Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,647
- 164,801
Spika wa Bunge leo amefanya preemption ya Taarifa ya PAC inayoingizwa Bungeni kesho. Anasema mimi muongo kwa kusema kuwa TZS 1.5T hazikuonekana katika Ukaguzi wa Hazina. Kesho PAC watatoa Taarifa na pia Taarifa ya CAG itawekwa wazi. Wananchi, Hazina yenu sio salama kabisa