na sisi ndio tunataka wafanye hvyo ..maana wakifnya hivyo watazidi kujichingea zaidi kwa wananchi wao na nchi za kimataifa zitapata kujua kuwa nikweli Tanzania haipo SalamaHuyu jamaa aangalie. Hawa watu wasiojulikana wanaweza wakam pyu pyu pyu akawa Akwilinaized.
Unajua, Hata fisi alipouona mkono wa binaadam unavyoyumba wakati akitembea alidhani utadondoka.
Mawazo yako wewe, wampakazia Zitto eti alidhani atakuwa nani sijui??Akili ya zitto ni ya kujua mwenyewe,hasira zake ni kuona kitlya mkumbo na mama Ana Mghwira kula shavu yeye bado,na akili yake alifikiri atakua waziri mdogo wa madini,katoswa,ajiunge kwa wale aliowasaliti
Wewe utakua zitto mwenyewe,sizitaki mbichi hizi,hadithi ya sungura na mkungu wa ndizi zama zilizopitaMawazo yako wewe, wampakazia Zitto eti alidhani atakuwa nani sijui??
Anaanzaje kutamani kuwa tarumbeta! awe wa kupulizwa tu na kutoa sauti aitakayo mpuliziaji bila ya khiyari yake?? unadhani hao wanaoitwa mawaziri wana uhuru sawa wa kufikiri na kuamua kwa utashi wao?? Zitto hawezi kutamani kuwa tarumbeta bana....
Nina shida moja na ZZK sio ngangari akiminywa kidogo tu na nyongeza ya vipande vya shekeli anakuwa kama mkate kwenye chai...
Na hivi ndivyo tunavyowapambanua juu ya uwezo wenu wa kufahamu na kufikiri..Wewe utakua zitto mwenyewe,sizitaki mbichi hizi,hadithi ya sungura na mkungu wa ndizi zama zilizopita