TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,536
- 28,511
THE BIG SHOW said:Lol,
Nimecheka sana,eti zitto apime kina cha maji cha yericko?
Acha kumkejeli yericko,hastahili kejeli kwa sasa huyu mpiga ripu,anastahili kuhurumiwa tuh,
We unadhan huyu wa kupoteza muda wa watu??huyo ni tapeli tuh thats why hata MODS WAMEAMUA KUMPOKONYA VERIFICATION ID YAKE
Ukirejea waraka wa nyuma wa CHADEMA KUJITEKA NA KUMMWAGIA TINDIKALI KUBENEA, utagundua kwamba mtu kama ZITTO KABWE hakutakiwa kabisa kuwa CHADEMA. aina ya watu walioko katika chama hicho sio wa aina yake. Zitto ni mtu mwenye akili kubwa (kama alivyosema nchemba). Nadhani sasa anatakiwa atafute mwelekeo mpya ikibidi kujitoa kwenye siasa kwani anaweza kuisaidia nchi hii hata akiwa nje ya siasa au kuingia kwa wenzake wenye akili kubwa. Hawa wenye chama hicho watamsumbua sana.
naskia hata mbowe kazaa nje ya ndoa!
Tusiibeze hii ishu unajua wanaweza kujipanga wakamtoa mtu kafara, sii huwa unaona ushirikiano wao hata kwenye mawasiliano ya E-mail? Huku unamkuta Mwigulu, kule Emmanuel Mnchimbi, pale unamkuta Lukuvi na hapa unamkuta Zitto. Kila ishu inayofanywa na hawa watu inabidi tuitupie macho yoote siwaamini kabisa toka nimesoma ule mpango wa 'kumpumzisha' Waryoba
Kwenye ule waraka wa kitila kuna sehemu inasema"mtu tunaemtaka ana hasira za haraka,mwepesi wa kupanic,pia hajaoa"mwisho wa kunukuu
Duh!!! Wewe ni ME au KE? Umekulia mitaa gani? Una elimu gani? Umekulia kwa wazazi wawili au single parent (mama)?, ni kweli umeoa? Mke kabisa kama unavyosema? Najaribu kujiuliza tu!! Kama yote maswali jibu lake ni YES basi we mkali mazee!!!!!! Uko njema! Ndiyo maana wanaume siku hizi tunaishia kupiga risasi wananwake maana kwa majibizano yako unaonekana una kidomodomo sana kam binti wa kizaramo!!!
THE BIG SHOW umesoma haya maelezo ya MpigaKelele? Tazama hapo nilipoweka rangi nyekunduSikujua kuwa huko namna hii Ara Sanga wa Bongo, Yericko hajapokonywa verification ID yake....Ebu nikuelekeze ilipo.
Nenda kwenye post yoyote aliyoweka hapa jamvini, mfano post namba 72 ya uzi huu. Upande wa kushoto mwa post hiyo kuna picha ya Yericko, upande wa kulia wa picha ya Yericko kuna nembo ina rangi ya njano katikati imeandikwa "JF Gold member". Chini ya Nembo hiyo kuna ka-mkia kana rangi ya bluu. Ka-mkia hako kana alama ya vema (V)...Alama hiyo ya Vema ndiyo inayomtambulisha Yericko Nyerere bado ana 'verified ID' ndani ya JF.
THE BIG SHOW =Arap Sang wa Bongo....leo ndiyo nimeongeza ushahidi mwingine kwa nini umeacha kushughulikia suala la Gesi isitoke huko Mtwara na kuwaacha watanzania wanaoishi huko (Mtwara) wakieendelea kulalamika.
Ukimuona Yericko mwenyewe live anakupiga 'mizinga' hutoamini macho yako! Hajai hata kwenye kucha!
Duh!!! Wewe ni ME au KE? Umekulia mitaa gani? Una elimu gani? Umekulia kwa wazazi wawili au single parent (mama)?, ni kweli umeoa? Mke kabisa kama unavyosema? Najaribu kujiuliza tu!! Kama yote maswali jibu lake ni YES basi we mkali mazee!!!!!! Uko njema! Ndiyo maana wanaume siku hizi tunaishia kupiga risasi wananwake maana kwa majibizano yako unaonekana una kidomodomo sana kam binti wa kizaramo!!!
kila kitu unataka kujulishwa tu , vingine jitahidi kuvijua mwenyewe bhana !Mimi hapa ndio napozidi kumuona Zitto ndumi la kuwili,kwa sababu kwenye press conference hakukanusha wala kufafanua waraka huu wa yeye kuhongwa pesa na pia kushirikiana na TISS na hata hajazungumzia uhusiano wake na Jack Zoka na Ighondu na mnyumbuliko wa pesa hizo kutoka NMB kwenda Ujerumani kwa Andrea na pia kuwatumia wakina Kitila,Mwampamba,Mchange,Ben Saanane,Juliana Shonza etc.
Baadala yake kakimbilia Polisi na kufungua defamation case ili suala hili liishe kimya kimya na kuepusha kwa Zitto kufafanua bali Kileo na obviously Polisi inajulikana kwenye siasa inavyotumika!!
Ben Saanane upo kwenye waraka ule kuwa ulitumiwa pesa na Zitto,please tueleze ulipewa kwa minajili gani??!!
Poa mkuu, mimi siyo mtaalam wa masuala ya dini, ila ninafikiri watanzania wanakipenda CDM ni wa aina zote. Matukio ya miezi michache iliyopita hata mwaka jana kuhusu imani za dini na matendo inalazimisha kila mtu awe na hofu sana na uislam!!! Sorry to say this, hawa watu ni hatari sana kama ambavyo hata prezzo mwenyewe ni hatari!!! ameamua kujitoa mhanga kwa tuhuma za uongo na sasa anatapatapa anataka aondoke na watu!!! Sasa tusubiri the end of the show!!
Sikujua kuwa huko namna hii Ara Sanga wa Bongo, Yericko hajapokonywa verification ID yake....Ebu nikuelekeze ilipo.
Nenda kwenye post yoyote aliyoweka hapa jamvini, mfano post namba 72 ya uzi huu. Upande wa kushoto mwa post hiyo kuna picha ya Yericko, upande wa kulia wa picha ya Yericko kuna nembo ina rangi ya njano katikati imeandikwa "JF Gold member". Chini ya Nembo hiyo kuna ka-mkia kana rangi ya bluu. Ka-mkia hako kana alama ya vema (V)...Alama hiyo ya Vema ndiyo inayomtambulisha Yericko Nyerere bado ana 'verified ID' ndani ya JF.
THE BIG SHOW =Arap Sang wa Bongo....leo ndiyo nimeongeza ushahidi mwingine kwa nini umeacha kushughulikia suala la Gesi isitoke huko Mtwara na kuwaacha watanzania wanaoishi huko (Mtwara) wakieendelea kulalamika.
Wewe mwanamke unapenda sana kushobokea wanaume hata mie unapenda kunishobokea huwa nakuangalia tu.usininifuate pm we kiumbe! KAMA UNA LOLOTE LA KUONGEA ONGEA HAPA! MWENYE KUJUA JINSI YA KU-BLOCK WATU PM ANIELEKEZA ASAP! jiheshimu!
kama ni majibizano, tujibizane hapa, achana na pm!
Umeona sasa? Hata mjadala haujaisha na wewe umesha anza kejeli kwa waislamu/uislamu then unataka eti mimi na wewe tukae jukwaa moja kunadi sera za chadema? Huu ndio ujinga wakristo muufanyao na kuzidi kukifanya Chadema ni adui wa waislamu na uislamu. Pambaneni na CCM na sio Waislamu na uislamu.
Kilewo na yericko lazima muwe tayari kubeba gharama za kumchafua zitto.
usijibiwe we nani?? Ushobokewe kwa lipi?? Bora kuwa masalia kuliko kushobokea wafu! Jiheshimu we binadamu!wewe mwanamke unapenda sana kushobokea wanaume hata mie unapenda kunishobokea huwa nakuangalia tu.