Zitto amburuza Kilewo polisi

Status
Not open for further replies.
Ila huyu jamaa atakuwa muuwaji kwa nini igunga ni yeye, leo kamtishia zito, plz polisi msimpe huyu mtu dhamana atafanya mauaji tena kama ya igunga....
 
huyu kilewo nadhani za kwake zimefika ngoja mtaona mengi mda siyo mrefu.
 
Zitto Anahatarisha maisha yake bila kujua. Kwa misuguano iliyopo sasa wale wapinzani wa chadema ambao wamekuwa tayari kumwaga hata damu za watu ili muradi wakidhoofishe chadema wanaweza kufanya hivyo kwake bila kujali urafiki kati yake na wao. Kwa mazingira yaliyopo sasa kama lolote baya linatokea kwa Zitto umma (hasa ule umbao ni rahisi kujazwa ujinga) utahisi chadema imehusika na hii itakipunguzia mvuto. Kama yule bwana Chemba akaiona hii ni fursa kwanini asiwa amuru vijana wake waingie kazini?. Kuna haja ya yeye kuwa makini zaidi na kuangalia hali ya usalama wake. Inawezekana kabisa kwa hali ilivyo Zitto akawa mtaji wa kisiasa.

adui wa zitto wako CCM na si chadema
 
Ok. nimeshajua kaoa yule dada beki tatu wa zamani. Nasikia kamzidi umri ila watoto wa siku hizi kwa kupenda Ubwete ndio wanaishi hata na shangazi zao.
 

This is likely to happen when one imagines God created brains to simply fill in a cavity and not for any other purpose whatsoever! You know what they say about arguing with a fool.....................................................
 
Bujibuji umeanza siasa hivi karibuni, waulize kina naniiiii wakufundishe siasa ni nini halafu utaelewa tafsiri ya hayo maneno
 
Walikuwa na VIZA lakini walipofika na kuishi nchi za Wakristo?
 

mnaendeshwa kwa hisia na majungu tu..... kifo chao hisia na majungu..... no focus..
 
Duhhhh
Huyu huyu aliyesema eti kwao wako fit sana kindumba leo naye anatishiwa kuuawa?
"Natoka Kigoma, nimeaga kwetu! Kifo
changu kikitokana na mkono wa mtu,
huyo hata panya hatabaki nyumbani
kwao"- Zitto Zuberi Kabwe

Zisi izi vere konfyuzing' kwa kweri
 
Zito, your name does not reflect what you would have been.A lot of nonsense has been spoted since you were voted out from leadership by the chadema cc.It has proven to us the normal marginalised of the earth that you after your own and not otherwise.
 

anasafisha miku.du ya vikongwe wa kiingledha!!
 
Hivi tukiweka siasa pembeni,Zitto atajisikiaje akiona CHADEMA imesambaratika na yeye akiwa ndo chanzo?
 

Viongozi wa CDM wamepatw na ugonjwa gani? Kila kitu kwenye mitandao hata vilvyo vya binafsi kwenye mitandao. Fikeni mahali baadhi ya mambo yafanywe kwenye mfumo wa chama ili kuruhusu kuchuja nini kiende kwa jamii na nini kisiende kwaajili ya uhai na usalama wa chama.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…