Zitto aonyesha vitabu anavyosoma

Kwa jinsi hiyo mnavyo msifia mme wenu hata akionyesha choo anachotumia kunyea mtatuletea hapa ili tujadili jf
 
Hahaha. Kwa hiyo kwenye Ofisi ya sugu hakuna kitabu hata kimoja. kuna vipisi vya fegi na ganja tu

ungekuwa umetenda haki kwa kueleza vitabu au magazeti wasomayo makatibu wakuu wa vyama vya siasa nchini.
 
mi nasubiri list ya vitabu vilivyosomwa na wenyeviti wa vyama. naamini hapa wenyeviti ngoma itakuwa duroo:becky:
 
Watoto wa MULUGO saa ngapi mtaelewa umuhimu wa kuwa na shelves nyumbani..?!?
 
mi nasubiri list ya vitabu vilivyosomwa na wenyeviti wa vyama. naamini hapa wenyeviti ngoma itakuwa duroo:becky:

Najaribu kufikiria Mbowe atakuwa anasoma vitabu gani
 
SUGU hana muda mchafu wa kusoma vitabu, yeye na GANJA, ganja na yeye.

ccm itazidi kupoteza viti vingine zaidi mwakani ikiwa na wanachama wenye mawazo mgando kama hawa waropokajii wanaoamini katika vijembe.
 
Sijaona hata kimoja chenye maana. Vyote ni history.Angejisomea tu " The Secrte"The master Key System nungemwelewa.Otherwise anakopi na kupaste mafanikio na makosa wengine Ulayani, Asia na Uislam

aisee!! labda alisoma au atasoma umejuaje?

Kuna mtu anakupangiaga cha kusoma?
 
Hakuna kitu debe tupu haliachi kutika. Kwani kusoma vitabu na issue. Apeleke huko u bisho wake.

Hebu tutolee ujinga na ushamba wako hapa. Utakua msomi wa gani ambaye utakua hujasoma vitabu? Unaonekana personally unamchukia Zitto na hapa sio sehemu ya kujadili mambo binafsi.
 
Watu wanachukia kuona Zitto anasoma vitabu hadi kumtukana. Watanganyika sijui akili waliacha wapi!
 
Watanzania siku zote ni wavivu wa kusoma vitabu,hii imedhihirika hata hapa jf.Nilitegemea kwamba watu watamuunga mkono zitto na wengine wote wenye kusoma vitabu,matokeo yake tumekuwa watu wenye kejeri na maneno mengi yasiyo na mantiki,lakini tukumbuke kwamba siku zote maarifa hayaongezwi kwa kusoma magazeti ya udaku na stori za siasa bali kwa kusoma vitabu mbalimbali. Big up zito.Hii inatukumbusha wale ambao tuko kwenye harakati za ujenzi wa vibanda vyetu kuweka study room ili kuwajenga watoto wetu katika kusoma literature.
 
Watu wanachukia kuona Zitto anasoma vitabu hadi kumtukana. Watanganyika sijui akili waliacha wapi!

Watanganyika ndo watu wenye roho mbaya zaidi duniani.

watanganyika wanaongoza kwa ushirikina.

watanganyika ndo watu wenye IQ ndogo kabisa duniani.


Hizo ni takwimu za utafiti uliofanywa dunia nzima.


na sample space walitoka humu JF., hasa Jukwaa la siasa na celebrity.
 
Safi sana kijana anaongeza knowledge halafu wengine wanamponda. Wakati tokea wasome vitabu vya secondary hadi leo hawajasoma kitabu chochote!
 
mkuu,yaani hali hii inasikitisha na kukatisha tamaa sana.hii kitu kuna uzi nilishawahi sema kuwa kama mtu anashindwa kusoma uzi hapa JF mpaka mwisho,tena uzi mfupi tu au mchango mfupi tu wa mwana JF mwenzake,na ambaye anajiita msomi (mmojawapo ni mwanasheria)kwa kusema kuwa eti mtu kwa nini aandike li post reeeefu ambalo kwa yeye anasema hawezi kulisoma,halafu eti mtu kama huyo huyo kesho anatakiwa atuwakilishe kwenye kuweka saini mkataba fulani ambapo analetewa mavolume kwa mavolume,je tutegemee nini kwa huyo mtu!!!??nafikiri sasa inabidi tutafute njia ya kuwaachia urithi wa kupenda kusoma watoto wetu ili taifa la kesho lisije kuwa taifa la watu wasio na maarifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…