Zitto alivyozomewa Mbeya Mjini

Status
Not open for further replies.
Mtoa mada umekula kweli mchana? mbona sioni hao wanaozomea bali nasikia watu wakiongea katika makundi madogo madogo.Hivi unajua maana ya kuzomea?
Naungana nawewe hakuna alipozomewa, hawa kakundi kadogo wamejipanga na kuchukua video yao ya simu hata sauti zao hazisikiki
 

Acha kupotosha wewe kama vp kula ndimu
 
CHADEMA itabidi Zitto awaoe ili mtulie. Mtu mlimfukuza wenyewe. Sasa mmefikia hatua ya kutunga hata video. Mnadhani sote ni wajinga kama nyie mnaonyweshwe viroba?
 
Siasa ndio zilivyo hapo sijaona Zitto alipozomewa km
  • mpiga video hujaenda Jukwaani
  • hujaonesha uwanja wote
  • unajichukulua picha yako na kuzomea mwenyewe
  • na hata mkutano haujavurugika uliendelea km kawaida
hizo ni husda za wana chadema Mbeya kumuogopa Zitto
jipangeni alishawabebe sana sasa kajitenga
 
zitto eeee, skia nikwambie....kwa umri wako bado una nafasi. kufanya kosa ni kosa lakini kurudia kosa ni kosa kubwa sana. fanya maamuzi magumu mdogo wangu, watafute wenzio cdm, waombe msamaha rudi kwenye chama ukapige kazi. kweli zitto nakuambia. otherwise kaka you are killing yourself politically. mbaya zaidi ni pale unaposhambulia upinzani badala ya kushambulia ssm. ujue ssm nako una maadui lukuki ambao mashambulizi yako dhidi yao bungeni yalivuruga sana mishe zao. usalama wako ni ndani ya cdm na ukawa kaka vinginevyo una hali mbaya sana. usije ukashangaa hata ubunge kighoma vijijini au mjini ukakosa na ssm ndo wapanga mikakati wakubwa kuhakikisha hurudi bungeni. maadui zako kisiasa watakuwa wengi sana. yaan hawa kina ritz ndo kabisa wanataman ufe hata leo, usione wanakushabikia kinafki hapa...labda kama umeamua kupambana na upinzani kiukweli hapo utawaona kina ritz wa maana. vinginevyo basi amua kujilipua bomu kabisa, jiunge na ssm wakakumalizie mbali vizuri.

ulikosea lakin tunaamini una uwezo. kipaji chako kinapotea bure kwa kudanganywa na kina mwigamba na kitila. rudi bomani kaombe msamaha. nakuchukia sana kwa uamuzi wako wa kugombana na upinzani tanzania, lakini pia nakusikitikia kwa hali hii, nakuonea huruma sana kutoka moyoni nikikumbuka kazi zako bungeni, wewe ndo ulinifanya niifikirie siasa mara mbili mbili na sasa mimi ni mwanasisa kamili. ulikuwa role model wangu zitto....

Zitto nani amekulogaaaaaaaa, zitto umekula maharage ya wapiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, rudi kundini mdogo wangu, kaombe msamaha, nina uhakika Watanzania wanamapinduzi watakuelewa. Jifunze kwa kina Wassira,....walipotea lakini baadaye walirudi. nje ya ssm wasirra asingekuwa alipo leo, nje ya cdm zitto you are just lost my young bro.

hivi kweli wewe zitto of all the people leo hii umekuwa ni wa kugombana na upinzani Tanzania badala ya kugombana na ssm????????!!!!!!! kweeeeli zitto?????!!!! unajipoteza kamandaaaa, daaaah!!! inaniuma sana!!!
 
Ningemshauri huyu kijana auze sera za ACT
Kwa style hii atapotea kwenye siasa sio muda
 
Naungana nawewe hakuna alipozomewa, hawa kakundi kadogo wamejipanga na kuchukua video yao ya simu hata sauti zao hazisikiki
Zitto mwenyewe kajua kazomewa na safari yake ya kisiasa ameishaiona ugumu wake atatumia njia zote kujitetea kuomba ahueni lakini atabaki msaliti mpaka kifo chake mwisho wake wa kisiasa ulishafika siku alipo amua kuwa puppet wa CCM
 

Ujumbe mzito lakini unatwanga maji kwenye kinu Mama yake na prof Baregu walishindwa kumsaidia kisiasa
 
Akili za wanaoshabikia zitto kuzomewa hazipo mbali na wodi ile ya kule idodomya!
 
Zitto mwenyewe kajua kazomewa na safari yake ya kisiasa ameishaiona ugumu wake atatumia njia zote kujitetea kuomba ahueni lakini atabaki msaliti mpaka kifo chake mwisho wake wa kisiasa ulishafika siku alipo amua kuwa puppet wa CCM
inauma sana. mtu aliyekuwa rafiki mkubwa wa wananchi kufumba na kufumbua keshajigeuza adui mkubwa wa wananchi. cdm nawaombeni huyu bwana akijirudi mpokeeni bila kinyongo jamani. japo msimpe nafasi ya uongozi lakini akirudi akaomba msamaha apokelewe pliiiz. mtoto akinyea mkono hatuukati jamani, zitto rudi kaka. nimeumia sana.

zitto najua wewe ni nusu wa kizazi cha analog na nusu dotikom. Unamkumbuka Sikiri? alifanya kosa kama lako lakini alifikia makhali akatafakariii kisha akajisemea moyoni....hivi kweli jamani!!!!!!...kisha akajiimbia shairi hili hapa chini...

  • Sikiri mimi maskini,
    Uvivu wangu nyumbani,
    Ukiwa huu njiani,
    Nakufa hapa kwa nini?
    Sadiki sasa ashiba,
    Chakula kingi kwa baba,
    Nirudi tena kwa baba,
    Nakufa hapa kwa nini?
    .............................. ...............
    .................
    Naomba radhi nimekosa,
    Nitakuwa mtoto mwema sasa,
    Shambani tena sitakosa,
    Baba na mama nisameheni.
    Nitalima kama Sadiki,
    Nitalima wala sichoki,
    Na nyumbani tena sitoki
    Baba na mama nisameheni.




    imba hilo shairi hapo juu zitto...

    pole kaka!!​



 

Masikini Zitto upo kwenye defensive wew kila siku ni kujitetea tu maisha yako yanazunguka katika kutafuta jik ya kisiasa kujitakasa unajitag na watu wananchi wa mbeya hawawezi kukusujudu msaliti Kikwete mwenyewe mkewe wameonja joto la Mbeya Zitto trend ya kuzomewa unayo hadi kwenu kigoma bukoba geita mwanza shinyanga makambako Kiwira tunduma karibu asilimia 80 ya safari yako umezomewa jiangalia kwa nini huna mvuto tena mwigamba mwiguru kitila wamefanya kazi ya TISS wanakkucheka sasa saizi yako afande sele
 
hakuna siku ambayo huu msaliti aliwahi kusema ukweli hata kama yuko gizani.

Ngoja amalizie milion 700 tuone sijui watamwongezea 700nyingine
 


Wakili wake msando kitila na mwiguru walimwambia anaakili sana kuliko mtu yeyote chadema hawezi kuongea nao hawana uwezo sasa hivi Habibu mchange na Afande sele ndio think tank wake mwache dunia imsonge labda atajarejesha akili zake
 
Zitto mwenyewe kajua kazomewa na safari yake ya kisiasa ameishaiona ugumu wake atatumia njia zote kujitetea kuomba ahueni lakini atabaki msaliti mpaka kifo chake mwisho wake wa kisiasa ulishafika siku alipo amua kuwa puppet wa CCM

zito alishakuwa mzito hata akiwa gizani hawezi sema ukweli. hakuna kajitu kaongo kama haka duniani
 
Zitto ndo amefikia kuongea pumba kaisi hicho?!

I am disappointed...
 
CHADEMA itabidi Zitto awaoe ili mtulie. Mtu mlimfukuza wenyewe. Sasa mmefikia hatua ya kutunga hata video. Mnadhani sote ni wajinga kama nyie mnaonyweshwe viroba?
alijifukuza akidhani itakuwa raisi kwake sasa atazalishwa mimba manake kakosa hata nguvu za kusimama majukwaani sauti inatetemeka anawaogopa wananchi huyu ni mtu alikuwa anasukumwa kwenye magari baada ya kuhutumbia nyakati zile ataziota mpaka siku ya kifo chake
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…