Change ana doctorate kumbukaMimi nadhani CAG angekuwa anamalizana na vyombo vya serikali tu kwa maana ya Takukuru, Polisi na DPP, haya mambo ya sijui PAC ni ulaji na siasa tu hayana tija yoyote.
Hawa akina Sugu, Kibajaji na Msukuma ndio wa kupitia ripoti ya CAG kweli?........ Nchi za wenzetu mbunge ni lazima awe na japo ka degree!
Mbaya sana kutumia pesa ya watanzania wote kwa matakwa yako binafsi.Spika wa Bunge leo amefanya preemption ya Taarifa ya PAC inayoingizwa Bungeni kesho. Anasema mimi muongo kwa kusema kuwa TZS 1.5T hazikuonekana katika Ukaguzi wa Hazina. Kesho PAC watatoa Taarifa na pia Taarifa ya CAG itawekwa wazi. Wananchi, Hazina yenu sio salama kabisa
Huyu Zito kwa sababu hahongwi siku hizi ndo anadhani hazina haina kitu!? Akili za Zito wanazijuaga chadema tu, ataishia kunawa tu awamu hii, hali. Ni dhahiri chama chake kina hali mbaya sana.
Kwani ameanza awamu hii? Zitto anawapeleka puta eee?Huyu Zito kwa sababu hahongwi siku hizi ndo anadhani hazina haina kitu!? Akili za Zito wanazijuaga chadema tu, ataishia kunawa tu awamu hii, hali. Ni dhahiri chama chake kina hali mbaya sana.
Amalizane na vya UDOLA tuu..Mimi nadhani CAG angekuwa anamalizana na vyombo vya serikali tu kwa maana ya Takukuru, Polisi na DPP, haya mambo ya sijui PAC ni ulaji na siasa tu hayana tija yoyote.
Hawa akina Sugu, Kibajaji na Msukuma ndio wa kupitia ripoti ya CAG kweli?........ Nchi za wenzetu mbunge ni lazima awe na japo ka degree!
Sasa jukwaa la biashara si lipo nenda kule.Mitandao ya kijamii imekuwa jukwaa la udaku.
Yaani tuna safari ndefu ya kutumia mitandao ya kijamii kwa maendeleo km kwa biashara (e-commerce); elimu; afya nk.
ukiona sirkalii imekosa cha kujibu ila inamtumiaa kupunguani wao msiba kujibu vitu vya msingii ujuwe ujue viongozii ni VILAZAUkiona Zitto ana hangaika hivi ujue hakuna pesa iliyo ibiwa wala kupotea......Zitto kapigwa chenga hahahaha
Conglts [emoji122] [emoji122] [emoji122]Mara zote tumetumia lugha nyepesi lakini hawaelewi
Zitto amekula sana kwenye hizo kamati enzi zake. Je mashirika ya umma yalikuwa salama?Spika wa Bunge leo amefanya preemption ya Taarifa ya PAC inayoingizwa Bungeni kesho. Anasema mimi muongo kwa kusema kuwa TZS 1.5T hazikuonekana katika Ukaguzi wa Hazina. Kesho PAC watatoa Taarifa na pia Taarifa ya CAG itawekwa wazi. Wananchi, Hazina yenu sio salama kabisa
Yah right ........... Zanzibar watakuwa wamerudisha ile pesa!!Ukiona Zitto ana hangaika hivi ujue hakuna pesa iliyo ibiwa wala kupotea......Zitto kapigwa chenga hahahaha
Hata maisha yetu sio salama kabisa chini ya utawala huu
MANENO kuntu walahi
Nasi Wananchi tunamwona mla Arv yuko naked kabisa walahi
Sent using Jamii Forums mobile app