Alexandry Nemesi
JF-Expert Member
- Jun 7, 2014
- 1,508
- 590
Huwezi kuona kwa kuwa umefungwa kifkra ila wenye Majina Yanayoanza na YONA Kama wewe huwa na Matatizo.Mtoa mada umekula kweli mchana? mbona sioni hao wanaozomea bali nasikia watu wakiongea katika makundi madogo madogo.Hivi unajua maana ya kuzomea?
Katika hii video nimegundua hivi,Chachu iamuri akili yako ifikiri kwa kasi...ni kwa namna gani sauti ikaonwa na macho?
So hujasikia hzo zomeazomea?
Kuzomea ni kutoa sauti bila mpangilio zikipazwa zaidi ya sauti chanzo
Waha mtakoma kwanini mnaanzisha ukabila kwenye siasa?
Wewe ndiyo zu-zu kweli unafikiri ufundi fundi wako wa kupanga vijineno hivyo ndiyo uta muokoa huyo saliti wako.Ime kula kwenu hiyo!Katika hii video nimegundua hivi,
1.Wanaopiga kelele ni ka section flani ka watu wasiozidi kumi ambao inaonekana walijipanga(unaweza kusikia mmoja anamwambia mchukua video "kasimamie huku")
2.ZZK yuko distance ya mbali ambako inaonekana mkutano ukiendelea na watu wakisikiliza.
3.Kwa haraka haraka nimemsikia ZZK akisema "tunailaumu serikali kwamba wanatumia mashangingi kiongozi wa Kambi ya upinzani bungeni naye anaendelea kutumia kwa hela hizohizo za serikali nani Msaliti?" This is very sensible,unatakiwa upinge kitu sio kwa mameno bali kwa vitendo,ifike kipindi wananchi waamke Chadema ni scam,hakuna mwenye nia ya kweli kutoka Chadema wa kutaka kumkomboa mtanzania,hayo yanajidhihirisha kwa vitendo vyao.
Sisi tunaendelea Kufyeka Pori,nyinyi piganeni na sisi.Wewe ndiyo zu-zu kweli unafikiri ufundi fundi wako wa kupanga vijineno hivyo ndiyo uta muokoa huyo saliti wako.Ime kula kwenu hiyo!
Video yenyewe mbona magumashi sana imezibwa zibwa na kuchukuliwa upande mmoja? Usanii mtupu.
Nimejaribu kuangalia sana sijaona wapi anazomewa.
hii mbaya sana
http://www.youtube.com/watch?v=Sf1PaBhS2Ms iliku ni aibu ya mwaka. Zitto alipo zomewa mbeya mjini, najua atasema sio yeye lakini ushahidi huo hapo juu.
Mods mnaweza ifuta kama mtahisi inawakera kama mlivyo fanya kwenye ile ya Tunduma.Lakini ukweli hauta futika kamwe
Pole Zitto. Unavuna ulichopanda. Chichidodo!
Nimejaribu kuangalia sana sijaona wapi anazomewa.
mkuu una roho ngumu,nau ndiyo kupenda?Katika hii video nimegundua hivi,