Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,483
- 167,054
zito keshajibabua hana uwezo wa kubabua mtu.Zitto atoki hivihivi lazima ababue mtu za uso!!!
Teh teh teh teh teh!Duhhhh
Huyu huyu aliyesema eti kwao wako fit sana kindumba leo naye anatishiwa kuuawa?
Kilewo ana matatizo ya akili!
Kwa kushirikiana na Mwigulu!Zitto atuhumiwa kupanga mpango wa kumua Mbowe,Lema kwa Bomu soweto arusha.
Msubiri Kapuya!Kileo kazima anyee debe. Zitto hatamuachia. Mimi namsubiria tu yule dada alie nona. Lazima nimrithi.
andika kiswahili tukuelewe we mbwa lugha gani unaitumia?Kileo kazima anyee debe. Zitto hatamuachia. Mimi namsubiria tu yule dada alie nona. Lazima nimrithi.
kwani kileo na ZZK nani ni mkubwa kimadaraka CDM?sensibly lazima ikubalike kuwa hawa ni vifaranga huwezi mshambulia mkuu wako wa kazi hadharani ukaachwa kimya lazima kutakua kuna tatizo tu!!
HALAFU MTINDO WA KUIENDESHA CDM KWA NJIA YA MITANDAO TARAJIA KIFO CHAKE KUTOKEA KWENYE MITANDAO PIA!!what a shame
lazima katika pilika zako za leo umekutana na kapuya.Kilewo ana matatizo ya akili!
Kilewo ana matatizo ya akili!
Kwani zitto ni nani tena CDM?kwani kileo na ZZK nani ni mkubwa kimadaraka CDM?sensibly lazima ikubalike kuwa hawa ni vifaranga huwezi mshambulia mkuu wako wa kazi hadharani ukaachwa kimya lazima kutakua kuna tatizo tu!!
HALAFU MTINDO WA KUIENDESHA CDM KWA NJIA YA MITANDAO TARAJIA KIFO CHAKE KUTOKEA KWENYE MITANDAO PIA!!what a shame
Angalia usije rithiwa wewe na ukaanza kukunjuliwa malinda.Kileo kazima anyee debe. Zitto hatamuachia. Mimi namsubiria tu yule dada alie nona. Lazima nimrithi.
Kilewo ana matatizo ya akili!