Zitto hiyo si demokrasia

Zitto hiyo si demokrasia

Zito na wafuasi wake wote ndorobo tuu. Sin kadi ya chama chochote na miaka yangu hii.lakini Mara nyingi najiuliza chama tawala ni chadema CCM hama ACT, hivi vyama upinzani vinapambana na chama gani? Chadema, hama CCM. Nawaza tuu. Kama zito anajinadi sana kwa kuponda CHADEMA ni ndorobo x 1000. Chama tawala ni CCM.

Ndo maana muda mwingine uchelea kusema ACT ni tawi la CCM sioni wakiongeza nguvu kuiondoa madarakani wanatumia nguvu kuivunja cdm. Sioni wakivuna wanachama wapya zaidi ya cdm. Ina maana hawana mawazo ya kuiongoza nchi coz makao makuu yao ambayo CCM tayali inaongoza nchi mchana kweupe na wao tawi la CCM Wanafanya ya kuangalia na kuipoteza binafsi nashindwa kusema ndorobo
 
Zitto kaishamalizana na Chadema lakini cha kushangaza Chadema bado wanaofuata mpaka ACT - Wazalendo.

Toka lini wafuasi wa Chadema wakawa washauri wa ACT - Wazalendo.

Mkuu ungeaanza kwanza na Mbowe amekuwa kama mfalme anajiongezea muda tu na kuchakachua kipengere cha katiba ya chama hamna ukomo wa uongozi sana Mbowe anaendelea kwa Mwenyekiti wa Chadema mpaka achoke mwenyewe.

Badala ya kupambana na hili unapambana na Zitto ambaye hayupo Chadema.

nyani haoni kundule: na wewe ni mwanachama wa chama gani unaemtetea zito,kwanini usiwaacha act wajitetee wenyewe?
 
naona watu wengi wanaimbea mabaya chadema lakini hiatakuja itokee kwa kwasababu chadema walishajipanga na wanajua ujanja wenu
 
Duhhhh...Punguani tena...haya Ahsante
Wewe kuniambia akili za kipimbi ulikuwa upo sawa?

Mkuu mimi utaratibu wangu ukija kiungwana takupokea kiungwana ukija kihuni takupokea pia.
 
nyani haoni kundule: na wewe ni mwanachama wa chama gani unaemtetea zito,kwanini usiwaacha act wajitetee wenyewe?
Mimi siyo ACT - Wazalendo ninachofanya ni kupinga upotoshaji wenu.
 
Wewe kuniambia akili za kipimbi ulikuwa upo sawa?

Mkuu mimi utaratibu wangu ukija kiungwana takupokea kiungwana ukija kihuni takupokea pia.

Inshallah Mkuu haujakosea mkuu......hapo safi
 
Hiyo ni ishara yakukaririshwa maneno na dj mpaka wanajisahau nakumtaja bwana wao.Hiv nyie bavicha nilini mtaacha vichwa vyenu kutokuwa mapango yakufikiri kwaniaba yawatu wengine?
hilo jimbo la mbowe lipo wapi hapa tanzania bavicha bana.
 
Mimi siyo ACT - Wazalendo ninachofanya ni kupinga upotoshaji wenu.
Mkuu kuna "upotoshaji" Zito anafanya majukwaani kwamba CCM mafisadi na amewaangusha mara kadhaa na nchi ipo mfukoni mwa Rugemelira,em kubali au pinga
 
huu ni mchango wa Mwanachama Mwandamizi JF.Shaaaame hata kama umejipambanua kuwa mnafiki ila uwe serious sometimes.CCM na Chadema ambao kutwa mitandaoni wanafanya ubishani hawajamalizana??!!!!Zito ambaye moja kati ya singo zake majukwaani ni kujitapa kuiangusha serikali ya CCM,hawajamalizana??!!wa wapi huyu
Toa unafiki wewe kuwa serious kwako ni kumsifia Mbowe na Slaa.
 
Mbowe kachakachua katiba ya chama ili atawale milele.Ama kweli nyan haoni kundule,hv nyie Bavicha mmelishwa Limbwata ya wapi nyie.Mbowe ametawala kuanzia 2004 nabado kajiongezea muda mpaka 2020 nakuendelea lakini hamulioni hilo!!!!!cjui mmezeeka nyie!!!cjui mmekula maharage ya wapi nyie//!!
Huyo zitto si ndo mfalme wa ACT
 
Mkuu kuna "upotoshaji" Zito anafanya majukwaani kwamba CCM mafisadi na amewaangusha mara kadhaa na nchi ipo mfukoni mwa Rugemelira,em kubali au pinga
Upotoshaji gani wakati Zitto anasema kweli kuna ufisadi serikali wa Escrow umefanywa na viongozi wakishirikiana na benki ya Kanisa Mkombozi.

Au huajaona orodha ya Maaskofu waliopewa pesa ka Rugemalira?
 
Last edited by a moderator:
Zitto kaishamalizana na Chadema lakini cha kushangaza Chadema bado wanaofuata mpaka ACT - Wazalendo.

Toka lini wafuasi wa Chadema wakawa washauri wa ACT - Wazalendo.

Mkuu ungeaanza kwanza na Mbowe amekuwa kama mfalme anajiongezea muda tu na kuchakachua kipengere cha katiba ya chama hamna ukomo wa uongozi sana Mbowe anaendelea kwa Mwenyekiti wa Chadema mpaka achoke mwenyewe.

Badala ya kupambana na hili unapambana na Zitto ambaye hayupo Chadema.

...uko wrong dogo hakuna anayemfuatafuata zito, bali yeye katika juhudi za kujiweka kwenye saisa asipotee na kukosa tonge analazimisha bifu na chadema kumbe ndo anapotea. ukitaka kujua hilo ndo maana baada ya uamuzi wa mahakama hatukuwa na habari naye tena hata alipolazimisha aandikiwe barua apande chati....
 
haaah haaah umeshindwa kujibu hadi aibu.leo nipo nyuma yako mpaka tumalizane
Kwi kwi kwi kwi usipasue mbavu kwa kucheka hivi na wewe kweli uwa unajiona una hoja? JF kuna vituko. Punguani kama wewe zaidi ya kumsifia Mbowe na Slaa hamna kutu.

Teh teh teh teh
 
Zitto kaishamalizana na Chadema lakini cha kushangaza Chadema bado wanaofuata mpaka ACT - Wazalendo.

Toka lini wafuasi wa Chadema wakawa washauri wa ACT - Wazalendo.

Mkuu ungeaanza kwanza na Mbowe amekuwa kama mfalme anajiongezea muda tu na kuchakachua kipengere cha katiba ya chama hamna ukomo wa uongozi sana Mbowe anaendelea kwa Mwenyekiti wa Chadema mpaka achoke mwenyewe.

Badala ya kupambana na hili unapambana na Zitto ambaye hayupo Chadema.

Kwani kumwanika kwamba ameshindwa kusimamia kauli yake ni kumfuatilia/kuishauri act?
 
Last edited by a moderator:
...uko wrong dogo hakuna anayemfuatafuata zito, bali yeye katika juhudi za kujiweka kwenye saisa asipotee na kukosa tonge analazimisha bifu na chadema kumbe ndo anapotea. ukitaka kujua hilo ndo maana baada ya uamuzi wa mahakama hatukuwa na habari naye tena hata alipolazimisha aandikiwe barua apande chati....
Akili ya Zitto nyie Bavicha wote hata robo hamuwezi kumfikia achalia mbali ma boss wenu.
 
Last edited by a moderator:
Upotoshaji gani wakati Zitto anasema kweli kuna ufisadi serikali wa Escrow umefanywa na viongozi wakishirikiana na benki ya Kanisa Mkombozi.

Au huajaona orodha ya Maaskofu waliopewa pesa ka Rugemalira?
ok ok tufunge mjadala kusema kwamba Kikwete is nothing na serikali yake na system ilienda likizo kiasi cha maaskofu kujipigia hela.tunahitaji kuendelea na majizi?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom