Kama kuna watu wanamwangusha rais JK ni waziri wa Ardhi, huyu mama sijui anashida gani ama nyumbani ama ofisini. Tangu ameingia wizarani ameshindwa kwenda na kasi walau ya Magufuli, hivyo kuwa mtu wa business as usual, shame on her. Utaendeleza makazi vipi wakati umeshindwa kuja na sera na sharia nzuri za umiliki wa ardhi na viwanja?? umeruhusu halmashauri ambazo ni serikali za mitaa kugeuza ardhi chanzo kikuuu cha mapato ile hali utanzania Wangu ni pamoja na kumiliki kipande cha ardhi kwa pamoja na watanzania wenzangu. Iweje niwe mtanzania ambaye siwezi kumiliki kiwanja jap cha kujenga nyumba moja? pili kwa nini viwanja view 20x15, 20x20 hata 30x20, hii ni aibu kwani anashindwa nini kuweka sera ambayo kiwanja lazima kiwa 40x40 kwa ajili ya nyumba na sehemu za maua miti bustani ya mboga etc, waziri anayekaririshwa high density za nini? ameshindwa kuja na mpango wa kupima viwanja vya kutosha. Ameruhusu bei za kiwanja kuwa anasa, hivi kweli anaakili huyu profesaa au kaupata vipi uprofesa bila ujuzi na akili za kutatua shida na kero za wananchi??? kama mita square moja ni TZS 3500-8000/- hivi kweli watu wenye mishahara au kipato cha lak 2 kwa mwezi wataishi juu ya miti milele??? Rais alikupa uwaziri na wewe uuze sura kwenye mikutano na semina, au kwa wanabukoba??? ni aibu tangu umeingia hakuna kitu cha maana umefanya unakula posho tu ona haya dada, au mama. Umeachia ardhi imekuwa biashara, unamsaada gani kwa serikali???? iweje mtu ajigawie au agawiwe kijanja viwanja zaidi ya 30 harafu aanze kuuza kwa bei ghali utazani aliipanda hiyo ardhi, je kwanini isiwe kama mtu anataka kuuza kiwanja arudishiwe hela yake/cost recovery + inflation kidogo na mtu mwingine achukue, au arejeshe kiwanja serikalini ili mtu mwingine agawiwe, hakuna biashara ya kununua viwanja kwa rushwa harafu mtu afanye ulanguzi kwa watz wenzake ni wizi huo. Nawasilisha kwa maoni yangu huyo ndo waziri zero kabisa ktk serikali hii. Mbaya zaidi anafuatiwa na Sophia, mbaya zaidi anakukuja hawa fujo, anafuatia mkangara. Ni aibu hawa wamama.