Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,933
- 218,735
Uchumi unakuwa kwa 7% kuliko nchi zote za SADCSad!
Indeed!Sad!
Unakuwa vizuri kama ulivyokuwa unakuwa uchumi wa Zimbabwe kipindi cha Mugabe.Uchumi unakuwa kwa 7% kuliko nchi zote za SADC
Bado tunaendelea kukopaUchumi unakuwa kwa 7% kuliko nchi zote za SADC
Aiseeee !!!Unakuwa vizuri kama ulivyokuwa unakuwa uchumi wa Zimbabwe kipindi cha Mugabe.
Uchumi unakuwa kwa 7% kuliko nchi zote za SADC
2020 tutakuchagua wewe Chama Cha Mtu Moja au iIe "saccos" yetu mpo vizuri ktk kuangalia vyama vyenu hivyo hata taifa mtaliangalia "vizuri" kama mlivyotumia ufadhili wa ile mifuko ya hifadhi za jamii na kuangalia Madini yetu mpaka Ulitaka kugombea "ubunge" huko
Pembe la ng'ombe halifichikiSasa hawa BOT nao si wazalendo, sasa wanatoa habari hizi za akiba yetu ya fweza nje kwa manufaa ya nani?
Beberu mkubwa wee !Ila kiukwel hata hali ya kiuchum kwa mtanzania mmoja mmoja haiko vizur aisee, maana uwezo wawatu kununua bidhaa umeshuka mnoo
Zitto.
Ni nani aliyekwambia tunahitaji bidhaa kwa dharura?
Mpango ni kujitegemea kwa kila kitu japo kwa 90% wewe kila siku unafikiria reserve.
Waelimishe wapiga kura wako nao wawe na reserve ya kutosha kukidhi mahitaji yao.
Hujaisikia hotuba ya mwenyekit mpya wa SADC?
Mkuu hii ni ripoti ya BOT , siyo ya ZittoZitto.
Ni nani aliyekwambia tunahitaji bidhaa kwa dharura?
Mpango ni kujitegemea kwa kila kitu japo kwa 90% wewe kila siku unafikiria reserve.
Waelimishe wapiga kura wako nao wawe na reserve ya kutosha kukidhi mahitaji yao.
Hujaisikia hotuba ya mwenyekit mpya wa SADC?
Sawa ww utakua mbuzi jikeBeberu mkubwa wee !
we ni mnafiki tu sasa unasemajeUchumi unakuwa kwa 7% kuliko nchi zote za SADC