ZITTO anakubalika zaidi ya Dk SLAA

Tunajua mmejikita kwenye kuvuruga M4C. Kwasasa watu wanaendelea na plan B, maana serikali imejidhihirisha kwa Wananchi wake inachosimamia. Wengine bado hatujapata fahamu sawasawa kwa kilichotokea jana, acha tutafakari kwa kina kwanza.
 
Maybe kuna Dr.Slaa kwenye famimlia yenu,lakini siyo Dr Slaa katibu mkuu wa CDM.Tokeni ndani,fanyeni utafiti wa kuuliza watu mikoa mbalimbali na mtaambiwa kuwa DR.SLAA IS A NEXT LEVEL IN TANZANIA POLITICAL ARENA, THUS WHY CCM INCLUDING U,YOU WISH IN 2015 TO SEE DR. IS NOT CONTESTING.WAULIZE HATA WABUNGE WA CCM WALIOKUWEPO TANGU 1995 WATAKWAMBIA.Tatizo baadhi ya watu tumeanza kufuatilia siasa mwaka huu.MEREMETA,RICHMOND,WIZI WA B.O.T is big efforts of Dr.Slaa.My opinion.Zitto ni mwanasiasa mzuri sana lakini Dr. Slaa "IS A SUPER PATROTIC POLITICIANS WE EVER SEEN IN TANZANIA AFTER J.K.NYERERE.
 
ni kijana mwenye muono wa mbali, busara ya hali ya juu, uwezo wa kujenga hoja, anakubalika na kada zote hata ccm wanamkubali, mtu mwenye uchungu na taifa lake, mzalendo. ni juzi tu ameweza kupigania katika chaguzi ndogo ambapo aliweza kuzipigania kata za kiwira, lizaboni na kirumba, ameweza kujenga hoja mpaka akaweza kuwashawishi Cuf kutia saini katika kutafuta majina 70. huyu ndiye kijana tunayemtaka aongoze Taifa letu 2015 iwe kupitia CDM au chama chochote cha upinzani.


kama uko vitani then adui zako wanakukubali eti unapigana vita vizuri,yaani unawaua sana basi wewe si kitu..nategemea vitani hamuwezi kukubaliana vinginevyo wote muwe mamluki
 
- Tungeachana na majina yao, tukajikita zaidi kwenye policies zao, toka wawe viongozi wamefanya nini in terms of policies productive kwa taifa, badala ya uyanga na simba.

Wwillie!

Mazee kusoma huwezi hata picha unashindwa kuona wanavyo fanya huko operation Sangara?
Au wewe kipofu inahitaji kupapasa? Wale ni level ingine angalia wanavyo kubalika kwa sera zao na watu wanavyo jaa kwenye mikutano wanayo fanya watu wanakuja pasipo kusombwa na malori au DCM au chai harage na wala watu wanao hudhuria hawapewi ugua pole kama kofia, khanga na flanaz hata buku 2000 hawapewi wanakuja kwa mapenzi yao.
 
- Tungeachana na majina yao, tukajikita zaidi kwenye policies zao, toka wawe viongozi wamefanya nini in terms of policies productive kwa taifa, badala ya uyanga na simba.

Wwillie!
Kama viongozi wa Chadema wote wameweza kuweka sera ya Katiba mpya kwenye ilani yao, ambayo Kikwete na wenzake wameona ni ya manufaa kwa Taifa wanaitekeleza. Napata taabu kidogo kujua sera za Zitto kama Zitto na Slaa kama Slaa ila naziona sera za Chadema. labda kama kuna mtu anaziona sera za Zitto anishirikishe
 
Una maanisha nini. Hivi kama mko vitani na mmoja wenu akaonyesha uwezo wa kuua adui mnaanza kupeana vyeo badala ya kuendelea na vita ili kuwamaliza maadui wote mnaanza kupeana vyeo huoni hapo mtavamiwa na kuuliwa hata kabla ya kuvitumia? Anakubalika au la ni wakati utasema. Cdm haijatindikwa mawazo kama magamba. Ndani ya cdm ni mfumo sio watu. Magamba wanategemea haiba ya mtu ndio jk amewanyamazisha wote waliokuwa wakishabikia mawaziri kujiuzulu.
 
Mapema sana kumfananisha na slaa wacha afanye kazi kwanza miaka 10 ndo naweza nikaja na dhana ya kumfanaisha na slaa ila namkubali sana.Anasimamia kile anachokiamini kama deo filikunjombe.Ila kumfananisha na slaa bado ananafasi ya kumfikia mzee kama atakuwa msikivu na kujifunza kile asichojua.

wewe acha ushabiki usio wa maana,Slaa ana lolote kwa Zitto.,Slaa amemzidi Zitto umri tu.Zitto anakubalika hadi vijijini na kwa watu wote.
 
Kwa nafasi yake bungeni sasa hivi ni wakati wake, Dr alishafanya hiyo akiwa mjengoni nae

Yesss that true Dr slaha ameshafanya mengi and kila mmoja ana majuku yake that how goes on we need him and respect for all speak about fact and vision
 
Acha uchakubimbi wewe,tupo busy kushughulikia wanaofilisi nchi wewe unakuja
na heading ya kibaguzi. M4C inakomboa taifa,
 
- Tungeachana na majina yao, tukajikita zaidi kwenye policies zao, toka wawe viongozi wamefanya nini in terms of policies productive kwa taifa, badala ya uyanga na simba.

Wwillie!
policies hazifanyyi kitu ni documents tu!!
Serikali ndio inayo-translate policies into action.........mwenye serikali ndio mwenye mandate ya kutengeneza/ku adopt policies na kuzifanyia kazi!

Kama huzijui policy za CHADEMA tembelea web site yao.

politicians ndani ya CHADEMA hawana individual policies.......GET THAT RIGHT.
 
Mkuu Mkigoma, sifa yako ya kwanza wewe una magamba sugu, kwa sababu hiyo nakuomba uwe unaanzisha thread za kuwashidanisha kugombea urais kati ya Job Lusinde na Steven Wasira. Sifa ya pili wewe ni mchawi hivyo baki hukohuko ccm huenda wakakukumbuka ubunge na wewe kama prof Maji Marefu.
 
wewe acha ushabiki usio wa maana,Slaa ana lolote kwa Zitto.,Slaa amemzidi Zitto umri tu.Zitto anakubalika hadi vijijini na kwa watu wote.
images
 
- Tungeachana na majina yao, tukajikita zaidi kwenye policies zao, toka wawe viongozi wamefanya nini in terms of policies productive kwa taifa, badala ya uyanga na simba.

Wwillie!

Ni sera ipi ya chama cha upinzani inafanya kazi na uweze kuifanyia analysis wakati chama hakiko madarakani. Tujadili za CCM na viongozi wao waliopo. Eheee tuanze na Maliasili, Nishati, Elimu
 
Back
Top Bottom