Zitto aonyesha vitabu anavyosoma

Zitto aonyesha vitabu anavyosoma

watu wanapataga wapi muda wa kusoma hivyo vitabu? mi nikipata muda ni kwenye internet tu
 
Sasa kusoma kote vitabu kaishia kukabidhi akili yake kwa Mengi na Nimrod, mwili kukabidhi kwa kina Vanessa Mdee na Wema,kama kusoma vitabu ndo akili basi Mh.Chenge aliowaokoa Bungeni kutengeneza Formulation ya Escrow atakuwa kusoma Vitabu tani tatu

Hujui hata lugha yako ya taifa? Shame on you.
 
Sasa kusoma kote vitabu kaishia kukabidhi akili yake kwa Mengi na Nimrod, mwili kukabidhi kwa kina Vanessa Mdee na Wema,kama kusoma vitabu ndo akili basi Mh.Chenge aliowaokoa Bungeni kutengeneza Formulation ya Escrow atakuwa kusoma Vitabu tani tatu

salome mi mwenyewe nilishaangaa kuona mtuhumiwa akimwelekeza spika njinsi ya kumhukumu,anapendekeza namna gani achukuliwe hatua ni shida
 
ndio maana zitto ana akili sana! nina uhakika zitto ni mbunge mwenye uelewa mkubwa kuliko wabunge wote,

hana akili yoyote huyu zito. ni msaliti tu. muulize yeye ana ubia gani na ACT? lile gari land cruser station wagon T299 DCF leo kawapa vijans wa ACT- kasulu ili wavuruge uchaguzi. ata asome vitabu vya kujaa basi, kama hatoachana na umimi na usaliti basi mwisho wake kisisa ni ndani ya 2015
 
Ndo maana kawapiga wenzake wengi gap ya kutosha katika uelewa wa mambo mbalimbali,he's proved that he has got all the makings of a great leader

Ok. Ni msomaji mzuri. Nataka kujua ameandika vitabu vingapu. Kusoma siyo issue. Kwanza kabisa ni uwezo wa kufanyia kazi kile ulichosoma. Je, kuna kitabu kilimfundisha kuwa msaliti? Yaani kwenye chama chako usijadili kwenye vikao halali vya chama kile unachoona hakiendi sawa? Inawwzekana haelewi kile anachokisoma jinsi ya kukitumia. Lakini kama angekuwa ameendika vitabu kutokana na hilo lundo alilosoma, ningemsifia. Otherwise kama ni kusoma tu, wengi wanasoma. Aandike akiwanukkuu hao ili kukipa hadhi anachokifanya. Vinginevyo tuna uhakika gani kama kweli anaelewa anachosoma.
 
Nilivoona vitabu nikasifu bonge la mwandishi kumbe bonge la msomaji andika tupime upeo wako. tumia ulichosoma kisha andika
 
kwenye mtandao wake wa facebook kapost vitabu alivyosoma mwaka huu 2014

JANUARY MAKAMBA naye ana library kubwa tuu ya vitabu

https://www.facebook.com/photo.php?...1759799.111977.100000321189166&type=1&theater



1544495_859146117439420_8142435975342890763_n.jpg


10873456_859146107439421_1290674195868805605_o.jpg


10433079_859146104106088_1134534736730823874_n.jpg

10848505_859146114106087_2604473700147684067_o.jpg

10334249_859106847443347_5507784812553632661_n.jpg


kuhusu hiko kitabu hichi juu anasema hivi:

"Jakaya Kikwete anaingia ameingia katika mwaka wake wa mwisho wa uongozi wake akiwa na mtihani mkubwa unaohusu ‘legacy’ yake mwenyewe. Ni Kiongozi pekee wa Tanzania aliyeruhusu taasisi za Uwajibikaji kufanya kazi zake na hata yeye kujikuta akichukua hatua kulingana na maamuzi ya taasisi hizo. Kabla yake, hakuna Rais wa Tanzania aliyetoa nafasi kwa Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kufanya kazi zake kwa uwazi na umahiri. Hatua yake ya kujadili kwa uwazi taarifa ya CAG ya mwaka unaoishia Juni 30, 2006 kwa kuwaita Mawaziri, Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya, kasha Makatibu Wakuu, Ma RAS na Ma DED ilijenga msingi mkubwa wa taarifa zinazofuata za CAG. Mwaka 2012 alifukuza kazi mawaziri 6 na manaibu mawaziri 2 kufuatia Taarifa za Kamati za Bunge za Mahesabu zilizotokana na Taarifa ya CAG. Haikupata kutokea katika historia ya nchi yetu Rais kufanya hivyo. Hata hivyo, Rais Kikwete amepata changamoto kubwa inayotokana na mafanikio yake ya miaka 9 ya uongozi wake. Namna atakavyo shughulikia suala la akaunti ya Tegeta Escrow, ama itafuta ‘legacy’ yake au itaiimarisha. Akiimarisha atakuwa ‘redefining leader’ – Kiongozi ambaye anatoa changamoto kwenye mazoea na kufanya yale ambayo wenzake walishindwa."

Soma RaiaTanzania kesho Jumatatu katika jarida la Elimu. Hiki ni kitabu changu cha mwisho wa mwaka huu 2014 The Myth of The Strong Leader by Prof. Archie Brown


https://www.facebook.com/photo.php?fbid=859106847443347&set=a.102079856479387.4657.100000321189166&type=1&theater

Kweli unaweza kumtoa muha shamba lakini huwezi kumtoa ushamba kichwani mwake, nani msomi wa kisasa bado anarundika vitabu ndani wakati unaweza kutumia itune au amazon kindle kununua na kudownload vitabu vyote hivyo ukasoma kwenye ipad, laptop, smartphone.
 
Back
Top Bottom