Usimhukumu Zitto kwa Chuki zako binafsi....kama amejua alilolifanya(kama unavyodai) na anataka kusahihisha basi hilo ni jambo jema...yaani wewe jamaa unataka vurugu ziendelee tu ndani ya Cdm..unapata faida gani?
ngoma tupu hauachi ......................Na wewe acha utoto,ugomvi wa nini kama unamfahamu si umpigie,unachafua chama.
Usipoteze muda kiongozi,Yeyey ni vuvuzelkazi yake ndio hiyo.So tupilia mbali hizi kelel zake concetrate kwenye kazi zako
alieelewa vizuri ni ZITTO.hebu rejea mchango wake hapo juu.uzi umesimama unajitegemea, kwanini ? hatutaki kuuelewa au hatuutaki. kwa sababu sote hatutaki misingi ya vyama ndo maana bado tunaendelea kunyooosheana vidole mimi ni wa ZZK, hapana Mimi Ni wa MBOWE, hapana mimi ni wa SLAA nani niwa misingi ya CDM ? iliyozungumziwa ktk uzi huuu. kama hatutaki kuuelewa kwanini ? tuchangie ni vyema kwa ajili ya ugumu wa shingo zetu. tuuuukatae kwam kuwa misingi ya vyama vyetu hatuielewi kabisaaaa. lkn watu tunategemea watatusikia ,watatusoma jinsi tunavyowapigia debe alhamdullilah wakifanikiwa ntaambulia chochote, si unajua tena yule ni poooot
Mwigulu Nchemba, jeshi la mtu mmoja nakuona.Unapitia pitia kazi za vijana kutumika na babu kutukana na kushambulia viongozi wenzao
Nitashangaa sana ZZK akibakizwa na kazi muhimu za chama. Inawezekana ikawa habari zinazomhusu ni za uongo au za ukweli ila ukweli ulio wazi kwasasa jina la ZZK ndani ya CDM linaangamiza chama. Busara ni apumzishwe halafu upepo ukitulia ajiokoe.
Nimekuwa nikihubiri hili kwa kitambo sasa hapa JF.
Nashukuru kuona linapewa uzito linalostahili katika vyombo vya habari.
Unajiandikia makala kwa kuwa unajua ulichokifanya.Makala hii haijaandikwa kwa bahati mbaya.Mipango yako ya kufanya tukio tarehe 4-6 January kabla ya CC ili kuhamisha hisia na mind za watu naijua yote.Take it from me
Bomu litakalo fumuka,huyo ben na wewe nadhani mtakosa pa kujishikilia.Ni swala la muda tu.CHADEMA CHAMA CHA KIDEMOKRASIA
Ni swala la muda tu,Fitina majungu na upuuzi wote wa babbu na crew yake wataumbuka.
Mkuu hivi on paper kuna Chama ambacho kina misingi mibovu ? na kama vingi misingi ni mizuri ila watu (viongozi) ndio hawasimamii misingi would I be wrong kusema tunahitaji kufata watu wenye track record na wakweli ambao tunajua watafuata misingi iliyopo ? au kufuata watu wenye vision ambao tunajua kwenye shida watatuvusha?, na wasio na tamaa ambao tunajua hawatauza nchi au kujilimbikizia mali?
In short nadhani tatizo ni usimamizi na utekelezaji kwahio sidhani kama layman yoyote atakuwa anakosea kufuata watu ambao anajua wanayo maslahi ya nchi moyoni
Zitto ni lulu,tegemeo kwa watanzania.mwiba kwa wala ruzuku ya chama.They needd to kill him
Ni swala la muda tu,Fitina majungu na upuuzi wote wa babbu na crew yake wataumbuka.
Hapo penye red nafikiri una maana ya Dr Slaa. Kama wewe ni mfuasi wa Zitto basi ni miongoni mwa wanamhqaribu Zitto. Na zitto asipokukemea tutaamini kuwa na yeye hatufai kabisa.
Nipe ufafanuzi kwanini Dr Slaa anautesa moyo wako ?
Mkuu Tuntemeke
Nimesoma maandiko yako mengi unaonekana wewe ndiyo chanzo cha migogoro. Hebu funguka jamaa yangu wa nyumbani. Mzee wetu Tuntemeke alikuwa mpigania haki kwa watu wa makete. Kwa nini ndugu yangu usijaribu kuiga mfumo huo kuliko kupandikiza chuki zisizo za msingi. Naomba kama kweli unakipenda chama na kama unahoja za msingi zilipeleke kwenye ngazi husika kuliko kuchafuliana majina kwenye mitandao ya kijamii