Kifulambute
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 2,539
- 755
Source Eatv.
Judge kaamua kuwa kamati haitakuwa na mamlaka ya kujadili uanachama wake mpaka atakaposikilizwa na pingamizi lake na baraza ndio litakalo amua uanachama wake.
Kamati kuu ya chadema haitajadili uanachama wake au chombo chochote hadi kesi ya msingi isikilizwe.
There is no suprise! Yametimia,amekuwa mbunge wa mahakama.
Chezea zito nyie hahahahhahahahaha
Alhamdulilah.
jaa alhaq wazakal batwil. innalbatwil kana zahuka!!!!!!
Haki imekuja na batil imeondoka... Na siku zote batili ndio yenye kupotea/kuondoka