The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,950
- 12,549
namhurumia A.hyatolah khomeneeTunansubiri Supreme Leader au Ay.attollah Khamenei a.k.a mwanzo na mwisho wa ACT Tanzania?Wazalendo? aje na Kilimanjaro, Arusha, Manyara na Singida aje atuenezee chama chake
Duuh, sijui tumpokeaje tu huyu Msaliti, Yuda Isikariote.....sipati picha, kwa sababu atatukuta na "midomo yetu mirefu" tunamsubiri na bodaboda zetu toka mwanzo wa miji yetu!.
Zitto na ACT Tanzania oyeeeeee!!
Mimi mbona sijaona mzomeo wenyewe huo,nimejaribu hadi kuvaa miwani sioni bado!!
Ndio tabu ya Tecno ya tochi
Hee utakua msichana wewe maana naona umeanza hadi Ku discuss simu utafikiria kama una hisa kwenye simu za bei Kali ,kumbe unategemea tu kuhongwa
Kama huko ndio kuzomewa basi natamani nizomewe na Mimi. Kikundi kidogo cha watu wanaongea eti wamezomea. ...tehteheteh mbona hamsemi huyo aliyeitikia kweliiii. Acheni propaganda, kama ACT inawapa shida kaombeni msamaha
Jina lako lina-sound kama vile mnduku, au ndio biashara ya kuuza mnduku inayokuweka mjini??
Hapa alisema hakua na ratiba.....kifupi hii ndio mbeya usiulize ukubwa wa ndizi uliza bei mjomba
Katika hii video nimegundua hivi,
1.Wanaopiga kelele ni ka section flani ka watu wasiozidi kumi ambao inaonekana walijipanga(unaweza kusikia mmoja anamwambia mchukua video "kasimamie huku")
2.ZZK yuko distance ya mbali ambako inaonekana mkutano ukiendelea na watu wakisikiliza.
3.Kwa haraka haraka nimemsikia ZZK akisema "tunailaumu serikali kwamba wanatumia mashangingi kiongozi wa Kambi ya upinzani bungeni naye anaendelea kutumia kwa hela hizohizo za serikali nani Msaliti?" This is very sensible,unatakiwa upinge kitu sio kwa mameno bali kwa vitendo,ifike kipindi wananchi waamke Chadema ni scam,hakuna mwenye nia ya kweli kutoka Chadema wa kutaka kumkomboa mtanzania,hayo yanajidhihirisha kwa vitendo vyao.
Zitto kafa kisiasa anakwaruza sauti kwa sababu ya stress he will never ever command an audience he used to mobilise and he never the respect he gained from wananchi as when he was in Chadema pole zake wanyiramba Kitila na Mwiguru wanacheka jino la pembeni laana ya mama yake inamwandamaKatika hii video nimegundua hivi,