TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,870
- 5,755
Viongozi taifa wa CHADEMA wajiandaa kukihama kumfuata ZITTO KABWE ambaye yuko mbioni kutangazwa kuwa Mwenyekiti wa ACT taifa. Wasomi wa vyuo vikuu wameunga mkono hatua ya ZITTO kuamua kwenda ACT na kuahidi kumpa ushirikiano kwa maendeleo ya Taifa.
Viongozi wa CHADEMA na hasa Wabunge vijana ambao wataondoka CDM na kujiunga na ACT , kwa nyakati tofauti kwa masharti ya kutotajwa majina yao wamesema kinachosubiriwa ni kumalizika kwa Bunge maalum la Katiba na kusisitiza kuwa mpaka mwezi februari mwakani watakuwa wameshatimiza azma yao ya kumfuata kijana ZITTO KABWE ambaye wanaamini ni mzalendo wa kweli, mpenda maendeleo na mtu mwenye kupenda kuona demkorasia ya kweli ndani ya vyama vya siasa.

Chama cha ukabila na ukanda actaha aka kigoma mwisho wa reli. Eti kabla uchaguzi huru na wademokrasia kama wanavyojinadi hawa wasaliti tayari washamtangaza mwenyekiti kuwa anatoka kigoma kwa wahaya. Wabinafsi na waroho wakubwa hawa. Mshindwe kwa Jina.la Yesu ktk ulaghai wenu wa nchi hii. Na hakika hamtasarvive.
Viongozi taifa wa CHADEMA wajiandaa kukihama kumfuata ZITTO KABWE ambaye yuko mbioni kutangazwa kuwa Mwenyekiti wa ACT taifa. Wasomi wa vyuo vikuu wameunga mkono hatua ya ZITTO kuamua kwenda ACT na kuahidi kumpa ushirikiano kwa maendeleo ya Taifa.
Viongozi wa CHADEMA na hasa Wabunge vijana ambao wataondoka CDM na kujiunga na ACT , kwa nyakati tofauti kwa masharti ya kutotajwa majina yao wamesema kinachosubiriwa ni kumalizika kwa Bunge maalum la Katiba na kusisitiza kuwa mpaka mwezi februari mwakani watakuwa wameshatimiza azma yao ya kumfuata kijana ZITTO KABWE ambaye wanaamini ni mzalendo wa kweli, mpenda maendeleo na mtu mwenye kupenda kuona demkorasia ya kweli ndani ya vyama vya siasa.
kujiunga act si kurudi hatua 20 au miaka 20 nyuma?
Sasa unataka vilago vya Zitto vibaki CHADEMA kwa ajili ya nini?.
lakini hata mbuyu ulianza kama mchicha.
Viongozi taifa wa CHADEMA wajiandaa kukihama kumfuata ZITTO KABWE ambaye yuko mbioni kutangazwa kuwa Mwenyekiti wa ACT taifa. Wasomi wa vyuo vikuu wameunga mkono hatua ya ZITTO kuamua kwenda ACT na kuahidi kumpa ushirikiano kwa maendeleo ya Taifa.
Viongozi wa CHADEMA na hasa Wabunge vijana ambao wataondoka CDM na kujiunga na ACT , kwa nyakati tofauti kwa masharti ya kutotajwa majina yao wamesema kinachosubiriwa ni kumalizika kwa Bunge maalum la Katiba na kusisitiza kuwa mpaka mwezi februari mwakani watakuwa wameshatimiza azma yao ya kumfuata kijana ZITTO KABWE ambaye wanaamini ni mzalendo wa kweli, mpenda maendeleo na mtu mwenye kupenda kuona demkorasia ya kweli ndani ya vyama vya siasa.
Viongozi taifa wa CHADEMA wajiandaa kukihama kumfuata ZITTO KABWE ambaye yuko mbioni kutangazwa kuwa Mwenyekiti wa ACT taifa. Wasomi wa vyuo vikuu wameunga mkono hatua ya ZITTO kuamua kwenda ACT na kuahidi kumpa ushirikiano kwa maendeleo ya Taifa.
Viongozi wa CHADEMA na hasa Wabunge vijana ambao wataondoka CDM na kujiunga na ACT , kwa nyakati tofauti kwa masharti ya kutotajwa majina yao wamesema kinachosubiriwa ni kumalizika kwa Bunge maalum la Katiba na kusisitiza kuwa mpaka mwezi februari mwakani watakuwa wameshatimiza azma yao ya kumfuata kijana ZITTO KABWE ambaye wanaamini ni mzalendo wa kweli, mpenda maendeleo na mtu mwenye kupenda kuona demkorasia ya kweli ndani ya vyama vya siasa.
Mkuu hivi ni vichekesho! Kama yeye kidume sii angefuta kesi yake ili ile hukumu ya kufukuzwa itekelezeke! Huku anataka na kule anataka ndio nini sasa? Halafu fa.la mmoja anakuja kusema hapa eti anaitesa Chadema! Sii aondoke basi! Huo ubunge wake ni wa Chadema lakini hawezi hata kukanyaga ofisi za Chadema hivi haoni aibu? Ni sawa na mke aliyekwenda mahakamani kupinga talaka na ikazuiwa kutolewa lakini mume hampi chakula cha usiku maana keshamuacha.yaani aishukru mahakama...
Mbona unapanick kaka!Mkuu hivi ni vichekesho! Kama yeye kidume sii angefuta kesi yake ili ile hukumu ya kufukuzwa itekelezeke! Huku anataka na kule anataka ndio nini sasa? Halafu fa.la mmoja anakuja kusema hapa eti anaitesa Chadema! Sii aondoke basi! Huo ubunge wake ni wa Chadema lakini hawezi hata kukanyaga ofisi za Chadema hivi haoni aibu? Ni sawa na mke aliyekwenda mahakamani kupinga talaka na ikazuiwa kutolewa lakini mume hampi chakula cha usiku maana keshamuacha.
Uchawi wake apeleke hukohuko Mwandiga.