Zitto aonyesha vitabu anavyosoma

watu wanapataga wapi muda wa kusoma hivyo vitabu? mi nikipata muda ni kwenye internet tu
 
Sasa kusoma kote vitabu kaishia kukabidhi akili yake kwa Mengi na Nimrod, mwili kukabidhi kwa kina Vanessa Mdee na Wema,kama kusoma vitabu ndo akili basi Mh.Chenge aliowaokoa Bungeni kutengeneza Formulation ya Escrow atakuwa kusoma Vitabu tani tatu

Hujui hata lugha yako ya taifa? Shame on you.
 
Sasa kusoma kote vitabu kaishia kukabidhi akili yake kwa Mengi na Nimrod, mwili kukabidhi kwa kina Vanessa Mdee na Wema,kama kusoma vitabu ndo akili basi Mh.Chenge aliowaokoa Bungeni kutengeneza Formulation ya Escrow atakuwa kusoma Vitabu tani tatu

salome mi mwenyewe nilishaangaa kuona mtuhumiwa akimwelekeza spika njinsi ya kumhukumu,anapendekeza namna gani achukuliwe hatua ni shida
 
ndio maana zitto ana akili sana! nina uhakika zitto ni mbunge mwenye uelewa mkubwa kuliko wabunge wote,

hana akili yoyote huyu zito. ni msaliti tu. muulize yeye ana ubia gani na ACT? lile gari land cruser station wagon T299 DCF leo kawapa vijans wa ACT- kasulu ili wavuruge uchaguzi. ata asome vitabu vya kujaa basi, kama hatoachana na umimi na usaliti basi mwisho wake kisisa ni ndani ya 2015
 
Ndo maana kawapiga wenzake wengi gap ya kutosha katika uelewa wa mambo mbalimbali,he's proved that he has got all the makings of a great leader

Ok. Ni msomaji mzuri. Nataka kujua ameandika vitabu vingapu. Kusoma siyo issue. Kwanza kabisa ni uwezo wa kufanyia kazi kile ulichosoma. Je, kuna kitabu kilimfundisha kuwa msaliti? Yaani kwenye chama chako usijadili kwenye vikao halali vya chama kile unachoona hakiendi sawa? Inawwzekana haelewi kile anachokisoma jinsi ya kukitumia. Lakini kama angekuwa ameendika vitabu kutokana na hilo lundo alilosoma, ningemsifia. Otherwise kama ni kusoma tu, wengi wanasoma. Aandike akiwanukkuu hao ili kukipa hadhi anachokifanya. Vinginevyo tuna uhakika gani kama kweli anaelewa anachosoma.
 
Nilivoona vitabu nikasifu bonge la mwandishi kumbe bonge la msomaji andika tupime upeo wako. tumia ulichosoma kisha andika
 

Kweli unaweza kumtoa muha shamba lakini huwezi kumtoa ushamba kichwani mwake, nani msomi wa kisasa bado anarundika vitabu ndani wakati unaweza kutumia itune au amazon kindle kununua na kudownload vitabu vyote hivyo ukasoma kwenye ipad, laptop, smartphone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…