Naomba unipe majibu ya haya maswali:
(1). Kama ni kweli Zitto alikuwa na nguvu ndani ya Chadema ni kwa nini viti vya madiwani vilipungua?
(2). Na kwa kuwa Zitto ananguvu ndani ya Chadema kwa nini hakuongeza mbunge hata mmoja wakawa wawili na kiendeleza mapambano ya ukombozi?
Ujerumani wanatumia Dollar? Ila sikushangai!! Hata viongozi wako wa Chadema shule iliwashinda. Mwenyekiti Mbowe alitaga mtihani wa form six, Lema form four failure, Sugu aliishia form two, Msigwa darasa la saba na Mnyika ambaye ndio jembe lenu lilifeli Chuo kikuu cha Dar es Salaam.
Kama viongozi wako hivyo unategemea wafuasi wao wakoje?
wewe ni shabiki maandazi tu,hana lolote huyo msaliti ,tuliopo site tunajua alishachuja na anatumiwa na ccm ambayo watz wameikataa na wanasubiri daftari tu liboreshwe wamkatae shetwani ccm na vibaraka vyake kama actunaongea nini wewe kinyesi? hawa wabunge walioongezeka mpaka kufikia 22 wametoka wapi? hujui ile saccos kipindi ikiwa chama ilikuwa na wabunge 5 tu? na wabunge 2 tu wakiwa active ambao ni Zitto na slaa. au huifikirishi vizuri hiyo coconut yako juu ya shingo?
Ha ha ha! Kama movie, Starring yeye, adui yeye!
Ujerumani wanatumia Dollar? Ila sikushangai!! Hata viongozi wako wa Chadema shule iliwashinda. Mwenyekiti Mbowe alitaga mtihani wa form six, Lema form four failure, Sugu aliishia form two, Msigwa darasa la saba na Mnyika ambaye ndio jembe lenu lilifeli Chuo kikuu cha Dar es Salaam.
Kama viongozi wako hivyo unategemea wafuasi wao wakoje?
Mbowe ama Mnyika ni zaidi ya ukoo wenu wote.Una nini cha kujivunia hapa Tz buku 7 wewe unayekesha hapa jf kutetea mafisadi na vibaraka vyake? Njaa inakutesa sana njoo nikuajiri uachane na hizo buku 7 uwe mkata majani au mtunza bustani nyumbani kwangu.Usomi wako umekusaidia nini zaidi ya kuwa shabiki maandazi?
mmmmmmmmmm, usianze kuwa na mashaka na vijana wengi, huo ndiyo ukweli kwamba vijana wanamtaka kijana kama ZITTO na si vinginevyo, wewe kama unajijua ni mzee shauri yako manake uzee siyo lazima umri, unaweza kuzeeka hata kwa fikira. Lazima kijana yoyote mpenda maendeleo amuunge mkono ZITTO KABWE.
Semeni na kuandika ninyi, wengine wakisema viazi! Siasa za nchi hii ndo mtagundua kuwa watz wanauwezo wa kuchuja, kuamua na kufuata njia waipendayo. ZZK moto mkali sana, najua hamtaamini mpaka iwachome!

Hii mpya, mbona sikuiona Facebook yake au ndio kale kamchezo!Wana JF,
Katika ukrasa wake wa facebook zito kaandika haya,
Sijui anataka kumaliziaje!
Hapo kwenye unyerere sijamuelewa anamaanisha Nyerere Msanii au marehemu Julius Nyerere? Unyerere wa vitendo ni pamoja na kuachia ngazi zote alizo nazo ikiwa ni pamoja na uenyekiti wa PAC, ambapo atapoteza na kile cheo alichopata juzi juzi kwenye kamati ya PAC za Africa, aachie Ubunge arudi Kigoma kukuza wakala wa CCM.
Zitto aliwekeza nguvu zakutosha ktk kuijenga cdm mkoan kgm lakin jitihada zake ziliharibiwa na Mbowe na Slaa kwakuwafukuza akina Kafulila ambao ndio walikuwa tegemezi la chama ktk majimbo yao
utasubiri sana kwa staili hii ya ki-saccos saccos. badilikeni.wewe ni shabiki maandazi tu,hana lolote huyo msaliti ,tuliopo site tunajua alishachuja na anatumiwa na ccm ambayo watz wameikataa na wanasubiri daftari tu liboreshwe wamkatae shetwani ccm na vibaraka vyake kama act