ama kweli Tunte ww ni kilaza, na ushabiki wako umepitiliza na hauna mashiko ndani ya CDM, watu wanatafuta suluhu wewe unaendekeza makundi na majungu, hebu wakt mwingine bwn Sanga tuweke maslahi ya chama mbele kwanza.
Ben,
Taratibu za chama zinachukuliwa kuhusu tuhuma zako dhidi yangu. Ni busara ya kawaida Kabisa kwamba tusubiri mchakato wa chama.
Tarehe ambazo unataja chama kitakuwa na vikao Kwa hiyo hayo unayosema ni masuala ya kufikirika. Isipokuwa kama una uthibitisho peleka kwenye chama.
Kuendelea kujibizana Humu ndani ni kutoa fursa Kwa maadui zetu.
Hebu kuwa na Subira kidogo chama kifanyie kazi madai yako. Ukweli utajulikana tu. kumbuka ukweli hautengenezwi. Ukweli hutafutwa.
hahahha.Kama mm ni kilaza basi wewe ni kilaza square.Utajua ukweli wa mabo soon.Hiki chama kinawenyewe na ground movement zao zote zipo wazi.Kilichobaki ni kuwa weka kwenye tv watanzania muone.
zitto is ma hero,Zitto ni mtetezi wa wanyonge ndio maana wanawinda roho yake kila siku
SOMA SIGNATURE YANGU,Ipo siku utajua tu.Mchezo
Na wewe acha utoto,ugomvi wa nini kama unamfahamu si umpigie,unachafua chama.
Let me put it this way......, hata kama Chama kina misingi mizuri kiasi gani bila viongozi watu wanaofata na kutekeleza hio misingi tunarudi palepale...Fuata misingi, sio watu.On paper, off paper, between papers, between lines on paper, where there are no lines off paper, when you are watched, when you are doing the watching, when nobody is watching you, when you are watching the watchers, when the watchers can't watch you.
Fuata misingi, siyo watu.
Hata ukifuata misingi ndani ya watu, kimsingi hufuati watu, unafuata misingi.
Tunachokataa hapa ni hizo habari za "Tutafanya chochote Nujoma atakachosema" au "Tunataka muungano kwa sababu Nyerere kasema tusiuvunje".
And to answer your question, on paper kuna vyama kibao vina misingi mibovu.
For years tumeongozwa na CCM chini ya the carefully crafted contradictory concoction of "Ujamaa na Kujitegemea".
Nakuhakikishia kamanda Utajua ukweli wa mambo soon.Utajua kwanini TUNTEMEKE ninawabomoa hawa watu,mambo wanayoyafanya mwenyezi mungu anakwenda kufichua yote mapema mwezi huu wa kwanza au wa pili.
Hapo ndipo maandiko yatatimia,Mauaji na ufisadi ni balaa
Kuwapeleka hawa malalamiko wanageuza toilet paper,wana mission yao ya kuindeleza chadema kampuni na family saccos
Let me put it this way......, hata kama Chama kina misingi mizuri kiasi gani bila viongozi watu wanaofata na kutekeleza hio misingi tunarudi palepale...
Ndio maana nikataja layman mtu asiefatilia mambo ya policies wala hajui A wala B the only bet he has ni kumfuata mtu au kiongozi visionary ambae anadhani atamfikisha pale anapotakiwa kwenda...
Ofcourse huwezi kusema nataka muuungano sababu Nyerere kasema without listening to points ambazo anatetea huo muungano ila unaweza ukasema sipandi hii Ferrari (Chama A chenye misingi bora) sababu kiongozi wake (dereva) hafai lakini tapanda hii Bajaji (ingawa taasisi inalegalega) lakini kiongozi wake anafaa....
Ukizingatia msingi mkuu unaoongoza nchi (Katiba) ukiwa already in place whats needed ni kiongozi shupavu, mkweli, mtekelezaji na mfuatiliaji (a leader) mwenye charisma ambae akiwaambia watu kufanya jambo wanamsikiliza mtu anayewapa hope hata kwenye matatizo na wanajisikia wapo safe bila hofu
ben akilala anamuota zitto,akiamka anamuwaza zitto..akikaa pale makao makuu ya chama anaposhinda siku hizi anamuwaza zitto.akiwa mamba club anamuwaza zitto.
Amechanganyikiwa kwa sababu ya zitto,so zitto ni kiboko
Hata kama Zito atakuwa anaandika makala hii kujikosha, ameandika kitu ambacho ni funzo kwa masalia wa CDM amabo wanaonekana kumuabudu Zito.
Laiti kama hao wanaoitwa masalia wangekuwa wanafuata principles za Chadema, hakika wangekuwa hawajali cha Zito, Slaa ama Mbowe. Hongera zito kwa kuwafunda vijana wako ambao ni wanakushabikia bila kureason.
Charisma is overrated, hata madikteta kina Mao, Idi Amin,Hitler, Castro, Stalin etc wana charisma.
Uzuri wa kufuata misingi ni kwamba, hata ukimpenda mtu, utampenda kwa misingi fulani.
Ukifuata charisma unaweza kuburutwa tu ukajishtukia una undermine your own self interests.
Misingi goes deeper than charisma. Ulimwengu wa kufuata watu ndio uliotengeneza hawa "strong men" niliowataja hapo juu na messes zao wote, umepitwa na wakati.
Tunatakiwa kutaka more grassroot influence and less hero worshipping.
Kwahio what we need is somebody (na hapa siongelei worshipping bali voting and supporting) ambaye atasimamia na kuinfluence grassroots na sio a vehicle(chama) ambacho mtu anasema either mimi ni CCM damu au Chadema damu hata kama kiongozi wake ni mfu..?
Tuchague watu ambao tuna uhakika watasimamia na kutekeleza misingi (ukizingatia misingi haijiendeshi bali huendeshwa na watu) ofcourse hao watu wakiacha kusimamia na kutekeleza hio misingi watakuwa sio watu tuliowazania hence voting for another leader hata akiwa from a different party
Ben,
Taratibu za chama zinachukuliwa kuhusu tuhuma zako dhidi yangu. Ni busara ya kawaida Kabisa kwamba tusubiri mchakato wa chama.
Tarehe ambazo unataja chama kitakuwa na vikao Kwa hiyo hayo unayosema ni masuala ya kufikirika. Isipokuwa kama una uthibitisho peleka kwenye chama.
Kuendelea kujibizana Humu ndani ni kutoa fursa Kwa maadui zetu.
Hebu kuwa na Subira kidogo chama kifanyie kazi madai yako. Ukweli utajulikana tu. kumbuka ukweli hautengenezwi. Ukweli hutafutwa.
Let me put it this way......, hata kama Chama kina misingi mizuri kiasi gani bila viongozi watu wanaofata na kutekeleza hio misingi tunarudi palepale...
Ndio maana nikataja layman mtu asiefatilia mambo ya policies wala hajui A wala B the only bet he has ni kumfuata mtu au kiongozi visionary ambae anadhani atamfikisha pale anapotakiwa kwenda...
Ofcourse huwezi kusema nataka muuungano sababu Nyerere kasema without listening to points ambazo anatetea huo muungano ila unaweza ukasema sipandi hii Ferrari (Chama A chenye misingi bora) sababu kiongozi wake (dereva) hafai lakini tapanda hii Bajaji (ingawa taasisi inalegalega) lakini kiongozi wake anafaa....
Ukizingatia msingi mkuu unaoongoza nchi (Katiba) ukiwa already in place whats needed ni kiongozi shupavu, mkweli, mtekelezaji na mfuatiliaji (a leader) mwenye charisma ambae akiwaambia watu kufanya jambo wanamsikiliza mtu anayewapa hope hata kwenye matatizo na wanajisikia wapo safe bila hofu
In summary naweza kusema chagua (fuata its a strong word) au support watu wanaofuata/wanaosimamia misingi
ccm kimejengwa kwenye msingi wa ujamaa na kujitegemea. Na ccm ndio wamekuwa madarakani all these years! Ukiweka hiyo theory ya zitto, basi, kila kitu kilitakiwa kiwe tofauti na hali halisi ya sasa.
My view ni kwamba misingi ya chama chochote, alone, haitoleshelezi. Lazima kuwepo na mtu/watu wenye uwezo, nia na uthubutu wa kusimamia hiyo misingi.