Tangu baada ya ushindi mkubwa Chadema walioupata katika uchaguzi wa 2010, wengi walibaki kupingeza tuu!, mimi ni miongoni mwa wachache tuliosema humu baadhi ya majimbo, Chadema wameshinda kwa sababu tuu CCM Imechokwa; CHADEMA Haijajipanga!.
Kwenye uzi huo nilieleza baadhi ya viongozi wa Juu wa Chadema, hapo walipoifikisha ndio mwisho wa uwezo wao!, they did their part, they can no do anymore more than they could!. Ilipotokea ile dhana ya usaliti, mimi niliungana moja kwa moja na ile waraka wa mabadiliko kuwa Chadema needs changes at the top!.
Kwenye suala la Zitto, aminini msiamini, Chadema ndio wakosaji!, they did it wrong by "putting the cart before the horse!", kwa kuanza na hukumu, kisha kuleta mashitaka!.
Zitto anajua Chadema are wrong!, kwa bahati mbaya Chadema ina watu wachache sana wenye busara za level hii!.Dhana ya kuombana msamaha, kusameheana na kukuyaacha ya nyuma, inakwenda sambamba na kwanza kutambua makosa!, kukiri makosa, (admission), kusemehe, ndipo kusonga mbele!, Zitto sio mnafiki, amehukumiwa kwanza kabla ya kuletewa mashitaka!, mpaka kesho hajui kosa lake!, wana Chadema wote wanamuona kama yeye ndie mkosaji, hivyo kitendo cha kuomba msamaha unconditional ni admission of guilt!, bila ku straighten things hayo aliyosingiziwa yatakuja kujirudia!.
Wengi wengemtaka Zitto ndie pekee ale "the humble pie!" wakati wakosaji wangesail free!. The best way ta kuondoa stalemate position ni moving backward and meet half way, Chadema ikubali kujishusha kumnyenyekea Zitto hivyo has to bow down a bit to reach him, na Zitto akubali kuondoa "ego" yake, japo kakosema, azilazimishe kuombwa msamaha na baba!, ajinyenyekeze, japo kakosema, ajifanye mkosaji!, aombe msamaha, yaishe!.
Pasco
You just hit the nail on the head!..Zitto naye ana wapambe wake ambao wametoa kauli mbaya ajabu dhidi ya Mbowe na CDM.
..hata kampeni kwamba CDM ni chama cha wachagga na wakristo zinaongozwa na wapambe wa Zitto.
..YES,Mbowe alikwenda mbali kusema maneno yale jimboni kwa Zitto Kabwe. Lakini Zitto naye ni mtu wa ajabu sana kwa fitina zake dhidi ya Mbowe na CDM,ukizingatia fadhila na hisani aliyofanyiwa na Mbowe.
..Unajua Zitto bado kijana anaweza kwenda kwingine na kuanza upya. Lakini Mbowe ndiyo kaisha "losti" ujana wote kautumia kujenga CDM hana pahala pengine pa kwenda.
..Mimi namuona Zitto ni mtu asiyeaminika. Kwanza ni kwa vitimbi alivyomfanyia Mbowe. Pili ni sasa hivi anavyojaribu kuwageuka wenzake waliotangulia kuanzisha ACT.
cc Pasco, mpigilie
Kama hajui kisa lake kwa nini asibainishiwe tu akalijua au wanaficha nini
hii inaweza tafsiriwa kuwa alionewa
nadhani ni wakati muafaka wa kumbainishia makosa yake ayajue ili Ayatubie
na kama hana basi Chama kimtubie kwa kumuonea
Huo sasa ndo utakuwa Muafaka (Msamaha) mzuri na Maridhiano Mazuri
na si Kufunika Kombe..,,,
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, anachukizwa na kitendo cha Zitto Kabwe, mbunge wa Kigoma Kaskazini (CHADEMA) la kuweka sharti la kurejesha kundini.
Zitto ambaye alivuliwa nyadhifa zake zote za uongozi mapema mwaka huu, kwa sasa yuko mahakamani akitetea uwanachama wake, baada ya viongozi wenzake wakuu kutishia kutaka kumfukuza.
Habari kutoka ndani ya Chadema zinasema, karibu viongozi wote wa juu wa chama hicho, akiwamo Dk. Willibrod Slaa, wameonyesha nia ya kumsamehe Zitto ili arejee kundini, lakini tatizo lilikuja pale mwanasiasa huyo alipoweka sharti.
Inadaiwa kuwa Mbowe ameweka msimamo mkali baada ya Zitto kutoa kauli inayoonyesha kuwa anataka kuwekwa sharti la yeye kurejea ndani ya chama.
Kulikuwa hakuna tatizo Zitto kusamehewa na kurejea ndani ya chama. Lakini kauli yake kuwa anaweka sharti la kutaka kusamehewa, ndilo limeonekana kumkera mwenyekiti, ameeleza kiongozi mmoja mwandamizi ndani ya chama ambaye hakupenda kutajwa.
Amesema baada ya Kamati ya Bunge ya PAC inayoongozwa na Zitto kufanya kazi kubwa ya kuchambua ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na kisha kuwasilisha mapendekezo yake bungeni, baadhi ya viongozi wa Chadema akiwamo Mbowe na Dk. Slaa walionekana kuwa wako tayari kusamehe yaliyopita, lakini kitendo cha Zitto kuweka sharti kimewaudhi baadhi yao na kumuona kama mtu anayetaka kuabudiwa.
Mapema wiki iliyopita, Zitto alinukuliwa na gazeti la Mwananchi akisema, "hajui kosa" lake na kuweka masharti kwamba pale atakapoambiwa kosa lake yuko tayari kuomba radhi na kurejea Chadema.
Mwenyekiti nae anataka kutuaminisha hiki chama ni chake sasa, kwani kuna shida gani wakasameheana kujenga upinzani wenye nguvu, najua Zitto amejutia usaliti wake na sidhani kama atarudia tena, asamehewe tu.
Watu humu ndani mnaongea sana.yani hata hukumu mahakanani haitolewi hivi.mtu lazima ajitetee ajue kosa lake kisha Kama kuomba radhi ndio aombe .Na Kama ameonewa je?ndio maana nayeye anataka kuwe na masharti kwenye kurudi.
Viongozi wangu Mbowe na Dr Slaa, tunawapenda sana pia tunawaamini, hebu msameheni Zitto, tunataka tuone ile triple army kama ya zamani, msameheni bila masharti.
Zitto na wewe hebu tunaomba utulie kamanda, epukana na kauli tata tujenge chama.
Mamlaka ya viongozi wa chama yanatokana na sisi wanachama.
Kwenye huu mgogoro wanachama ndio wameamua kusahau yaliyopita na kuangalia mbele kwa manufaa mapana ya chama.
Si mbowe wala Dr.Slaa wanatakiwa kuwa kikwazo kufikia muafaka na maridhiano ikiwa wanachama tumebariki mchakato.
Tunaposikia hayo ya mwenyekiti wetu kama ni kweli amechukizwa na hilo hivyo kuamua kukwamisha jitihada za muafaka ni kutudharau wanachama.
Ifike kipindi kila upande,kwa maana ya Zitto na Chama kwa Ujumla yaani viongozi wa juu wasema "sory for everything".
Kuna mwana-Falsafa mmoja alipata kusema "am sory doen'nt mean some one is right and the other is wrong,but it means the relationship between you is of great important to let it go". Kwa tafsiri isiyo rasmi ni kwamba Kuomba msamaha hakumaanishi ulikosa yaani guilt. Bali wakati mwingine samahani ina maana ya busara na uungwana kwamba uhisiano uliopo baina ya Zitto na Viongozi wake ni Mhimu sana na wenye tija kwa ipinzani na taifa kwa ujumla. Hivyo samahani ya kila upande imaanishe Taifa kwanza,tofauti zao baadae.
Sikatai kuwa Zitto ni popular figure ukilinganisha na Mwigamba au Prof. Kitila...nilichokueleza mimi ni "POLITICAL REALITY."
..kisiasa Zitto ni muhimu na mtu mzito kuliko Mwigamba na Mkumbo.
..kama unabisha hilo waambie Mwigamba au Mkumbo waendelee na ACT yao bila Zitto Kabwe.
cc Pasco, Ghostryder
..CDM imejiviringisha ndani ya UKAWA..
..ni vigumu kufanya siasa za upinzani nje ya UKAWA bila kuonekana mbabaishaji, au kibaraka wa CCM.
..suala hapa ni Zitto anataka kuendelea kufanya siasa? Kama ni ndiyo, anataka kufanya siasa ndani ya UKAWA au nje?
Kama umenielewa vizuri, kabla ya kuombana msamaha, kitu cha kwanza ni kuwepo maridhiano, ambapo mkosaji atakubali kosa lake, ila kwa vile Chadema ndio baba, baba hawezi kuomba msamaha kwa mtoto, ila lazima afanye gestures za kutambua kosa lake alilomtendea mtoto, na mtoto kwa kujua baba ametambua kosa lake, amelijutia, atasamehe na kusahau ndipo wasonge mbele!.pamoja na maelezo mazuri uliyoandika hapo juu nitawadharau sana cdm kama watamwomba msamaha zitto, chama as a group hakiwezi kujishusha kwa mwanachama mmoja! Mbona ccm haikujishusha kwa samweli sitta pale ilipomtendea hujuma ya wazi kwenye kugombea uspika?
PascoHakuna ubishi, Chadema imenyanyuka, toka wabunge 5 mpaka 22 wa kuchaguliwa tena majimbo ya haja, huku sio kukua bali ni kupaa, tatizo kubwa la Chadema, bado hawajipanga.
Kichama, wanachadema mkubali msikubali, chama chenu japo kipo juu, lakini bado hamjajipanga kwa Watanzania wawamini wawakabidhi nchi mwaka 2015.
Chadema peke yenu hamuwezi!.
Pasco
Tangu baada ya ushindi mkubwa Chadema walioupata katika uchaguzi wa 2010, wengi walibaki kupingeza tuu!, mimi ni miongoni mwa wachache tuliosema humu baadhi ya majimbo, Chadema wameshinda kwa sababu tuu CCM Imechokwa; CHADEMA Haijajipanga!.
Kwenye uzi huo nilieleza baadhi ya viongozi wa Juu wa Chadema, hapo walipoifikisha ndio mwisho wa uwezo wao!, they did their part, they can no do anymore more than they could!. Ilipotokea ile dhana ya usaliti, mimi niliungana moja kwa moja na ile waraka wa mabadiliko kuwa Chadema needs changes at the top!.
Kwenye suala la Zitto, aminini msiamini, Chadema ndio wakosaji!, they did it wrong by "putting the cart before the horse!", kwa kuanza na hukumu, kisha kuleta mashitaka!.
Zitto anajua Chadema are wrong!, kwa bahati mbaya Chadema ina watu wachache sana wenye busara za level hii!.Dhana ya kuombana msamaha, kusameheana na kukuyaacha ya nyuma, inakwenda sambamba na kwanza kutambua makosa!, kukiri makosa, (admission), kusemehe, ndipo kusonga mbele!, Zitto sio mnafiki, amehukumiwa kwanza kabla ya kuletewa mashitaka!, mpaka kesho hajui kosa lake!, wana Chadema wote wanamuona kama yeye ndie mkosaji, hivyo kitendo cha kuomba msamaha unconditional ni admission of guilt!, bila ku straighten things hayo aliyosingiziwa yatakuja kujirudia!.
Wengi wengemtaka Zitto ndie pekee ale "the humble pie!" wakati wakosaji wangesail free!. The best way ta kuondoa stalemate position ni moving backward and meet half way, Chadema ikubali kujishusha kumnyenyekea Zitto hivyo has to bow down a bit to reach him, na Zitto akubali kuondoa "ego" yake, japo kakosema, azilazimishe kuombwa msamaha na baba!, ajinyenyekeze, japo kakosema, ajifanye mkosaji!, aombe msamaha, yaishe!.
Pasco
Salama yako ni hii kauli yako kwenye bold, vinginevyo ningejua tunajadili na watoto waliozaliwa leo!.you got a point. tatizo langu however ni kwa chama cha siasa kuanza kutengeneza miungu watu ndani yake.
je, hivi ni kweli kuwa bila ya Zitto, Mbowe, Slaa, etc Chadema hawawezi kusimama? kama huo ndiwo ukweli, basi sidhani kama this is a party that should be taken seriously and relied upon to run a govt.
lakini kama Chadema is an institution as it would be expected, sikubaliani kabisa na dhana ya mwanachama au mtu awaye yote kuanza kutoa masharti dhidi ya such an established institution.
siukumbuki vizuri mchakato uliopelekea Zitto kuondolewa chamani lakini i suppose lazima kutakuwa kulifanyika mawasiliano rasmi kimaandishi kwa Zitto kumfahamisha kuhusu uamuzi huo. sasa kama Zitto anaona alionewa na tayari ameonyesha utashi wa kurudi chamani, kwa nini washauri wake wasimshauri kuwa aanzie hapo without necessarily involving the media?