Jean chill
Member
- Apr 8, 2011
- 69
- 20
"Katiba haitapatikana barabarani bali kwa mwafaka wa Kitaifa. CHADEMA iliomba kukutana na Mkuu wa Nchi kwa sababu maalumu zinazohusiana na mchakato wa Katiba. Kama kuna vyama vingine navyo vinataka kumwona Rais wafuate utaratibu wao. Pia tangu lini CCM ikaanza kusemea vyama vingine? Rais ana taratibu za kukutana na raia wake. CCM na vyama vingine visidandie mkutano wa Rais na viongozi wa chama chetu @Nape" -Zitto Kabwe
Zitto anamaanisha nini hasa pale anaposema Katiba haitapatikana barabarani?

Umeona eeeh!!Zitto anamaanisha nini hasa pale anaposema Katiba haitapatikana barabarani?
"Katiba haitapatikana barabarani bali kwa mwafaka wa Kitaifa. CHADEMA iliomba kukutana na Mkuu wa Nchi kwa sababu maalumu zinazohusiana na mchakato wa Katiba. Kama kuna vyama vingine navyo vinataka kumwona Rais wafuate utaratibu wao. Pia tangu lini CCM ikaanza kusemea vyama vingine? Rais ana taratibu za kukutana na raia wake. CCM na vyama vingine visidandie mkutano wa Rais na viongozi wa chama chetu @Nape" -Zitto Kabwe
Zitto anamaanisha nini hasa pale anaposema Katiba haitapatikana barabarani?
Huyu jamaa mara nyingine huwa simulewagi kabisa, nahisi anamaanisha kuwa katiba haipatikani kwa kuandamana. Kwa mtazamo wangu kwa Zitto katiba mpya sio muhimu kwa sasa kwa kuwa hajafikisha umri wa kugombea urais na ameishaprove kuwa hachakachuliki katika ubunge baada ya kushinda mara mbili. Na hata wenzie walipotoka bungeni siku ile JK anazindua bunge yeye alionekana kuwaponda. Lets wait and see but the guy is very controversial.Zitto anamaanisha nini hasa pale anaposema Katiba haitapatikana barabarani?
anamaanisha aliyosema.. ww umemuelewaje?Zitto anamaanisha nini hasa pale anaposema Katiba haitapatikana barabarani?
kama hujamwelewa uliza sio kuchafua watuHuyu jamaa mara nyingine huwa simulewagi kabisa, nahisi anamaanisha kuwa katiba haipatikani kwa kuandamana. Kwa mtazamo wangu kwa Zitto katiba mpya sio muhimu kwa sasa kwa kuwa hajafikisha umri wa kugombea urais na ameishaprove kuwa hachakachuliki katika ubunge baada ya kushinda mara mbili. Na hata wenzie walipotoka bungeni siku ile JK anazindua bunge yeye alionekana kuwaponda. Lets wait and see but the guy is very controversial.
"Katiba haitapatikana barabarani bali kwa mwafaka wa Kitaifa. CHADEMA iliomba kukutana na Mkuu wa Nchi kwa sababu maalumu zinazohusiana na mchakato wa Katiba. Kama kuna vyama vingine navyo vinataka kumwona Rais wafuate utaratibu wao. Pia tangu lini CCM ikaanza kusemea vyama vingine? Rais ana taratibu za kukutana na raia wake. CCM na vyama vingine visidandie mkutano wa Rais na viongozi wa chama chetu @Nape" -Zitto Kabwe
Mkuu swali linalochekesha zaidi ni vipi CCM idaie vyama vingine? vyenyewe havina shida na havihitaji kumuona raisi.Kiukweli inachanganya unaweza kusema labda anaponda maandamano maana watu wakitataka kupinga kitu utasikia tutaingia barabarani lakini nadhani alichokusudia Zitto ni kuwa katiba haiokotwi au kupatikana bila utaratibu wa maridhiano.
Kuhusu la kusemea vyama vingine hata mimi hilo linanishangaza sana, iweje CCM wakurupuke kutaka rais asionane na CDM pekee wakati walioomba na kupinga ni CDM?