ZITTO anakubalika zaidi ya Dk SLAA

wewe acha ushabiki usio wa maana,Slaa ana lolote kwa Zitto.,Slaa amemzidi Zitto umri tu.Zitto anakubalika hadi vijijini na kwa watu wote.

ujue Zitto ni opportunist mzuri tu , na anajua jinsi ya kuitumia publicity anayopewa. kuna watu wengi tu huko CDM wanafanya makubwa na wametulia. zaidi ya hapo hii mada kwa upeo wangu imekaa kichonganishi zaidi.
 
Zitto ni zaidi ya mbunge,Zitto ni zaidi ya waziri,Zitto ni kijana mwenye uwezo wa hali ya juu na niazina ya taifa letu.Slaa ampumzike,hana mvuto kwa sasa
 
Umejuaje??? tayari nimeshapita hapa....
Una jingine?

Hahahahah!Rejao umenifuraisha,kwy thread kama hii hauwezi kosa,hapa nahisi unajipanga uje na vibomu vyako,bado Ritz!na sijui FF amepotelea wapi siku hz!
 
Aoe kwanza. Tungemjua zaidi kupitia uongozi wa familia na mkewe.

MWAMBIE APUNGUZE UHUNI AOE!
amazing_odd_interesting_funny_you-are-stupid-tee-shirt_200907240054275924.jpg
 
ni kijana mwenye muono wa mbali, busara ya hali ya juu, uwezo wa kujenga hoja, anakubalika na kada zote hata ccm wanamkubali, mtu mwenye uchungu na taifa lake, mzalendo. ni juzi tu ameweza kupigania katika chaguzi ndogo ambapo aliweza kuzipigania kata za kiwira, lizaboni na kirumba, ameweza kujenga hoja mpaka akaweza kuwashawishi Cuf kutia saini katika kutafuta majina 70. huyu ndiye kijana tunayemtaka aongoze Taifa letu 2015 iwe kupitia CDM au chama chochote cha upinzani.

Ungelisaidia Taifa lako kwa kuja na hoja nini kifanyike ili kuliokoa Taifa linaloelekea kufilisika kutokana na kukithiri kwa ufujaji wa rasilimali za nchi. Kama ulifuatilia vizuri taarifa za mdhibiti na mkaguzi mkuu wa Serikali mimi, wewe, jamaa zetu na watoto wetu hadi 30/6/2010 kila mmoja wetu anadaiwa TShs. 335,000/=

Hiyo ni hadi 30/6/2010 leo hii itakuwa labda 500,000 kila mmoja wetu anadaiwa kutokana na deni la Taifa.

Ukiwa mzalendo badala ya kuja na hoja za kushonganisha watu kwa mitazamo yao ya kisiasa hembu njoo na hoja nini kifanyike kuinua Taifa kiuchumi na kijamii.

Mfano mimi ningesema kama kweli Bodi ya mikopo kweli hizo pesa wanazokopesha wanamaanisha kweli wanakopesha basi hakuna haja ya kupangiwa mgawo badala yake wakope pesa kwa umma (Agency bond) na wafanye marejesho kutokana na makusanyo wanayopata toka kwa wahitimu wa vyuo vikuu.

ni kijana mwenye muono wa mbali, busara ya hali ya juu, uwezo wa kujenga hoja, anakubalika na kada zote hata ccm wanamkubali, mtu mwenye uchungu na taifa lake, mzalendo. ni juzi tu ameweza kupigania katika chaguzi ndogo ambapo aliweza kuzipigania kata za kiwira, lizaboni na kirumba, ameweza kujenga hoja mpaka akaweza kuwashawishi Cuf kutia saini katika kutafuta majina 70. huyu ndiye kijana tunayemtaka aongoze Taifa letu 2015 iwe kupitia CDM au chama chochote cha upinzani.

wapi ulipomlinganisha na Dk Slaa? Mssipende kuona thread zenu na post za kukashifiwa. Weka na mazuri ya Dk kama kweli wewe uko objective.
 
ni kijana mwenye muono wa mbali, busara ya hali ya juu, uwezo wa kujenga hoja, anakubalika na kada zote hata ccm wanamkubali, mtu mwenye uchungu na taifa lake, mzalendo. ni juzi tu ameweza kupigania katika chaguzi ndogo ambapo aliweza kuzipigania kata za kiwira, lizaboni na kirumba, ameweza kujenga hoja mpaka akaweza kuwashawishi Cuf kutia saini katika kutafuta majina 70. huyu ndiye kijana tunayemtaka aongoze Taifa letu 2015 iwe kupitia CDM au chama chochote cha upinzani.[/Q
Hilo halikuhusu kabisaa,punguza njaa
 
ni kijana mwenye muono wa mbali, busara ya hali ya juu, uwezo wa kujenga hoja, anakubalika na kada zote hata ccm wanamkubali, mtu mwenye uchungu na taifa lake, mzalendo. ni juzi tu ameweza kupigania katika chaguzi ndogo ambapo aliweza kuzipigania kata za kiwira, lizaboni na kirumba, ameweza kujenga hoja mpaka akaweza kuwashawishi Cuf kutia saini katika kutafuta majina 70. huyu ndiye kijana tunayemtaka aongoze Taifa letu 2015 iwe kupitia CDM au chama chochote cha upinzani.

Hivi ni kwanini magamba wana mpenda Zitto? Hivi ni lazima kilamtu anayekubalika awe rais?
 
Tangu lini kichuguu na mlima vikalinganishwa? it seems humjui vizuri dr. slaa. Huwezi kuongelea balali kuikimbia nchi, lowasa kujiuzulu na baraza la mawaziri kuvunjwa pasipo kujua nani alisababisha! no research no right to speak. rudi shule huna tofauti na Nape Nnauye!
 
Kama unampenda sana Zitto, nenda kanywe nae chai. Habari za urais huu sio muda wake. Chadema wana utaratibu wa kumpata mgombea. Nakushauri fatilia ili uujue huo utaratibu then upeleke mawazo yako huko.
 
ni kijana mwenye muono wa mbali, busara ya hali ya juu, uwezo wa kujenga hoja, anakubalika na kada zote hata ccm wanamkubali, mtu mwenye uchungu na taifa lake, mzalendo. ni juzi tu ameweza kupigania katika chaguzi ndogo ambapo aliweza kuzipigania kata za kiwira, lizaboni na kirumba, ameweza kujenga hoja mpaka akaweza kuwashawishi Cuf kutia saini katika kutafuta majina 70. huyu ndiye kijana tunayemtaka aongoze Taifa letu 2015 iwe kupitia CDM au chama chochote cha upinzani.
yaani we nakufananisha mtu yupo msibani halafu anashindanisha wafiwa kwa vilio akitafuta mshindi wa kulia sana kupita wenzake, ila kwa sababu hujui zitto na slaa wapo msibani wakiomboleza kifo cha tanzania na watanzania tunakusamehe bure tu bila gharama
 
Nakubaliana kabisa na mtoa mada,
sioni sababu kwa nini zito asiwe full katibu mkuu wa hichi chama!
 
Huyu katumwa,sio bure.Safari hii hamtaweza kuleta mafarakano ndani ya CHADEMA,mlifanikiwa TLP,NCCR but kwa CHADEMA mbinu hii ni outdated,
 
Mkigoma naona hauna hoja ya kuifanya hoja yako iwe na mashiko zaidi ya ushabiki wa ukigoma,hii ni hatari sana kwa kijana wa leo kutawaliwa na fikra mgando kama hizo,iache cdm ijengwe na wana cdm sio kutaka kuleta chokochoko
 
ni kijana mwenye muono wa mbali, busara ya hali ya juu, uwezo wa kujenga hoja, anakubalika na kada zote hata ccm wanamkubali, mtu mwenye uchungu na taifa lake, mzalendo. ni juzi tu ameweza kupigania katika chaguzi ndogo ambapo aliweza kuzipigania kata za kiwira, lizaboni na kirumba, ameweza kujenga hoja mpaka akaweza kuwashawishi Cuf kutia saini katika kutafuta majina 70. huyu ndiye kijana tunayemtaka aongoze Taifa letu 2015 iwe kupitia CDM au chama chochote cha upinzani.

An empty thought.....what matters is CHADEMA and not individuals: BTW did you notice who thanked you for the thought?

Rejao and Tume ya katiba like this.
 
Back
Top Bottom