ZITTO anakubalika zaidi ya Dk SLAA

mkigoma

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
1,180
309
ni kijana mwenye muono wa mbali, busara ya hali ya juu, uwezo wa kujenga hoja, anakubalika na kada zote hata ccm wanamkubali, mtu mwenye uchungu na taifa lake, mzalendo. ni juzi tu ameweza kupigania katika chaguzi ndogo ambapo aliweza kuzipigania kata za kiwira, lizaboni na kirumba, ameweza kujenga hoja mpaka akaweza kuwashawishi Cuf kutia saini katika kutafuta majina 70. huyu ndiye kijana tunayemtaka aongoze Taifa letu 2015 iwe kupitia CDM au chama chochote cha upinzani.
 
Mhhh! Let the boy grow and mature as a prominent politicians. Hakuna ambaye anafanikiwa peke yake wala hana role model.
 
ni kijana mwenye muono wa mbali, busara ya hali ya juu, uwezo wa kujenga hoja, anakubalika na kada zote hata ccm wanamkubali, mtu mwenye uchungu na taifa lake, mzalendo. ni juzi tu ameweza kupigania katika chaguzi ndogo ambapo aliweza kuzipigania kata za kiwira, lizaboni na kirumba, ameweza kujenga hoja mpaka akaweza kuwashawishi Cuf kutia saini katika kutafuta majina 70. huyu ndiye kijana tunayemtaka aongoze Taifa letu 2015 iwe kupitia CDM au chama chochote cha upinzani.

Acha choko-choko wewe, kwa sasa CDM ime-concentrate kwenye M4C! Kampeni za kutafuta mgombea urais kupitia CDM bado hazijaaanza. Subir muda wake ufike, kwa sasa tunahitaji kushirikiaana na kuongeza nguvu kukijenga chama hasa sehemu za vijijini.
 
acha mambo ya ajabu....
tuna discuss msiba wa Nchi yetu na mali zake wewe unaleta mambo ya ushindani kuwa nani anakubalika zaidi?? Huna tofauti na ile Mibunge ya sisiemu iliyokuwa inapiga kelele halafu haiwezi kuchukua maamuzi...
Watanzania tumevaa nguo nyeusi tunaomboleza wewe unapita na kimini kilichochanwa NYUMA tena cha Blue??
 
Mapema sana kumfananisha na slaa wacha afanye kazi kwanza miaka 10 ndo naweza nikaja na dhana ya kumfanaisha na slaa ila namkubali sana.Anasimamia kile anachokiamini kama deo filikunjombe.Ila kumfananisha na slaa bado ananafasi ya kumfikia mzee kama atakuwa msikivu na kujifunza kile asichojua.
 
Kuna watu huwa wagumu kuelewa kweli, ishu ya urais huu sio wakati wake kwa cdm lakini mmeng'ang'ania zitto kuwa rais utadhani wewe ndo mwamuzi wa cdm wote nyie ndo mnamtia ujinga huyo dogo nyambafu.
 
Ngoma nzito kujua nani zaidi, tuanzishe akaunti ya kuwapigia kura kuondoa mzizi wa fitina
 
kuwa mwangalifu unapompamba mtu hzo sifa zote isije ikawa kuna mtu anamtengeneza au chama chake ndiyo kinamuweka juu. ukitaka kujua nguvu ya mtu awe mgombea bnafsi hapo ndiyo tutajua ila kwa sasa tuyaache muda ukifika watu tutajua nani ni nani
 
ni kijana mwenye muono wa mbali, busara ya hali ya juu, uwezo wa kujenga hoja, anakubalika na kada zote hata ccm wanamkubali, mtu mwenye uchungu na taifa lake, mzalendo. ni juzi tu ameweza kupigania katika chaguzi ndogo ambapo aliweza kuzipigania kata za kiwira, lizaboni na kirumba, ameweza kujenga hoja mpaka akaweza kuwashawishi Cuf kutia saini katika kutafuta majina 70. huyu ndiye kijana tunayemtaka aongoze Taifa letu 2015 iwe kupitia CDM au chama chochote cha upinzani.

Anakubalika lkn Dr slaa level zingine zile,zitto bado sana tumpe mda zitto labda 2025
 
Huyu anataka kutuöndoa ktk move,kuwa magamba shurti uwa na akili ya maiti.zitto bado sana
 
ni kijana mwenye muono wa mbali, busara ya hali ya juu, uwezo wa kujenga hoja, anakubalika na kada zote hata ccm wanamkubali, mtu mwenye uchungu na taifa lake, mzalendo. ni juzi tu ameweza kupigania katika chaguzi ndogo ambapo aliweza kuzipigania kata za kiwira, lizaboni na kirumba, ameweza kujenga hoja mpaka akaweza kuwashawishi Cuf kutia saini katika kutafuta majina 70. huyu ndiye kijana tunayemtaka aongoze Taifa letu 2015 iwe kupitia CDM au chama chochote cha upinzani.

Source.....?
 
Unahitaji ukombozi wa kifikra zaidi.
Hoja yako ni dhaifu na wakati wake bado pia.kwa sasa tunahitaji hoja za kujenga chama.
 
ni kijana mwenye muono wa mbali, busara ya hali ya juu, uwezo wa kujenga hoja, anakubalika na kada zote hata ccm wanamkubali, mtu mwenye uchungu na taifa lake, mzalendo. ni juzi tu ameweza kupigania katika chaguzi ndogo ambapo aliweza kuzipigania kata za kiwira, lizaboni na kirumba, ameweza kujenga hoja mpaka akaweza kuwashawishi Cuf kutia saini katika kutafuta majina 70. huyu ndiye kijana tunayemtaka aongoze Taifa letu 2015 iwe kupitia CDM au chama chochote cha upinzani.

Hapa hata Rejao na FaizaFox watakuunga mkono
 
Last edited by a moderator:
ni kijana mwenye muono wa mbali, busara ya hali ya juu, uwezo wa kujenga hoja, anakubalika na kada zote hata ccm wanamkubali, mtu mwenye uchungu na taifa lake, mzalendo. ni juzi tu ameweza kupigania katika chaguzi ndogo ambapo aliweza kuzipigania kata za kiwira, lizaboni na kirumba, ameweza kujenga hoja mpaka akaweza kuwashawishi Cuf kutia saini katika kutafuta majina 70. huyu ndiye kijana tunayemtaka aongoze Taifa letu 2015 iwe kupitia CDM au chama chochote cha upinzani.

Ulitakiwa useme, kwa sasa Zito anasikika zaidi ya Slaa. Hii ni kwa sababu yuko mjengoni. Jikumbushe bunge lililopita wakati Dr. Slaa yuko ndani utanielewa naamini.
 
Back
Top Bottom