Zitto azomewa Bukoba

Kapwela

Ni kweli mkutano ulijaa, Lakini wengi walikuwa Chadema na walikuwa wakizomea tu.
 
Last edited by a moderator:
hebu acha uongo mweupe wewe unadhan kwenye mkutano ulikuwepo wewe tu? mbona hutaj idadi ya waliorudisha kad zenu hizo ? mbona husem maandamano aliyofanyiwa?? nimeamin kwel unafk mbaya!! ulijua hakuna tunaofatilia et?

Sasa si ndiyo utuambie wewe!
 
hebu acha uongo mweupe wewe unadhan kwenye mkutano ulikuwepo wewe tu? mbona hutaj idadi ya waliorudisha kad zenu hizo ? mbona husem maandamano aliyofanyiwa?? nimeamin kwel unafk mbaya!! ulijua hakuna tunaofatilia et?

Wacha kutokwa na povu kama umekula sumu,tuwekee picha tuone hao watu.
 
Niliona watu wanapiga makelele ckujua kwanin,nilipokabia niliona kama kina kuzomewa lakin skutaka kufuAtlia ni kwann maana nilkuwa napita na nilikuwa na haraka.

Hata hivi kwa ztto kazomewa sehem nying

Mkuu afadhali umetupa ukweli
 
Credible Viewer Zzk kwa kujiona kama yeye ndiye cdm,leo kawaona wahaya.
 
Last edited by a moderator:
Ina maana yeye anaangalia personal glory ya kuiangusha serikali! Kiazi kweli huyu
 
Mimi naamini huyu bwana Mdogo atapata aibu kubwa siku za usoni nahii nifundisho kwa wanasiasa wanaoweka mbele matumboyao huku wakidhani Watanzania waleo niwale wa miaka ya 90.Ngoja nahuo Ubunge aukose kabisa hapa kigoma ndio ajue kwamba haikuwa kwa Kabourou tu
 
Acha uongo wew nimekuwepo kwenye mkutano mwanzo mpk mwisho hakuna k2 kama hicho.
 
CHADEMA tunatafuta kutawala,act ndio mnajijenga kwa watu ili wawajue
 
Act hata diwani hamtapata uchaguzi ujao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…