Dominic Marandu
Member
- May 31, 2015
- 5
- 0
Hata hiyo miaka kumi inatosha kumaliza shida zetu?
Kama CCM watakuwa wa kuendelea kuongoza nchi, basi na waache porojo nyingi na wamsimamishe Prof. Muhongo. Huyu muhemishimiwa yuko makini (smart) sana katika utendaji na katika kupangilia mikakati.
Kama ulisikiliza hotuba yake ya kutangaza nia, tukio ambalo halikuwa na makuu, kwa watu makini watakubaliana na yeye kuwa nchi yoyote duniani haiwezi endelea bila tafiti. Hili ni suala ambalo viongozi ama wanasiasa wengi wamekuwa wakilipa uzito mdogo sana na kujikita zaidi kwenye mambo ambayo ni ya kufunika kombe (cosmetic), ambayo mara nyingi yanakuwa sio endelevu
km kweli basi nina hakika zitto alikuwa anauza sura tu.....ALIISHA SEMA AMECHOKA SASA SIJUI ANATAKA NINI TENA. Natamani bora nimsikilize TUMBILI atakuwa na kitu kipya. zitto is just an opportunist
Yaan BAWACHA utawajua tu watu wanajadili mada wew umekomaaa na ZITTO, ZITTO jibu hoja huko wew vipi
Acha ukora wewe. Tafiti gani alizofanya huyu Muongo zenye manufaa kwa taifa?. Huyu hana haiba ya uongozi. Ni mpigaji kama wapigaji wengine tu. Amepiga escrow kiujanjaujanja halafu anatuambia nini. Shiit!!!!!Kama CCM watakuwa wa kuendelea kuongoza nchi, basi na waache porojo nyingi na wamsimamishe Prof. Muhongo. Huyu muhemishimiwa yuko makini (smart) sana katika utendaji na katika kupangilia mikakati. Kama ulisikiliza hotuba yake ya kutangaza nia, tukio ambalo halikuwa na makuu, kwa watu makini watakubaliana na yeye kuwa nchi yoyote duniani haiwezi endelea bila tafiti. Hili ni suala ambalo viongozi ama wanasiasa wengi wamekuwa wakilipa uzito mdogo sana na kujikita zaidi kwenye mambo ambayo ni ya kufunika kombe (cosmetic), ambayo mara nyingi yanakuwa sio endelevu
Jamaa anawadharau sana watz eti kwa vile muda mwingi ameishi na kusoma ujerumani. Alifikia hata kuongea kijerumani cha kuokoteza, tunaokijua tulikuwa tunamsikiliza tu kwani hakukuwa na nafasi ya kuuliza maswali
SikweliWanajuana kwenye Escrow hawa .....
Acha ukora wewe. Tafiti gani alizofanya huyu Muongo zenye manufaa kwa taifa?. Huyu hana haiba ya uongozi. Ni mpigaji kama wapigaji wengine tu. Amepiga escrow kiujanjaujanja halafu anatuambia nini. Shiit!!!!!
Muhongo siyo kiongozi hawezi uongozi sense akufundishe. Sisi with wa Mtwara hatumpendi hata kidogo. Hivi mnajua kuwa gesi yote anyotambia huyo prof ipo Mtwara na Lindi sisi tunasema hafai. Iketokea akawa raisi lazima umwagaji wa damu utatokea
Dah! ......ZZITO umejuaje kuwamhaiwezekani? yeye kama mtalamu anaaminimhivyo subili ashidwe hacha majungu.
Muhongo siyo kiongozi hawezi uongozi sense akufundishe. Sisi with wa Mtwara hatumpendi hata kidogo. Hivi mnajua kuwa gesi yote anyotambia huyo prof ipo Mtwara na Lindi sisi tunasema hafai. Iketokea akawa raisi lazima umwagaji wa damu utatokea
Sista Julie acha fixi