Zitto jibu hili tafadhali

Zitto jibu hili tafadhali

Mu-sir

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2010
Posts
3,621
Reaction score
1,640
Hii habari inasambaa katika mitandao ya kijamii ni bora ukaitolea ufafanuzi naiweka kama nilivyoipokea.

Kamati Ya Zitto Kabwe ilikuwa si halali Maana kwa mfumo huu nayeye yumo kwenye mgao.
Katika magaazeti ya leo nilipitia kichwa cha Habari cha Gazeti la Mwananchi. Kilichosema Zitto anika mali zake! Sasa naomba Tuwe makini sana na wanasiasa kama hawa Ambao wamejivika majoho ya uzalendo kwenye macho ya watu lakini Si wazarendo ni wapenda sifa mabepari na niwatu wakujipendekeza! pendekeza.

Zitto amekua Mbunge wa kigoma Kasikazini kwa muda wa miaka Tisa 9 Zitto alitakiwa kumiliki mali zisizodi Milioni 886) lakini Zitto anamiliki mali ninazozikadiria Bilion 1.8 tena hizi nizile zinazo onekana kwenye macho ya watu!

anamiliki Gholofa Pale dodoma mjini, anamiliki gari la kifahari aina ya Hummery) ambayo ni moja ya magari ghari Duniani Tanzania ni watu wachache wanao miliki magari ya aina hiyo ambao hawafiki hata Kumi. anamiliki Nyumba mbili za kifahari Dar es salama) Moja ipo masaki ambayo anaishi yeye
Mwenyewe akiwa Dar kwa ajiri ya starehe.

Anamiliki Nyumba mbili tena Za kifahari. pale kasulu kigoma
Achilia mbali umiliki wa nyumba Na mali hizo zote nilizokadiria kufukia bilion 1.8
anamiliki mgodi wa madini Diarasii kongo) huyu huyu zitto anaejiita mzalendo kunakipindi aligoma kuchukua posho bungeni kunakipindi alisema! Wabunge wasitembelee magari yakifahari huyu huyu zitto kunakipindi alisema suti ni ishara ya ubepari kwahiyo kana kwamba anaye vaa suti ni bepari lakini leo ndo mavazi yake!

Huyu huyu Zitto anajiita mzalendo na anayesema Act) ni chama cha upinzania katangaza kugombea majimbo waliyoyashika upinzani) Yaani majimbo ya chadema ati atagombea kawe, kwa halima mdee, Ubungo kwa John Mnyika, Singida kwa Tundu lisu, mbeya mjini. kwa sugu, na iringa kwa peter Msigwa,
Tangu nianze kufwatilia siasa Za Kimataifa Tangu nianze kufwatilia wanasiasa, Nakiri kwa mara yakwanza nakutana na mwanasiasa Ndani ya Tanzania ambaye ameishiwa sera ( Policy Forum) ajenda na miundo mbinu ambayo ndio silaha ya kuitwa mwanasiasa. Amekosa ajenda kaona ajenda nikugombania majimbo na chadema namshauri aende jimbo la Tundu mwana wa lisu)

Zitto naomba nimuulize swali la karibu tu! hivi zitto wewe ni mzalendo? zitto nikwanini? Umekua ukiongea vitu bila kujifikilia ulipotoka na upolipo sasa? Zitto nikwanini? umekua na wasiwasi sana juu ya hatma ya Kurudi bungeni?

Watanzania kuna haja kubwa yakuangalia watu wakuwapa dhamana yakusimamia Rasimali zetu! Haiwezekani mtu awe mbunge wa miaka 9 amiliki mali zote hizo halafu anajiita mzalendo anajivika joho la uzalendo kwa makusudi kabisa
 
Ayattolah ZZK amepata wapi fedha ya kuanzisha chama kilichoweza kufungua matawi nchi nzima ? kabla hayatangza mali zake hadharani basi atangaze mali za chama hadharani aeleze chanzo cha mali za chama hicho
 
Hiyo iliyotajwa ni thamani ya mali zinazojulikqna tu, je zile zisizofahamika au kuwekezwa kwa majina mengine ya marafiki kama ile ya Leka Tutigite zina thamani gani mbali ya cash aliyo nayo?
 
Mm ni mkandarasi kwa hyo 18m ni ela ya kununua tani kumi za nondo na kumiliki ghorofa si mchezo hapo utakua unaongelea mabilioni ya ela.zitto aache unafiki
 
Tumuache........... enough.
 
Hiyo iliyotajwa ni thamani ya mali zinazojulikqna tu, je zile zisizofahamika au kuwekezwa kwa majina mengine ya marafiki kama ile ya Leka Tutigite zina thamani gani mbali ya cash aliyo nayo?

Zille kampuni zake anadai ni non profit organizations sasa sijui zinaendeshwaje?
 
Nenda mahakamani....utaupata ukweli wotee....chukua vielelezo vyote against him.....otherwise zinabaki kuwa porojo

Umeelewa kichwa cha habari mkuu? hebu kisome tena.
 
Msing wa utata uko apa
 
Attachments

  • 1428319123381.jpg
    1428319123381.jpg
    59.6 KB · Views: 865
Ayattolah ZZK amepata wapi fedha ya kuanzisha chama kilichoweza kufungua matawi nchi nzima ? kabla hayatangza mali zake hadharani basi atangaze mali za chama hadharani aeleze chanzo cha mali za chama hicho

........kumbe na Mtei alianzisha Chadema kwa pesa yake !....ndo maana hataki 'mkwe' atoe chama kwa mtu yeyote ! :yo:
 
Hii habari inasambaa katika mitandao ya kijamii ni bora ukaitolea ufafanuzi naiweka kama nilivyoipokea.

Kamati Ya Zitto Kabwe ilikuwa si halali Maana kwa mfumo huu nayeye yumo kwenye mgao.
Katika magaazeti ya leo nilipitia kichwa cha Habari cha Gazeti la Mwananchi. Kilichosema Zitto anika mali zake! Sasa naomba Tuwe makini sana na wanasiasa kama hawa Ambao wamejivika majoho ya uzalendo kwenye macho ya watu lakini Si wazarendo ni wapenda sifa mabepari na niwatu wakujipendekeza! pendekeza.
Zitto amekua Mbunge wa kigoma Kasikazini kwa muda wa miaka Tisa 9 Zitto alitakiwa kumiliki mali zisizodi Milioni 886) lakini Zitto anamiliki mali ninazozikadiria Bilion 1.8 tena hizi nizile zinazo onekana kwenye macho ya watu!
anamiliki Gholofa Pale dodoma mjini, anamiliki gari la kifahari aina ya Hummery) ambayo ni moja ya magari ghari Duniani Tanzania ni watu wachache wanao miliki magari ya aina hiyo ambao hawafiki hata Kumi. anamiliki Nyumba mbili za kifahari Dar es salama) Moja ipo masaki ambayo anaishi yeye Mwenyewe akiwa Dar kwa ajiri ya starehe.
Anamiliki Nyumba mbili tena Za kifahari. pale kasulu kigoma
Achilia mbali umiliki wa nyumba Na mali hizo zote nilizokadiria kufukia bilion 1.8
anamiliki mgodi wa madini Diarasii kongo) huyu huyu zitto anaejiita mzalendo kunakipindi aligoma kuchukua posho bungeni kunakipindi alisema! Wabunge wasitembelee magari yakifahari huyu huyu zitto kunakipindi alisema suti ni ishara ya ubepari kwahiyo kana kwamba anaye vaa suti ni bepari lakini leo ndo mavazi yake!
Huyu huyu Zitto anajiita mzalendo na anayesema Act) ni chama cha upinzania katangaza kugombea majimbo waliyoyashika upinzani) Yaani majimbo ya chadema ati atagombea kawe, kwa halima mdee, Ubungo kwa John Mnyika, Singida kwa Tundu lisu, mbeya mjini. kwa sugu, na iringa kwa peter Msigwa,
Tangu nianze kufwatilia siasa Za Kimataifa Tangu nianze kufwatilia wanasiasa, Nakiri kwa mara yakwanza nakutana na mwanasiasa Ndani ya Tanzania ambaye ameishiwa sera ( Policy Forum) ajenda na miundo mbinu ambayo ndio silaha ya kuitwa mwanasiasa. Amekosa ajenda kaona ajenda nikugombania majimbo na chadema namshauri aende jimbo la Tundu mwana wa lisu)
Zitto naomba nimuulize swali la karibu tu! hivi zitto wewe ni mzalendo? zitto nikwanini? Umekua ukiongea vitu bila kujifikilia ulipotoka na upolipo sasa? Zitto nikwanini? umekua na wasiwasi sana juu ya hatma ya Kurudi bungeni?
Watanzania kuna haja kubwa yakuangalia watu wakuwapa dhamana yakusimamia Rasimali zetu! Haiwezekani mtu awe mbunge wa miaka 9 amiliki mali zote hizo halafu anajiita mzalendo anajivika joho la uzalendo kwa makusudi kabisa

Udaku wa aina hii hauna hadhi ya kuwa kwenye Jamii Forum labda uupeleke kule Glopal Publishers. Wakati mwingine kabla ya ku post topic uwe walau unajiuliza kama ina kiwango na siyo una post vitu ambavyo havina uhakika na hata ukimsimulia motto hawezi kukubali

Haya hebu tuambie chanzo cha hizo taharifa za mali za ZZK, kama chanzo ni wewe mwenyewe basi leta uthibitisho!
 
Siasa ya Tz nzuri jamani,ndo maana maprofesa wanakimbilia kuwa wanasiasa!
 
Hii habari inasambaa katika mitandao ya kijamii ni bora ukaitolea ufafanuzi naiweka kama nilivyoipokea.

Kamati Ya Zitto Kabwe ilikuwa si halali Maana kwa mfumo huu nayeye yumo kwenye mgao.
Katika magaazeti ya leo nilipitia kichwa cha Habari cha Gazeti la Mwananchi. Kilichosema Zitto anika mali zake! Sasa naomba Tuwe makini sana na wanasiasa kama hawa Ambao wamejivika majoho ya uzalendo kwenye macho ya watu lakini Si wazarendo ni wapenda sifa mabepari na niwatu wakujipendekeza! pendekeza.
Zitto amekua Mbunge wa kigoma Kasikazini kwa muda wa miaka Tisa 9 Zitto alitakiwa kumiliki mali zisizodi Milioni 886) lakini Zitto anamiliki mali ninazozikadiria Bilion 1.8 tena hizi nizile zinazo onekana kwenye macho ya watu!
anamiliki Gholofa Pale dodoma mjini, anamiliki gari la kifahari aina ya Hummery) ambayo ni moja ya magari ghari Duniani Tanzania ni watu wachache wanao miliki magari ya aina hiyo ambao hawafiki hata Kumi. anamiliki Nyumba mbili za kifahari Dar es salama) Moja ipo masaki ambayo anaishi yeye Mwenyewe akiwa Dar kwa ajiri ya starehe.
Anamiliki Nyumba mbili tena Za kifahari. pale kasulu kigoma
Achilia mbali umiliki wa nyumba Na mali hizo zote nilizokadiria kufukia bilion 1.8
anamiliki mgodi wa madini Diarasii kongo) huyu huyu zitto anaejiita mzalendo kunakipindi aligoma kuchukua posho bungeni kunakipindi alisema! Wabunge wasitembelee magari yakifahari huyu huyu zitto kunakipindi alisema suti ni ishara ya ubepari kwahiyo kana kwamba anaye vaa suti ni bepari lakini leo ndo mavazi yake!
Huyu huyu Zitto anajiita mzalendo na anayesema Act) ni chama cha upinzania katangaza kugombea majimbo waliyoyashika upinzani) Yaani majimbo ya chadema ati atagombea kawe, kwa halima mdee, Ubungo kwa John Mnyika, Singida kwa Tundu lisu, mbeya mjini. kwa sugu, na iringa kwa peter Msigwa,
Tangu nianze kufwatilia siasa Za Kimataifa Tangu nianze kufwatilia wanasiasa, Nakiri kwa mara yakwanza nakutana na mwanasiasa Ndani ya Tanzania ambaye ameishiwa sera ( Policy Forum) ajenda na miundo mbinu ambayo ndio silaha ya kuitwa mwanasiasa. Amekosa ajenda kaona ajenda nikugombania majimbo na chadema namshauri aende jimbo la Tundu mwana wa lisu)
Zitto naomba nimuulize swali la karibu tu! hivi zitto wewe ni mzalendo? zitto nikwanini? Umekua ukiongea vitu bila kujifikilia ulipotoka na upolipo sasa? Zitto nikwanini? umekua na wasiwasi sana juu ya hatma ya Kurudi bungeni?
Watanzania kuna haja kubwa yakuangalia watu wakuwapa dhamana yakusimamia Rasimali zetu! Haiwezekani mtu awe mbunge wa miaka 9 amiliki mali zote hizo halafu anajiita mzalendo anajivika joho la uzalendo kwa makusudi kabisa

Duu, nawe, ndo akili gani? We unamilki nini, Mungu akurudishe akhera kama huna akili ya kuzalisha maradufu
 
Back
Top Bottom