Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,676
- 126,848
Hii kesi kutakuwa na tatizo, sijawahi kusikia kesi inaahirishwa kwa muda wa miezi 2. Ngumu kumeza
Sijui watu wa CCM mkoje kwenye kuelewa mambo madogo tu wala yasiyohitaji mantiki kubwa. Wapi nimeweka neno "Kufarahia" Kutokujuta siyo lazima uwe unafurahia. Haya Magereza yetu ya kujisaidia kwenye mtondoo ndiyo mtu afurahie kukaa huko?Hakuna anayefurahia kukaa ndani ya selo huu ni uongo kabisa.Kwa kitu gani hasa ?
Waulize wenzio walioko "Duty" watakuwekea hiyo "Link" unayotaka!Ha ha ha, eti wenzangu. Weka link.
Nani alikudanganya kuwa mahabusu huwa wanafanyishwa kazi?Safi sana na msimu wa mvua unaanza ngoja alime mchicha huko mtakumbuka tabasamu la j kikwete
Mi binafsi hajawahi kunisaliti,ila nimemwita hivyo kama ambavyo chadema wanavyomwita.Naona alikusaliti na mkeo teh teh teh
Kweli Lema alikosea lakini kitendo cha mahaka kuingiliwa huu ni mwendelezo wa mfumo mbovu ambao watendaji wakuu wa vyombo muhimu Kama hivi kuteuliwa.
Hivi Harry Kitilya aliwahi kufikiria atakaa mahabusu, achana na siku moja kupita tu karibu na gereza? Huyo hakimu na wamshurutishao zamu yao yaja.Mie natamani lema akae huko walau mwaka mmoja tu
Huyu kazidisha upuuzi
Nikweli Lema sasa anaona kwamba amewekwa mahabusu kwa shinikizo la dola, sio kwa maamuzi ya mahakama.Angalau sasa tunajua kwamba kumbe Lema mwenyewe hajutii kukaa ndani bali anaona anakaa ndani kwa dhuluma. Yana mwisho haya!!
Hebu niweke wazi kwani hili neno pogba naona linatumika sana humu jf na kwa upeo wangu nahisi linawakilisha nembo furani,Nackia pogba nae ataenda kumtembelea cku ya jtatu!
Nipe CV yako kwanzaZitto kwanini na wewe umeanza kuwa LOFA NA MPUMBAVU kiasi hiki? umewauliza mawakili wa Lema kwanini kanyimwa dhamana na walicho kifanya jana mahakamani?
Zitto dhamana haitolewi kienyeji eti kisa tuu kosa lina dhamana kuna taratibu zake za kufuata endapo upande wapili unapinga muhusika kupewa dhamana. Mawakili walishindwa kufata taratibu na upande wa jamhuri ukaona udhaifu huo na kuutumia na hakimu akaona wanayo hoja.
Mbona Lissu alipewa dhamana yeye na wenzie walipo jenga hoja na kuwa makini? huo ulikuwa mkono wa nani?
Zitto usijiingize kwenye upumbavu na ulofa dhamana haitolewi kama unapo kwenda kununua karanga dukani hasa kama kuna wanaopinga...mawakili makini hujenga hoja na hakimu huwa ni kama refaree.
Zitto acha upumbavu na ulofa najua Bavicha watakuunga mkono kwenye hili.
Hujiulizi ni kwa nini Mandela alipotoka Gerezani alipokelewa na Winnie Mandela na siyo kina Oliver Thambo. Vitu rahisi namna hii kueleweka vinapokuwa vigumu kwenu ndiyo inayotufanya tujue ni kwa nini mnawashabikia wale jamaa!!Mbona Lema amekua mtegemezi mkubwa kwa mke wake na Mungu wake tu.
Sijaona Lema akiwa na mtazamo wa kwamba Chama chake na Mungu ndio kimbilio lake kwa sasa
Hayo ni maneno ya Zitto pamoja na weweKumbe amebaki na mkewe tu bavicha wake wameshaingia mtini?
Acha unafiki. Toka mwanzo wa hili sakata la Lema msimamo wako umekuwa hasi sana juu yake.Hakika