Zitto amtembelea Lema gerezani baada ya kunyimwa dhamana

Mkuu haki ya mtu uwa inacheleweshwa tu,

Mh, Lema kaa ukijua unaungwa mkono sana huku uraiani.
 
Huwa najifunza mengi sana kwa zitto kabwe ni mtu mstaarabu na pia mvumilivu na ni mwanasiasa wa kweli aisekuwa na lepe la unafki

lakin tukubali katika watu walihakikisha zito anangoka cdm ni lema , yaani kumfitinisha sana zitto na mbowe kwa kumwita nyoka na post nyingi huku , lema alikuwa anazileta kuhakikisha zito anapotea kisiasa
 
Mbowe,lowasa na makamanda wengine wameenda pia?
 
Kesi za namna hii mwanzoni zinakua na wapambe kibao,lakini watapukutika mmoja baada ya mwingine mpaka itabaki familia tu.
Wakati wa kesi ya Babu seya na wanawe,watu walifikia hatua ya kuandamana,lakini sidhani kama kuna kati yao anaekwenda gerezani
 
Unajidanganya wewe.
 
N
Nchi ya kusadikika
 
Huwa najifunza mengi sana kwa zitto kabwe ni mtu mstaarabu na pia mvumilivu na ni mwanasiasa wa kweli aisekuwa na lepe la unafki
Tena.Kwanini usingejikita ktk hoja ambayo hata zitto ndipo alipo?
 
Hivi Lema yuko gerezani ama mahabusu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…