Independent-Mind
JF-Expert Member
- Mar 10, 2015
- 712
- 207
Hoja sio kuzomewa mkuu hoja ni nani Kazomea,ndio mana nimejaribu kuangalia je waliozomea ni wananchi walioenda mkutanoni? jibu ni big NO,waliozomea ni kama nilivoelezea hapo juu,hilo la kauli juu ya Chadema anakupa mfano wa jinsi gani watu walivo wazalendo wa kinafki,unamsema Ridhiwani anatembelea shangngi na wewe unatumia hilo hilo,unamsema Lucinde anachukua posho na wewe unazichukua huku ni kututania WatanzaniaHoja ni kuzomewa hayo ya idadi na Umbali aliokuwamo hukuondoi Ukweli kuwa alizomewa,
Pia kauli zake Dhidi ya chadema wakati wakuzomea ni dhihirisho la kilichopelekea yeye kuzomewa.
Mods mmejijengea heshima kitambo,kwani mkubali ishuke kwa sababu Msaliti?Mods mnaweza ifuta kama mtahisi inawakera
hoja sio kuzomewa mkuu hoja ni nani kazomea,ndio mana nimejaribu kuangalia je waliozomea ni wananchi walioenda mkutanoni? Jibu ni big no,waliozomea ni kama nilivoelezea hapo juu,hilo la kauli juu ya chadema anakupa mfano wa jinsi gani watu walivo wazalendo wa kinafki,unamsema ridhiwani anatembelea shangngi na wewe unatumia hilo hilo,unamsema lucinde anachukua posho na wewe unazichukua huku ni kututania watanzania
Shetani ni shetani tu.....
Umeshaacha hoja unalazimisha kosa japo nilijua utaelewa,ok nikuwekee hivi 'Waliozomea ni wote walikuja mkutanoni?',Jibu ni big NO waliozomea hawazidi 10 out ou nearly 1000kwahiyo watu waliozomea walikua nyumbani sio mkutanoni???
hoja sio kuzomewa mkuu hoja ni nani kazomea,ndio mana nimejaribu kuangalia je waliozomea ni wananchi walioenda mkutanoni? Jibu ni big no,waliozomea ni kama nilivoelezea hapo juu,hilo la kauli juu ya chadema anakupa mfano wa jinsi gani watu walivo wazalendo wa kinafki,unamsema ridhiwani anatembelea shangngi na wewe unatumia hilo hilo,unamsema lucinde anachukua posho na wewe unazichukua huku ni kututania watanzania
umeshaacha hoja unalazimisha kosa japo nilijua utaelewa,ok nikuwekee hivi 'waliozomea ni wote walikuja mkutanoni?',jibu ni big no waliozomea hawazidi 10 out ou nearly 1000
kwahiyo adui yenu sio CCM tena,,, sasa mnapambana na ACT.. CCM itatawala mpaka Yesu arudi!!!!!!
hujajibu swali walikua nyumbani au mkutanoni????
Nisikilize dada yangu,kwani nani anatoa mashangingi??? Serikali iliambiwa itafute mbadala wa mashangingi lakini hadi leo hawajatafuta sasa wewe badala ya kulaumu serikali unailaumu chadema this is too low mama.
Mimi niliwahi kusema humu na kumshauri kuwa haita kuwa rahisi kufanya usaliti wa kuuza chama namna hiyo halafu mambo yaendelee kuku nyokea tu.Ona sasa mhe.-------- Khomen unavyo kataliwa.Unapiga kelele kutuliza zomea zomea lakini wapi!Ushauri wa bure jaribu mbinu mpya.Pita nchi nzima omba msamaha kwa Watanzania yaani piga hadi magoti,unaweza kunusuru maisha yako ya kisiasa.Pole Zitto. Unavuna ulichopanda. Chichidodo!