Yethero Mgale
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 525
- 228
Kweli wewe ni mateka wa Mbowe, Eti jimbo linaitwa "Mbowe" lipo mkoa upi hilo jimbo mkuu??
Mara ya pili na mara zote ndani ya Chadema yupo peke yake ni marufuku yeyote kuonyesha nia ya kutaka kuwa mgombea urais lazima utafukuzwa refer Zitto.
...ingekuwa hivyo angeweza kusimama kama mwanaume kuliko kujikomba komba kwa chadema na nccr kila kukicha, hamnamo kitu mlee bhahahhaaaaa...!! debe tupu kelele kibaaaoo..Akili ya Zitto nyie Bavicha wote hata robo hamuwezi kumfikia achalia mbali ma boss wenu.
Mkuu hata kwenye mwezi mtukufu unatetea majambazi?Huyu Bavicha kaokota maneno kwenye vijiwe vya mbege na kuleta JF anajua kabisa wapo pro-Chadema watakubaliana naye bila kuhoji hali muradi katajwa Zitto.
Heshima kwenu wakuu.
Wakati Zitto kabwe akikwaruzana na viongozi wenzake ndani ya CHADEMA alidai kuwa anapambana na mfumo WA kihafidhina ndani ya chama na kwamba alikuwa anapigania chama kuendeshwa kama taasisi na si kwa maamuzi ya MTU mmoja au watu wachache.
Baada ya kutimuliwa CHADEMA na kujiunga na ACT Zitto alijitanabaisha kwamba watajenga taasisi ya kidemokrasia yenye kutoa haki sawa kwa wanachama wote. Hivi karibuni Halmashauri kuu ya chama hicho ilitoa ratiba ya uchukuaji fomu na uteuzi wa wagombea WA nafasi za udiwani, ubunge na urais kwa tiketi ya chama hicho.
Cha ajabu hata kabla wanachama hawajaanza kuchukua fomu Zitto ameshateua na kuwatangaza watu wake watakaogombea ubunge kwenye baadhi ya majimbo bila kufuuta utaratibu wala kuteuliwa na kikao chochote! Wamefanya hivyo kwenye majimbo ya Bukombe, Kahama, Mbowe, Biharamulo na sasa baadhi ya wanachama wanaotaka kugombea kwenye majimbo hayo wameanza kulalamika.
Kwa demokrasia hii ya Zitto ni halali kweli au ndiyo udikteta unaanza kukijenga kwenye chama hicho?
Zito na wafuasi wake wote ndorobo tuu. Sin kadi ya chama chochote na miaka yangu hii.lakini Mara nyingi najiuliza chama tawala ni chadema CCM hama ACT, hivi vyama upinzani vinapambana na chama gani? Chadema, hama CCM. Nawaza tuu. Kama zito anajinadi sana kwa kuponda CHADEMA ni ndorobo x 1000. Chama tawala ni CCM.
Ndo maana muda mwingine uchelea kusema ACT ni tawi la CCM sioni wakiongeza nguvu kuiondoa madarakani wanatumia nguvu kuivunja cdm. Sioni wakivuna wanachama wapya zaidi ya cdm. Ina maana hawana mawazo ya kuiongoza nchi coz makao makuu yao ambayo CCM tayali inaongoza nchi mchana kweupe na wao tawi la CCM Wanafanya ya kuangalia na kuipoteza binafsi nashindwa kusema ndorobo
Heshima kwenu wakuu.
Wakati Zitto kabwe akikwaruzana na viongozi wenzake ndani ya CHADEMA alidai kuwa anapambana na mfumo WA kihafidhina ndani ya chama na kwamba alikuwa anapigania chama kuendeshwa kama taasisi na si kwa maamuzi ya MTU mmoja au watu wachache.
Baada ya kutimuliwa CHADEMA na kujiunga na ACT Zitto alijitanabaisha kwamba watajenga taasisi ya kidemokrasia yenye kutoa haki sawa kwa wanachama wote. Hivi karibuni Halmashauri kuu ya chama hicho ilitoa ratiba ya uchukuaji fomu na uteuzi wa wagombea WA nafasi za udiwani, ubunge na urais kwa tiketi ya chama hicho.
Cha ajabu hata kabla wanachama hawajaanza kuchukua fomu Zitto ameshateua na kuwatangaza watu wake watakaogombea ubunge kwenye baadhi ya majimbo bila kufuuta utaratibu wala kuteuliwa na kikao chochote! Wamefanya hivyo kwenye majimbo ya Bukombe, Kahama, Mbowe, Biharamulo na sasa baadhi ya wanachama wanaotaka kugombea kwenye majimbo hayo wameanza kulalamika.
Kwa demokrasia hii ya Zitto ni halali kweli au ndiyo udikteta unaanza kukijenga kwenye chama hicho?
Mkuu vipi Mbowe amekuwa supreme leader pamoja na mgombea urais wa kudumu Dr.Slaa hawa wote marufuku kuwapinga ukijaribu tu kuwapiga utajuta utafukuzwa kama paka.