Zitto alipuka tena bungeni

uyu Zito anapenda sana masifa,ata kama ndio mbio za urais...yani anajifanya anauchungu sana na nchi wakati ela za barrick anatafuna.

Kama huna ushahidi na hili kaa kimya, Zitto anafanya kazi yake, penye ukweli ni vizuri ukasema, kama hutaweza kuthibitisha tuhuma zako kwa Zitto wewe ni mwenye wivu tu na kijicho, kweli Zitto anamapungufu yake lakini hili lako litahitaji uthibitisho na kwa sasa Mh zitto mimi nampongeza.
 
Zitto is a profesional perpete!

Watanzania mtakuja kumuelewa zitto tayari ameshamaliza kazi yake cdm.anauma na kupuliza lwa kifupi ni ndumilakuwili.after a shorttime lazima atafanya kituko kingine cdm.professa safari for presidency 2020

Acha use.....ge wewe!
 
Hivi huyu makinda ana tatizo gani? kila msema uongo bungeni akiumbuliwa humficha kwa kudai taarifa ya maandishi ambayo huiatamia ofisini kwake!!! Naomba ipelekwe hoja ya mbunge kupeleka hoja kwa maandishi baada ya kusema ya moyoni wazi pale mjengoni. Maana huyu mama ameficha taarifa nyingi sana ambazo zililenga kuwafichua viongozi wanaolidanganya Bunge, wa kwanza ni PM( HOJA ALIYOTOA LEMA)

Jamani mimi mwenzenu nimemkumbuka Mr. Smart and Speed (Samwel Sita); naota namuona pale mbele kwenye kiti cha Anna, na kuunga kubaliki hoja ya Zitto.

Sasa naamini kwanini Sitta alimkatalia Anna Makinda asisimamie Kikao Cha Bunge Kusikiliza Ripoti ya akina Mwakyembe. Sitta alijua wazi huyu mama angeizungusha na kuiua. Huyu Mama kwa kweli hana huruma na matatizo ya Watanganyika
 
Spika Makinda ama haelewi maana ya uspika au anatenda asichojua au ana amua bila kufikiri

Sisi tunaujua alipataje uspika hatushangai sana! Lakini hata km ni kutimiza masharti ya mkataba aliopewa amepitiliza. Mama mzima over 60 akili hamna. MUNGU si athumani hata km si hapa duniani mbiguni utajibu na nina uhakika si miaka mingi ijayo!!!!
 
Taarifa ambazo huwa hazisomwi baada ya kufikishwa kwa Spika zina tija gani kwa Taifa?Au Spika anaona kutisha taarifa ni yard stick yake?Pooor Spika!
 
e bwana hii ya kweli,
sasa uvumilivu umekwisha,
narudi kwenye hoja hapo juu...mama makinda ajifikirie mara mbili, hao wanaomtumia nahisi ameelemewa nao, sasa atatafutwa yeye 2015 ikishaangushwa ccm, mana anatia kitanzi kila hoja ya maslahi kwa wananchi
 
Kujua udhaifu wa mtu ni faida kubwa kwa mtu mwengine.
Ikiwa wabunge wameshaelewa mbinu chafu ya Spika kuwa kila kitu anataka "apewe tena" kwa maandishi hata kama alishapewa, kuna ugumu gani kwenda bungeni kopi za ziada (hata kama ni ile ile aliyokwishapewa)?
 
uyu Zito anapenda sana masifa,ata kama ndio mbio za urais...yani anajifanya anauchungu sana na nchi wakati ela za barrick anatafuna.

bora anayetafuna hela za barrick kuliko za nchi!!!!!!!!!!!!!!!!!! na mzalendo wa kweli atakuwa na uchungu na rasilimali za nchi.
 
Jamani mimi mwenzenu nimemkumbuka Mr. Smart and Speed (Samwel Sita); naota namuona pale mbele kwenye kiti cha Anna, na kuunga kubaliki hoja ya Zitto.

Sasa naamini kwanini Sitta alimkatalia Anna Makinda asisimamie Kikao Cha Bunge Kusikiliza Ripoti ya akina Mwakyembe. Sitta alijua wazi huyu mama angeizungusha na kuiua. Huyu Mama kwa kweli hana huruma na matatizo ya Watanganyika

ni kama hajajiamini bado!!
 
Atakuwaje na huruma na Watanzania huku hana hata familia? na ana karibia kufa (miaka 63 is more than average life ya Mtanzania.Maana watu wengine wakikosa mshipa wa aibu kote huko basi wanakumbuka japo watakapo waacha watoto wao.
 
Back
Top Bottom