Elections 2010 Zitto Auza Nguo Mkutanoni Kumchangia Mgombea Ubunge Sumbawanga

Ni ubunifu huo, kwa lugha nzuri ni 'Zitto aendesha harambee ya kuchangia kampeni za Chadema'.
 
Kweli kumepambazuka ! Wengine CCM tuliionya tangu mapema kuwa huu ni mwaka wa ukombozi - kuna waliotusikia na wapo walioweka pamba masikioni. Nachukua nafasi hii tena kumwonya Kikwete na familia yake kuwa waanze kufungasha mapema wasije wakaathirika wala mbinu za kuzichakachua kura wazisahau kabisaa kwa faida yao na wananchi kwa ujumla wao. Hizi siku kumi zilizobakia, watashuhudia moto ambao hawajauona hata kwenye ndoto zao kwani wananchi wamechoka na sasa wameamua - CCM basi kaput !
 
Watu wajinga na maskini wakiamka na kujitambua hufanya maamuzi yanayoweza kuwashangaza walimwengu. CCM bila shaka ujumbe mmeupata.
 
hata shinyanga aliongoza harambee hiyo na watu walichanga fedha halali zenye baraka ya ushindi!
 
Chadema imeishiwa inatembeza BAKURI
Sisiem si wezi na mafisadi na ufadhili wa wahindi? Chadema watachangiwa na raia maskini kama Obama alivyofanya na kushinda. Hata KJ si unajua anakwendaga kukinga bakuli na alisema hadharani????????
 
Ngome nyingi za CCM zimebomoka safari hii. umati niliouna Sumbawanga Jana sikuamini ile ndiyo Sumbawanga iliyokuwa inakumbatia CCM miaka iliyopita.
 
waambie ndugu zako waache kututumia msg za kijinga eeeti tumejenga udom tuwachague mbona hamsemi tumeenda sana uk tuwachague!

Wasijipe sifa na hicho Chuo. Kwani wanatumia raslimali za nani kujenga hicho chuo kama siyo za taifa? Hakuna cha maana wamefanya miaka mitano yote. watupe gharama za hicho chuo na raslimali walizopewa na walizoiba tufanye assessment. VOTE FOR DR. SLAA
 
Wabaya ni waliouza viwanda vya nguo kwa maslahi binafsi na wala sio anayeuza nguo kumsaidia mwenzake. HONGERA ZITTO.
 
Back
Top Bottom