Yericko Nyerere
Platinum Member
- Dec 22, 2010
- 17,027
- 20,519
Zitto Kabwe
Ndugu Jussa, Kama rafiki yako mkubwa na unajua ninavyomheshimu Maalim Seif Kama kiongozi thabiti. Leo nakwambia usilolipenda. Sio sahihi katika demokrasia Kama yetu kumfukuza Mbunge Hamad Rashid au hata wanachama wengine wa chama chenu cha CUF. Kama Maalim aliweza kumsamehe Salmin, aliweza kumsamehe Karume, aliweza kukubali kutangazwa kushindwa ilhali hata wewe unajua alishinda Urais wa Zanzibar iweje iwe muhali kumaliza tatizo hili dogo la Hamad Rashid? Hamad ana makosa lukuki. Nimefanya naye kazi Bungeni. Hamad pia ana mazuri mengi kafanya. Hamad amejitoa muhanga. Uamuzi wa Baraza Kuu la CUF kumfukuza uanachama ufikiriwe upya. That is my appeal to you as a friend and a fine politician.
zitto,
cuf ni kama vile unavyoiona manu, liverpool, blackburn,...., hivi ni vilabu vya england lakini wamiliki wake sio waingereza. Cuf sio ya watanzania ingawa kuna akina lipumba, mtatiro,..., na umefanya vizuri kumwomba jusa na sio lipumba. Tafakari.
Kuna namna ya kumwondoa Maalim Seif angalau kwenye Ukatibu Mkuu tu?Nafikiri Zitto inambidi afikirie vingine.
CUF nafikiri ni chama tofauti sana na ni chama cha wananchi sio cha watu wacheche ambao wanakuwa na hisa kama Chadema.
Kufukuzwa kwa hamad Rashid sio jambo geni. Kwani walishawahi kufukuzwa watu maarufu kuliko Hamad rashid, akina Naila Jidawi, Mapalala na Msabaha n.k.
Kinachofuatwa ni haki na sio upendeleo.
Sio kama ulivyo fanyiwa wewe mizengwe uliyowekewa wewe ulipotaka kugombea uenyekiti wa taifa chadema.
Kauli zako hizi....ukiwa muongo basi angalao uwe na kumbukumbu.ulichoandika mwaka jana kuhusu chadema ,kinakinzana na ulichoandika hapa.Zito anaomba hekima zitawale pia CDM kwa vile anategemea kugombea Urais 2015, ukitilia maanani ndani ya CDM hakuna upana wa demokrasia
Hapana. Kama Mtanzania anayekerwa na wimbi hili la kufukuzana uanachama ili mtu aukose Ubunge. Sema tu amechelewa mno kuutoa ushauri huu kwa rafiki yake Jusa ili umfikie Maalim.Zitto ni "mwenyekiti wa vyama vyote vya upinzani" lol
Nafikiri Zitto inambidi afikirie vingine.