udaku wa aina hii hauna hadhi ya kuwa kwenye Jamii Forum labda uupeleke kule Glopal Publishers. Wakati mwingine kabla ya ku post topic uwe walau unajiuliza kama ina kiwango na siyo una post vitu ambavyo havina uhakika na hata ukimsimulia motto hawezi kukubali
Haya hebu tuambie chanzo cha hizo taharifa za mali za ZZK, kama chanzo ni wewe mwenyewe basi leta uthibitisho!
Hii habari inasambaa katika mitandao ya kijamii ni bora ukaitolea ufafanuzi naiweka kama nilivyoipokea.
Kamati Ya Zitto Kabwe ilikuwa si halali Maana kwa mfumo huu nayeye yumo kwenye mgao.
Katika magaazeti ya leo nilipitia kichwa cha Habari cha Gazeti la Mwananchi. Kilichosema Zitto anika mali zake! Sasa naomba Tuwe makini sana na wanasiasa kama hawa Ambao wamejivika majoho ya uzalendo kwenye macho ya watu lakini Si wazarendo ni wapenda sifa mabepari na niwatu wakujipendekeza! pendekeza.
Zitto amekua Mbunge wa kigoma Kasikazini kwa muda wa miaka Tisa 9 Zitto alitakiwa kumiliki mali zisizodi Milioni 886) lakini Zitto anamiliki mali ninazozikadiria Bilion 1.8 tena hizi nizile zinazo onekana kwenye macho ya watu!
anamiliki Gholofa Pale dodoma mjini, anamiliki gari la kifahari aina ya Hummery) ambayo ni moja ya magari ghari Duniani Tanzania ni watu wachache wanao miliki magari ya aina hiyo ambao hawafiki hata Kumi. anamiliki Nyumba mbili za kifahari Dar es salama) Moja ipo masaki ambayo anaishi yeye
Mwenyewe akiwa Dar kwa ajiri ya starehe.
Anamiliki Nyumba mbili tena Za kifahari. pale kasulu kigoma
Achilia mbali umiliki wa nyumba Na mali hizo zote nilizokadiria kufukia bilion 1.8
anamiliki mgodi wa madini Diarasii kongo) huyu huyu zitto anaejiita mzalendo kunakipindi aligoma kuchukua posho bungeni kunakipindi alisema! Wabunge wasitembelee magari yakifahari huyu huyu zitto kunakipindi alisema suti ni ishara ya ubepari kwahiyo kana kwamba anaye vaa suti ni bepari lakini leo ndo mavazi yake!
Huyu huyu Zitto anajiita mzalendo na anayesema Act) ni chama cha upinzania katangaza kugombea majimbo waliyoyashika upinzani) Yaani majimbo ya chadema ati atagombea kawe, kwa halima mdee, Ubungo kwa John Mnyika, Singida kwa Tundu lisu, mbeya mjini. kwa sugu, na iringa kwa peter Msigwa,
Tangu nianze kufwatilia siasa Za Kimataifa Tangu nianze kufwatilia wanasiasa, Nakiri kwa mara yakwanza nakutana na mwanasiasa Ndani ya Tanzania ambaye ameishiwa sera ( Policy Forum) ajenda na miundo mbinu ambayo ndio silaha ya kuitwa mwanasiasa. Amekosa ajenda kaona ajenda nikugombania majimbo na chadema namshauri aende jimbo la Tundu mwana wa lisu)
Zitto naomba nimuulize swali la karibu tu! hivi zitto wewe ni mzalendo? zitto nikwanini? Umekua ukiongea vitu bila kujifikilia ulipotoka na upolipo sasa? Zitto nikwanini? umekua na wasiwasi sana juu ya hatma ya Kurudi bungeni?
Watanzania kuna haja kubwa yakuangalia watu wakuwapa dhamana yakusimamia Rasimali zetu! Haiwezekani mtu awe mbunge wa miaka 9 amiliki mali zote hizo halafu anajiita mzalendo anajivika joho la uzalendo kwa makusudi kabisa
Wanaume hatuna wivu namna hii labda useme jinsia yako ya kweli ni ipi...Mwanaume huwezi kuwa na roho ya husuda namna hii kwa mwanaume mwenzio yaani post ya namna hii ilifaa aweke mke wako kama unaye sio janamume kama wewe
#Zitto
Umepanic Brother!! pia nadhani ulielewa lengo ni kumchafua Zitto kumbe lengo sio hilo kabisa..pole