By Wabhejasana
"Hakuna ubishi kwamba Zitto anakubalika na anao wafuasi wengi na hasa ukanda wa Ziwa ambao hakuna ubishi kwamba una watu wengi,lakini Slaa naye ana kundi kubwa ingawa kwa kiwango kikubwa anaonekana kuungwa mkono zaidi na watu kutoka kaskazini ambao ukiangalia idadi yake si kubwa kama ile ya Ziwa,kwa hiyo kinachokuja kutokea hapa ni kwamba zitabaki zile kanda za kusini,kati na mashariki ambapo huko itategemea nani mwenye mvuto zaidi na kwa vyovyote ni lazima watagawana ingawa kuna mshindi lazima tapatikana bila kujali ni Zitto ama Dr Slaa"
Huku ni Uongo mkuu. kukubalika kwa Zitto kulitokana na Juhudi za DR. Slaaa,
Wabunge wengi wa Chadema wameongezeka bungezi ni juhudi za DR. Slaa
kanda ya ziwa DR. Slaa anakubalika kuliko mtu yeyote : wazeee kwa vijana , zitto labda akubalike kigoma peke yake na Tena kwenye jimbo lake.
Baada ya DR. Slaa kanda ziwa anayefuata kukubalika ni Maghufuli, ambaye sasa umaarufu wake umeanza kupungua.
Kwa kanda ya ziwa List ya wtu wanokubalika.
DR. Slaaa....60%
Maghuli........15%
Sitta.............12.5%
Zitto..............12.5%
Nyanda za Juu kusini.
DR. Slaaa.........54%
Mwandosya.......30%
Mwakyembe.......11%
Zitto.................05%
Kusini(Lindi,Mtwara)
Membe..........54%
DR. Slaa..........36%
Zitto..............10%
Nyanda za Juu kaskazini
DR. Slaa..........70%
Lowasa...........26%
Zitto............04%
Dar + Pwani
Kikwete......48%
Dr. slaaa......42%
Zitto...........10%