Zitto anataka kusaliti CHADEMA?

Status
Not open for further replies.

Mhe. Zito, heshma yako mzee. Watakuzushia meengi lakini sisi tunakujua uko makini.
Yakikuzidi huku hamia CCM, tutakufuata huko.
Mbona mnahangaika sana kama kuku mtetea haiwasaidii kitu anzeni kujadili mengine.
 
Kwani Kabwe anapingana na uamuzi wa chama ? I think I am missing something here...

You are not missing anything mkuu, kuna watu humu ndani yaoi ni kufanya spining kila kukicha na kufanya chokochoko ili wapate ya kuongesa kuhusu CDM, hakuna sehemu zitto amezungumza kuhusu msimamo wa chama chake, watu wameamua kumchokonoa tu ili wafurahi wao, na hata kama kuna tetesi (i dought if any) zitto hajajibu chochote.
so just enjoy life you havent missied anything here
 
Na maadam tunawajua wanalotaka dawa ni kuwainjoi tu na kuwapuuza hawajui kuwa ndani ya Chadema kuna vichwa si vichwa vya panzi kama vya kafu kukimbilia kuwahi viti bungeni kama watoto wa chekechea.
 
Kwanini mstafute kilicho fanya asiwepo kabisa kuliko kulaumu tu! kama alitumwa na CDM kufanya mambo mengune je?
 
Zitto Kabwe ana urafiki wa karibu na Jakaya Kikwete...si mliona hata kwenye campain JK aliruka Jimbo la Zitto!! Kuna wakati tuliambiwa kutokana na urafiki wao JK anataka kumteua Waziri. Naamini CHADEMA ikivurugika itaanzia kwa Zito Kabwe.
 
huwezi nunua gari aina ya hummer kwa kipindi kifupi tu cha ubunge.gari ile ina thamani ya 300m!!pesa zoote hizo kazitoa wapi kama si kibaraka?!
 
Na maadam tunawajua wanalotaka dawa ni kuwainjoi tu na kuwapuuza hawajui kuwa ndani ya Chadema kuna vichwa si vichwa vya panzi kama vya kafu kukimbilia kuwahi viti bungeni kama watoto wa chekechea.

Peace cannot be achieved through violence, it can only be attained through understanding
 
Zitto Kabwe ana urafiki wa karibu na Jakaya Kikwete...si mliona hata kwenye campain JK aliruka Jimbo la Zitto!! Kuna wakati tuliambiwa kutokana na urafiki wao JK anataka kumteua Waziri. Naamini CHADEMA ikivurugika itaanzia kwa Zito Kabwe.

huwezi nunua gari aina ya hummer kwa kipindi kifupi tu cha ubunge.gari ile ina thamani ya 300m!!pesa zoote hizo kazitoa wapi kama si kibaraka?!
Are you not tired yet?
 
Mhe. Zito, heshma yako mzee. Watakuzushia meengi lakini sisi tunakujua uko makini.
Yakikuzidi huku hamia CCM, tutakufuata huko.
Sokomoko, Lutala na Kishongo poleni sana kwa kujaribu kucheza ligi kubwa kumbe uwezo wenu ni wa cha ndimu kichangani. Hizi mbinu zenu za kitoto yawezekana ni za maana huko kwenye Chama Cha Majuha (CCM) lakini huku JF mmegonga mwamba. Jaribuni kusoma alama za nyakati, Watanzania wa leo si wa juzi na tunawapa asante Chadema kwa mafanikio hayo ya kuwaamsha watu. Tunafahamu wapo wengine kama Sokomoko, Lutala na Kishongo ambao uozo wa mfumo umewaathiri sana kiasi cha kutoona nuru hata mkimulikiwa taa za stimu machoni - huo kwa lugha nyepesi tunauita upofu. Kama fisi anayetokwa mate akisubiri mkono wa binadamu uanguke, mtasubiri Chadema isambaratike hadi mate yawakauke mdomoni, walafi nyie !

Sisi twasonga mbele hadi kieleweke !
 
Yameshuka sana bei hayo kwa miaka kadhaa.

Ndiyo maana duniani sasa hivi ni mengi sana na wameleta hasara hadi USA wamewauzia Wachina.

Angalia bei zake kwenye EBAY utaona Used mengi yako kwenye bei ya 30,000$ na hayo ni mazuri sana na kwa Tanzania ni 45mlns Tsh.
huwezi nunua gari aina ya hummer kwa kipindi kifupi tu cha ubunge.gari ile ina thamani ya 300m!!pesa zoote hizo kazitoa wapi kama si kibaraka?!
 
Naomba um-PM hatuna haja ya kujua kama unataka kuongea nae au la

Hayo ni ya wewe na yeye kama title ya thread inavyoonyesha

if you cant PM, email him or call him contacts zake zipo kwenye lile jedwali lake la kuomba kura au website ya bunge

this personalization piss me off
 
acheni kuzua mambo mbona Ndesamburo, Owenya, Prof Kahigi na Chibuda hawakuwapo pia? kuna wale walioamua kutokuwapo kabisa na wale walioamua kuwepo Bungeni na kuondoka kuonyesha msisitizo mwacheni Zitto wa watu!
 
Sokomoko hii siledi karibu inachuja anzisha nyingine Kwanini Zitto huwa havai kombati? nafikiri hii itapata washabiki wengi halafu mwambie Kishongo aanzishe Tabasamu la Zitto linafanana na la Kikwete kuna kitu hapo, ha ha haaaaaa kazi mnayo na aliyewatuma anawainjoi kichizi.
 
mh,nakumbuka kuna mtu alimuuliza facebook kuwa "nilisahau kama na wewe ni mpinzani" na akajibu "what informs you,is what builds your opinion" na nilimuelewa!

Naona mnatumia nguvu sana kutaka kugombanisha watu wa chadema,lakini lisemwalo lipo,kama halipo.......................
 
hahahaaaaaaaaaaaaaaaaa, angalau nimecheka jioni hii, asante mkuu. kuna watu huku ndani I cant even describe. hulala wakitafuta nini cha kuzua
 
Na maadam tunawajua wanalotaka dawa ni kuwainjoi tu na kuwapuuza hawajui kuwa ndani ya Chadema kuna vichwa si vichwa vya panzi kama vya kafu kukimbilia kuwahi viti bungeni kama watoto wa chekechea. [FONT=arial said:

Duh! wanawahi kama chek........... sina mbavu!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…