MKUU MASANILO WATU WAMESHINDWA KUNIELEWA MBONA MI NIMEFURAHI SANA NA ALICHOFANYA NA NDIO MAANA MWISHONI NIKAMPONGEZA NA KUTOA USHAURI WANGAPI WAHESHIMIWA WANAKAA KIMYA BILA KUTOA MSAADA YOYOTE...ZITTO TUNAKUPONGEZA NA KUTOKANA NA USHAURI WAKO TOKA PALE CHUO KIKUU......,NIKAONA UNAWEZA KSAIDIA WENGI TU KWA NJIA HIYO BADALA YA KUKAA NA MMOJA MMOJA....NAOMBA MNIELEWE ZITTO NDUGU YANGU KAKA YANGU...NA RAFIKI WANGU MKUBWA....,[/QUOTE]
tatizo kwanza huna hakika kama kweli alikuwa akimpa ushauri huyo bibie, pili hukusema kama zitto mwenyewe kathibitisha kufanya kazi hii, tatu umefikia uamuzi kwa kusikiliza maneno ya mhuduma ambaye alishindwa hata kunukuu neno moja alilosikia. Nne wema mwenyewe kakataa kuwepo eneo hilo jambo ambalo linaashiria uzushi wa habari yako. Tano na MUHIMU hapa JF, hatuoni umuhimu wa ulichotuletea kwa maendeleo ya taifa hili, hiyo ni staili ya udaku pure ambao kwao hutunga headline kabla ya kupata story, source anatafutwa kukanusha au kukubali. Badilika mtu mzima, mambo ya ngoswe muachie ngoswe mwenyewe. URAFIKI NA UDUGU WENU HAUTUHUSU HUMU NDANI.