Zitto alipuka tena bungeni

Zitto alipuka tena bungeni

Miongoni mwa maandiko magumu sana niliyowahi kusoma ni yale yanayosema

"Wapendeni Adui Zenu, Waombeeni Wanaowaudhi"

Jifunze kupenda hata unaowachukia akiwemo spika

kwenye haya mandiko unayo yaona magumu, upo nje ya context! Kwenye hoja makinda siyo adui, pia kumpinga siyo uadui! Tatizo lenu wana MAGAMBA, mkiambiwa ukweli mnajenga uadui na mnachukia wanaosema huo ukweli!
Pili, kama wewe si muumini, na mfuasi wa Biblia don't just cote it to support you pointless point!
 
Hivi nusu ya wabunge wangekua na vichwa kama vya Zitto Bunge lingekuaje ?
 
spika anacheza na ratiba ili hoja ya zitto ifie mbali
 
Wao TUNAWAPENDA sana, ila tunachukizwa na MAOVU YAO. Hatukuwahi kuelekezwa popote pale kuupenda UOVU.

Umenifurahisha sana kwa majibu haya sahihi! Hata Bwana Yesu alipoingia Yerusalemu pale eneo la Hekalu (Mathews 21:12) inaeleweka aliwafanya nini wale wauza njiwa na money changers walioigeuza Nyumba ya ibada kuwa Pango la wezi, hakuwaonea aibu bali aliwatolea uvivu!
 
Kwa maelezo ya Zitto ni kwamba tayari kamati yake walishawasilisha taarifa kwa ofice ya Speaker lakini cha kusikitisha Speaker anamtaka Zitto awasilishe tena (re-submit) taarifa hizo kwa speaker! Hapa napata wasiwasi kama kweli Speaker ana uwezo wa kuongoza bunge maana anaonekana kutofanyia kazi taarifa anazopewa na kamati za bunge!

Makinda atueleze taarifa ya awali aliipeleka wapi ndo apewe nyengine, la sivyo hii ni kupotezeana muda tu... atakuwa na lake jambo

 
kuna mbunge anazungumzia kukata miti, sasa watu wapikie nini wakati gesi imechakachuliwa

kilimo kwanza: usambazaji wa pembejeo hauna mpangilio , pembejeo zinacheleweshwa
 
Mrema
watu anaiba hata visivyoibika eg Tembo wamelekwa Pakistani plus twiga, viboko etc
 
Zitto is a profesional perpete!

Watanzania mtakuja kumuelewa zitto tayari ameshamaliza kazi yake cdm.anauma na kupuliza lwa kifupi ni ndumilakuwili.after a shorttime lazima atafanya kituko kingine cdm.professa safari for presidency 2020
 
Mhe Zito anasema mawaziri wa Madini wanasema uongo,anamwambia apeleke kwa maandishi,wakati walishapeleka kupitia kamati yake,maana yake nini!?

Hivi kwa nini huyu Spika anapenda sana kuwafunga wabunge midomo kwa hii style yake ya kutaka kupelekewa taarifa kwa maandishi? Kwanini asiache mbunge atoe maelezo yote na hao mawaziri wajibu hizo hoja? Hiyo kanuni inayoruhusu kudai maandishi kwenye kila kitu inabidi ibadilishwe maana inatumiwa kuwaficha au kuwalinda wanaotuhumiwa. Lema aliambiwa apeleke hoja kwa maandishi kuhusu waziri mkuu kusema uongo mpaka leo hatujui nini ni nini maana bi mkubwa kaikalia taarifa kimya! Yaani kama kuna mtu anaudhi ni Spika wa Bunge! Ndio maana wala simhurumii watu wakimtunga majina ya ajabu ajabu!
 
uyu Zito anapenda sana masifa,ata kama ndio mbio za urais...yani anajifanya anauchungu sana na nchi wakati ela za barrick anatafuna.
Kwa hiyo unataka akae kimya kama walivyokaa kimya wajinga wenzio ndani ya ccm kwa miaka 50 na kusababisha nyie dada zetu kujifungulia sakafuni kwa kuwa serikali goigoi ya ccm inashindwa kununua hata vitanda hospitalini. Nahisi wewe utakuwa ni yule kimada aliyemuibia Malima pale Moro unamlinda aendelee kubaki madarakani ukwapue tena. Katika mapambano ya ukombozi yeyote anayeonyesha njia ya kukomboa taifa anaungwa mkono na sio kubezwa.
 
kipi hicho? Kyonka obahyo? nimbona enondo za Zitto za kwiya omumpako!lol

Inabidi mods wazuie matumizi ya lugha zisizojulikana kwa wengi maana watu wataanza kutukana wenzao kama kila mtu akitumia lugha yake.
 
Spika hana haja ya kuomba hoja kimaandishi kwani chochote mbunge asemalo akiwamo Mhe. Zitto huwa kinarekodia kwenye 'hansard'.

..ewe Makinda, usiwe kama nyoka wa kijani ajifichaye kwenye nyasi za kijani na kuwang'ata watu pasipo kukuona kwa kuwa rangi yako ya kijani na rangi ya nyasi inakuficha ki CCM na ilhali wewe unapaswa kuwa spika asiyegemea upande wowote.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom