Kifulambute
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 2,539
- 755
Ni kweli ameshinda pingamizi lake mahakamani leo
Source Eatv.
Judge kaamua kuwa kamati haitakuwa na mamlaka ya kujadili uanachama wake mpaka atakaposikilizwa na pingamizi lake na baraza ndio litakalo amua uanachama wake.
Kamati kuu ya chadema haitajadili uanachama wake au chombo chochote hadi kesi ya msingi isikilizwe.