Zitto amburuza Kilewo polisi

Status
Not open for further replies.

Nani alikuambia watanzania wataandamana kwa ajili ya zitto? Tuna faidi nini kwa kuandamana kufukuzwa zitto kutoka chama cha kidini, kikabila na kikanda? Mimi nashukuru zito kama akifukuzwa kwani ni kumpuzisha na kuokoa imani yake ya dini manake yupo hatarini kuimbishwa injili na kuritadishwa kabisa.
 
Kwenye ule waraka wa kitila kuna sehemu inasema"mtu tunaemtaka ana hasira za haraka,mwepesi wa kupanic,pia hajaoa"mwisho wa kunukuu
Pia 'anapenda sana kutumia media hasa Facebook na Twitter' mwisho wa kunukuru.
 
Acha ujinga wa kutajataja watu wewe kubwa jinga
 
Mkuu vipi wale vijana waliofungwa kule mtwara kwasababu ya kutetea gesi mbona umewatelekeza?au wewe unajificha nyuma ya keyboard tu huna lolote?
Mwanaume kutojiamini ni kitu kibaya si uje na ID yako hii fake ID inaonyesha ni kiasi gani ulivyokuwa fisi.
 
uanuvua utu wako sababu ya pesa! shame on Zitto! afe na yeye akaungane na balali, maana ccm wakishakutumia wanakuflush asap! puuuuuuuuuuuu!

Umenena mkuu cacico, yaani sijui ni kwa nini hawa wachumia tumbo wanakubali kuwa rubber stamp!!! Na isitoshe stamp hiyo inatumika kama toilet tissue na ikishamaliza kazi ya kufuta pupu inatumbukizwa chooni na flush maji chwaaaaaaaaaa!!! Waliotumiwa na chama tawala katika vyama vyao leo wako wapi??? Sana sana ni wachache au mmoja tu amepata zawadi ya ubunge wa kuchaguliwa kwa maagizo ya kuwataka wana ssm wapige kwa TLP!!! Mwingine baba Zima likaukwaa viti maalum baada ya kudondoshwa na yule mdada!!! Sasa wengine hata hatuwasikii tena kama wako hai au la!!! Kina Mtela na Juliana wako wapi sasa hivi??? Hawa ndo walikuwa watiifu kwa Prezooo a.k.a Haini/Saliti!!! Kazi imekwisha!!! Atafute ujasiriamali mwingine!!!
 
Nimegundua kitu kimoja cha msingi kuwa, MMOJA kati ya hawa ni THE BIG SHOW Juliana Shonza
  1. Samson Mwigamba
  2. Mtela Mwampamba
  3. Habib Mchange
  4. Zitto Kabwe Zuberi
Nimepanga kufuata namna anavyoposti leo kwenye Thread hii

Tazama Post kama hii;

Maneno ya kike hayo niliyowekea rangi
 
Familia ya mwalimu hawajalalamika!!! Tunao hapa JF!!! Sasa wewe ni nani unayelalamika!!!! Mambo ya familia ya Baba wa Taifa ni ya familia yao tu period!!! Mlianza kumpinga yule mbunge, hadi wanafamilia ya Nyerere walipowatolea tamko mkaaibika!!!!
Mkuu unabisha tu au una ushahidi nikikuletea ushahidi wa familia ya Nyerere walivyolalamika utasemaje.
 

Kimenuka. Hiyo ni mwanzo tu, unajuwa kuna mlolongo wa kujibu unakusubiri, umeshasahau kuhusu nyaraka za siri?

Unalo tu.
 
Mkuu usiwe na haraka ndiyo kesi imeanza hii chein ni ndefu vuta subra.
 
Mkuu unabisha tu au una ushahidi nikikuletea ushahidi wa familia ya Nyerere walivyolalamika utasemaje.

Unasemaje kuhusu umeme kupanda kwa 68% huku mishahara ikipandishwa kwa 1%
 

unataka kufanyafa kama vita ya rwanda(watusi na wahutu) !?....
 
Kikwete atawafanyaje, hebu tueleze

Achana na Kikwete huyo ndio Rais ambae hata Mwenyekiti wako anasema;

"nimetembea angani na ardhini Tanzania nzima sijaona Rais na serikali iliyotukuka kiutendaji kama hii ya KIKWETE." - Freeman Aikaeli Mbowe
 
kaka ni asubuhi najua hata chai haijashuka, mbona kushushia na juice ya omo, huogopi ukifafa wa kujitakia?? Hebu punguza povu basi! Haikusaidii hiyo.

Pigia makelele issue za mgao wa umeme, denti kubakwa na kapuya at least ungeeleweka! Behave plz!


We chukua time zako binti,

Who is your brother,ni behave kivipi??who are you tryng to tell me what to speak??

Chai leo haijashuka siku zote unaninunulia wewe??jike zima asubuhi asubuhi kama hii unataka kujibishana na wanaume huon hatari??una tafuta bwana au??

pole sana,me nimeshaoa n i have a very beautiful wife with happy home..!!,,muda wa kuruka ruka na viruka njia kama wewe i am sorry sitokuwa nao,sikujui hunijui,wala sijawahi kuingia anga zako hata siku moja,usiingie kwenye battle isiyo kuhusu sawa??

Kama kweli umedhikika na unatafuta bwana wa kukufaa ngoja nitakufuata PM tuzungumze may be nawez kukusaidia,but not me :busu ,,

This is just a piece of an advice to you,tokea nijiunge JF sijawahi kujibishana na binti yyte,huwa nawaheshimu sana wanawake coz najua kupitia mwanamke mimi niliweza kuja hapa dunian.,siyo siri naheshim sana mwanamke,nakupa homework tafuta humu JF huwez ona hata siku moja najibishana na mwanmke kwa namna yyte ile,

Wewe ni wa kwanza,sasa skia mind your own goddmaned biznes,

Pole kwa maneno makali na povu jingi kutoka kwangu,ila hivyo ndivyo unavyostahili kujibiwa,

I am puttin this to the shortest term known to me "i don wrestle with biach biach biach..""
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…