Nanaa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,893
- 3,711
Hivi kusoma vitabu ni ubishoo?kweli watanzania wana IQ ndogo kuliko nchi yoyote duniani
Sio ubishoo tu Bali ni anasa kabisaaa...
Hivi kusoma vitabu ni ubishoo?kweli watanzania wana IQ ndogo kuliko nchi yoyote duniani
Hivi Sugu na Lema wanasoma vitabu gani?
Watanganyika ndo watu wenye roho mbaya zaidi duniani.
watanganyika wanaongoza kwa ushirikina.
watanganyika ndo watu wenye IQ ndogo kabisa duniani.
Hizo ni takwimu za utafiti uliofanywa dunia nzima.
na sample space walitoka humu JF., hasa Jukwaa la siasa na celebrity.
Eti vitabu anavyosoma.... So what??????!!!!!!
Hivi Sugu na Lema wanasoma vitabu gani?
Hivi Sugu na Lema wanasoma vitabu gani?
na bogus lusinde je?!SUGU hana muda mchafu wa kusoma vitabu, yeye na GANJA, ganja na yeye.
Hivi Sugu na Lema wanasoma vitabu gani?
Ok. Ni msomaji mzuri. Nataka kujua ameandika vitabu vingapu. Kusoma siyo issue. Kwanza kabisa ni uwezo wa kufanyia kazi kile ulichosoma. Je, kuna kitabu kilimfundisha kuwa msaliti? Yaani kwenye chama chako usijadili kwenye vikao halali vya chama kile unachoona hakiendi sawa? Inawwzekana haelewi kile anachokisoma jinsi ya kukitumia. Lakini kama angekuwa ameendika vitabu kutokana na hilo lundo alilosoma, ningemsifia. Otherwise kama ni kusoma tu, wengi wanasoma. Aandike akiwanukkuu hao ili kukipa hadhi anachokifanya. Vinginevyo tuna uhakika gani kama kweli anaelewa anachosoma.
Nilivoona vitabu nikasifu bonge la mwandishi kumbe bonge la msomaji andika tupime upeo wako. tumia ulichosoma kisha andika
Naamini akikuonyesha kazi/vitabu alizo/vyoandika utakuja na mengine. Kawaida ya wanadamu hawaishiwa na ya kusema. Hasa wenye wivu wa kike.
Kwa akili yako mtu huonewa wivu vitabu alivyosoma? Nikikuonesha nilivyosoma na nilivyoandika si utapagawa wewe. Mi ni mtu wa library toka grade 3 nyumbani hapajawahi kosekana majarida ya ndani na kimataifa toka enzi hizo za drum,africa now. ezi za kina rimmmer ludlum nina hiyo culture ya kusoma mwanangu. Nimesoma mpaka vitabu vilivyokuwa haviruhusiwi vya kina kambona kina field marshall okelo kwahiyo nilisoma na ninaendelea kusoma vya darasani vya hadith vya matukio majarida magazei na mengineyo.niko well informed usinikadirie. Na wasomaji ni wengi tu si mimi tu wala si zitto na makamba tu. Hatuoneshi vitabu ila tunaonesha parmanent change in behavior kutoka kwenye knowledge tuliyopata. Unaweza ukasoma ukabakia kujua tu kwamba flani mwaka flani alisema hivi. Kitabu flani kilisema hivi hilo sio lengo .lengo ni kupata new skills,positive attide and behavior maana vitabu havisemi lolote. Juzi makamba alitoa humu jf wasifu wake akasema vitabu alivyosoma vya uchumi anadhani vimemweka sawa na mtu mwenye digrii ya uchumi.Nikibishia hilo najua utanitukana.naye sikubaliani nae.Mi sio kama ninyi vijana mnaosoma madesa na pamphlets mnaoingia kwenye mitihani na nondo
Eti vitabu anavyosoma.... So what??????!!!!!!
That ZZK is one of the most intelligent politicians of our times is undisputed. However, he needs a little bit of wisdom in his undertakings.