Zitto amburuza Kilewo polisi

Status
Not open for further replies.
magaidi wanajua kweli kumtaja mungu.

maskini kijana wa watu umemharibu kwa tindikali.
Muulize bosi wako Mwigulu,ule ushahidi aliotamba nao bungeni kuwa anao na atautoahapa duniani na hata mbinguni,umeyeyukia wapi?!

Hii inanipa picha kuwa ukiwa mshabiki au mkereketwa wa chama tawala,lazima "fuse" moja au zaidi kwenye ubongo wako,iwe imepata crack kidogo!!
 
ukichunguza ile website ya wordpress ambako kilewo alichukua ile taarifa, profile ya mmiliki wake haipatikani. Vilevile huwezi kutrace IP ikiwa alitumia public wifi.

IP inawezapatikana kwa host wa hiyo ya wordpress naamini then kuangalia mausiano na Kilewo, muda uliyopostiwa.

Kwa public wifi cha msingi ni kuipata IP address yake kisha kumweka Kilewo kwenye hayo maeneo na muda huo ilipokuwa uploaded. Tunamuhukumu kwa substantial evidence.
 
Kama Henry Kilewo aliu-upload JF au mtandao mwingine huo waraka wa TISS toka website nyingine sijui wordpress basi CHADEMA wamwadabishe kwa kutokuwa makini kama kiongozi.

Katiba inasema wazi ya CHADEMA kiongozi awezi kuwa kama mtu wa kawaida. Maadili yake lazima yawe kioo kwa wengine. Sasa Kiongozi anaona waraka sehemu nyingine anashiriki kuusambaza? Wakati alitakiwa kutoa taharifa kwa muhusika na chama.

Nimesoma post eti aliutoa wordpress. Kama sio source na kukutikana na hatia kipolisi basi chama kichukue hatua.
 
Last edited by a moderator:

witch hunting? scapegoating? self pity? or both!
 
Yericko ameukana ule waraka, kilewo akakae selo moja na babu seya ili atatuliwe marinda halafu yule mke wake akaandamane posta kupinga unyanyasaji wa kijinsia atakaofanyiwa mume wake.

mama yako ndio wa kutatuliwa marinda mpeleke huko wamtatue
 
Cha kuudhi katika sakata hili,wapo ambao UTII wao upo si kwa sababu wanaamin itikadi au maono ya viongozi wao bali kwa sababu MATUMBO yao na mifuko yanawategemea watu hawa.hivyo wamekua watetezi wa kimaslai zaid,siku minofu hiyo ikikatwa watatafuta mahali pengine pa kuegememea
 
Defamatipn na polisi wapi na wapi,unless kama ni abusive languange.Sidhani kama yuko sahii kupeleka hiyo kesi polisi kwani hakuna element ya criminaltiy,ni bora angeenda mahakamani moja kwa moja afungue madai,sasa sijui ilo polisi awalijui hadi kumsumbua Kileo na kumuita aende polisi,bora wamshauri Zitto aende afungue civil na wamuambie point blank kuwa huo waraka polisi sio sehemu yake.
 
Labda nikuulize, Kilewo anashtakiwa kama Kilewo ama kama Kiongozi wa chadema?

Chama cha Chadema hakihusiki hapa, hapa wanahusika Kilewo Blog, ambaye Kilewo ni mmiliki,unless alikane hilo.
 
Atapanikana tu hana ujanja, tayari zimeshaonekana.
- email tracing
- IP address
- IP location
- Protocal route messages
- event viewer
- log analysis
- all information technology devices


Ha ha hvyo vitu mbon kila mtu anafahamu kwamba ni sehemu ya kudadavua kwenye uchunguzi zitto mwenyewe si amepatikana na kila kitu anachowasiliana na TISS,Nchimbi na Mwigulu mchezo mzuri sana huu nchi ya wajinga
 
tafuta makala yenye kichwa cha habari kilichopo hapo kwenye maelezo yangu ya awali utamjua GAIDI,
 
Kwa nini zitto amekuwa mjinga kiasi hichi ushahidi usiofichika mchezo mchafu CCM imemfanyia kwa ushauri wangu akae chini na kamanda kileo ni mtu makini amwelekeze na amfunde chezea kamanda kwa ufahamu wangu chadema inamuheshimu kamanda kileo kuliko zito ,zitto bado una nafasi ya kutubu zambi zako kwa kamanda kileo naye akakuombea msamaha kwa baba yenu ,mwisho wa sinema ya Kigoma nilipozaliwa inaisha ,kweli zitto hana huruma pesa zote alizohongwa angeweza kujengwa chuo kigoma au shule zipatazo 12 kila kijiji na zahanati kwa kina mama wajawazito ,kweli hawatendei haki kigoma
 

Una ushahidi?? Au ndo mambo ya hear say!!
 

Mbona mnamuonea Kilewo! na yule aliye kuwa akitoa ''like'' kwenye ule mjadala unaohusiana na huu mjadala je.

''Kiongozi Mkuu yuko too local''- Waraka
 
Hehry Kilewo ameitwa police kwajili ya mahojiano kuhusu sakata la waraka wa siri uliodaiwa kutoka makao makuu ya CHADEMA,
Kilewo ameambatana na wakili wake pia yuko wakili wa CHADEMA mkoa wa Dar salam.
 
Hawa badala ya kufuatilia E-mail ya gaidi mwigulu wanahangaika na Hidden IDz kwa shinikizo la PANYA wa kigoma,zitto kapotea.
 
brother manundu usoni kwa kupanic , maji kayavulia nguo sharti ayakoge! polisi hawatamsaidia chochote
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…