Hiyo haki anayopigania lema ambayo haipo ni ipi. inafaa kudefine watu wajue wazi lema na upinzani siku hizi mnapigania nini. kama ni haki ya kutukana viongozi matusi ya nguoni tujue. kama ni haki kuleta siasa za maono au za kidini tujue. zitto hapa anacheza unafiki kwa watu waliyomfukuza kwenye chama chao kwamba ni msaliti. siju anategemea kupata nini.
Angekuwa anaogopa hivyo basi asingekuwa anafanya ujinga ujinga mara kwa Mara ili apelekwe huko.Wasije kumlawiti tu huko magereza maana na yeye amejazia jazia
HahahahaOna sasa hadi watu wameanza kumtumia kupata kiki.
Sasa kunatofauti gani na huyo ambaye anaacha kuwatumikia wananchi wake na kwenda kujiingiza kwenye matukio ya kijinga ya kutabiri vifo vya watu?Umejiunga juzi hapa unaleta mambo ya kike ukidhani watu tunafagilia huo uonevu wa kipuuzi. Maendeleo yamewashinda kuleta mmebaki kutumia dola kunyanyasa wengine. Sifa aliyonayo huyo mkuu ni kutumia ubabe usio na faida kwa taifa, kuna mikataba kibao mpaka sasa inaliumiza taifa hamna lolote la maana zaidi ya kujiboost na madaraka.
"Ni heshima kwa mungu kumzomea na kumtukana......"LEMAKiongozi gani katukanwa matusi ya nguoni? Acha kujipendekeza ww, kuwa na madaraka sio sehemu ya kunyanyasia wengine.
alikosea si aombe msamaha?Kweli Lema alikosea lakini kitendo cha mahaka kuingiliwa huu ni mwendelezo wa mfumo mbovu ambao watendaji wakuu wa vyombo muhimu Kama hivi kuteuliwa.
Mkuu umenivunja mbavu umeniua kabisa itakuaje matibabu changia kidogoKwani kuna mtu alikuambia Lema anajuta kukaa selo. Hujui jamaa anapenda kukaa huko ili aitwe Mandela?
Ni kweli Juma alikosea lakini sijaona koa la kumnyima dhamana. Mwanadamu mtu wa ajabu sana. Wewe unayemtesa mwenzako kesho yataeuka kwako ndivyo ilivyo na kwa hiyo tuache kulipizana vizazi tukiwa hapa duniani.
Zitto haaminiki na hata maneno yake hayaaminiki.huyu sio Zitto yule tunayemfahamu wa enzi zileeee.Yeye aseme alikuwa anatafuta mwanya wa kumsalimia mke wa Lema bhassss
Haya manuizo unayomtakia mtu asiye na hatia au mwenye hatia yatampata au yakimkosa yanaweza kumpata umpendaye awe mwanao au mjukuu au kitukuu ujue tu kwamba kila upuuzi dhidi ya mnyonge hulipwa duniani na mbinguni. Hapa mnyonge aweza kuwa lema au magu au wewe kikubwa usiombe mabaya kwa mwingineMie natamani lema akae huko walau mwaka mmoja tu
Huyu kazidisha upuuzi
Swali je upande wa pili wanamchukuliaje Zitto? Zitto kataka pia kuwaonesha cdm kuwa chuki zao za kipuuzi kwake huwa yeye anazipotezeaSafi sana watanzania wanatakiwa kuishi hivyo....
Bila kuunga uchwara atawatesa sana watanzania......
Pamoja na hivo ila mwambieni aache ujinga.Angalau sasa tunajua kwamba kumbe Lema mwenyewe hajutii kukaa ndani bali anaona anakaa ndani kwa dhuluma. Yana mwisho haya!!
Kuna wengine wanamfahamu ni msaliti.Huyu ndiye zito ninamfahamu mie..muungwana
"Ni heshima kwa mungu kumzomea na kumtukana....." LEMAHaya manuizo unayomtakia mtu asiye na hatia au mwenye hatia yatampata au yakimkosa yanaweza kumpata umpendaye awe mwanao au mjukuu au kitukuu ujue tu kwamba kila upuuzi dhidi ya mnyonge hulipwa duniani na mbinguni. Hapa mnyonge aweza kuwa lema au magu au wewe kikubwa usiombe mabaya kwa mwingine
Hivi wewe hujaandika upuuzi?Mie natamani lema akae huko walau mwaka mmoja tu
Huyu kazidisha upuuzi