Elections 2010 Zitto Auza Nguo Mkutanoni Kumchangia Mgombea Ubunge Sumbawanga

CHADEMA Mpo JUU SANAAAAAAA!! mnachangiwa na wananchi maskini wa Tanzania ili siku mtakayoingia IKULU muwakumbuke hao. CCM wanachangiwa na mafisadi na hawatawasahau kamwe hao mafisadi mara watakapoingia IKULU. Tuko pamoja sisi watanzania maskini tutawachangia tena sana na mkiingia IKULu mkumbuke maslahi yetu. Tuna hakika mko tafauti hamwezi kumwacha Mtanzania yeyote!!

Jamani mliona mchakato majimboni jana?? Duh!! CHADEMA wako juuu!!
 
Back
Top Bottom